Search results

  1. B

    Simu haionyeshi picha wala kuplay video

    wanna jf habari za usiku huu simu yangu ni techno p5 na ina tatizo tajwa hapo juu haionyeshi wala kuplay video kwa picha au video nazotumiwa kupitia whatsup ,blue tooth etc naomba msaada kwa wataalam wa mambo haya ahsanteni
  2. B

    Ni mwanachama gani wa CCM anayeunga mkono UKAWA

    Hbr za leo wakuu, Baada ya watetezi wa katiba ya wananchi (UKAWA) kujitoa jana baada ya kuchoshwa na mwenendo mzima wa matusi yanayoendelea bungeni yakitolewa na wanaotaka itengenezwe katiba ya CCM kwa mgongo wa katiba ya wananchi. Napenda kujua kama baadhi ya wabunge wanaojitambua wa CCM...
  3. B

    Nawezaje ku-unlock simu ya tecno t340

    Habari za majukumu wanaJF kuna simu yangu tajwa hapo juu nimesahau pin code za kui unlock naomba wataalam wa hizi mambo mnisaidie, maana sizikumbuki kabisa hizo pin code ni simu ya tecno T340. Ahsanteni!
  4. B

    Chadema isonge mbele

    Ni jambo la heri na ni vema kumshukuru Mungu kwa kutulinda kwa mwaka mzima ulomalizika, nisiandike mengi sana naomba Mungu pia ktk mwaka huu chama chetu kinachopendwa na watu wengi zaidi cha CHADEMA kianze na Mungu na kumaliza na Mungu, naamini kitafanya vema zaidi kwa mwaka huu na hasa kwa...
  5. B

    Nini husababisha hofu,wasiwasi na mashaka kwa mtu

    Nimekuwa nikisumbuliwa sana na hili tatizo la hofu,mashaka,wasiwasi na uoga kiasi kwamba siwezi kabisa kusimama na kutoa maelezo au kuelezea kitu mbele ya watu hata wakiwa kumi tu lakini km ni stori naweza kuongea vizuri na mpaka kuchekesha wenzangu, naweza nikawa na points za kutosha tu...
Back
Top Bottom