Search results

  1. B

    Simu haionyeshi picha wala kuplay video

    nahitaji Masada wenu wakuu
  2. B

    Simu haionyeshi picha wala kuplay video

    wanna jf habari za usiku huu simu yangu ni techno p5 na ina tatizo tajwa hapo juu haionyeshi wala kuplay video kwa picha au video nazotumiwa kupitia whatsup ,blue tooth etc naomba msaada kwa wataalam wa mambo haya ahsanteni
  3. B

    Kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume?

    Pia wanawake ni wengi sana kuliko wanaume kwa sababu wanaume ndo wanaoongoza kwa vifo kwa sababu ya kufanya kazi ktk mazingira ya hatari km migodini, uvuvi, vitani, uwindaji nk lkn wanawake walio walio wengi wanafanya kazi ambazo ni soft na stress free!
  4. B

    Midahalo: Fahamu kwanini CCM inataka ya wagombea

    Ukiona hivyo ujue wana hali ngumu na wanatafuta huruma kwa wananchi kwa kudhani kuwa mgombea wa ukawa hawezi kuongea, magufuli ndo hana kabisa cha kuongea na kushawishi amebakiza kututishia kwa mifano ya libya, misri na kwingineko eti tusifanye mabadiliko ya kukitoa ccm, wajaribu waone moto wake!
  5. B

    Kwanini huwa havigombani?

    Duh umetisha, hata hivo hivyo haviwezi kununiana na km kweli umenuna seriously huwezi hata kutamani papuchi kwa ck husika
  6. B

    Kiwi cha Macho!

    Mzee tupatupa nyumba inaungua lumumba ww umejificha huku, tafadhali rudi ukaokoe jahazi!
  7. B

    Wagombea waliokamatwa/kutuhumiwa kwa rushwa hadi sasa

    8. Nape Nnauye jimbo la Mtama
  8. B

    Ally Bananga akamatwa na polisi kwa agizo la CCM

    Kuwa mwanacdm raha sana ona picha zilivyopendeza, magamba wataeleweka tu, pamoja na ufedhuli wao wa kila aina naamini tutashnda!
  9. B

    Msaada kwanini natetemeka sana?

    Da ndg pole sana una tatizo km langu, mi niko chuoni yaani cku za presentation kwangu huwa ni balaa, nimeshajaribu kuomba ushauri humu jf lkn pamoja na shauri mbalimbali nzuri lkn tatzo bado linanitafuna. Wkt mwngne hata lecturer akiwa anafndsha ile anapouliza swali akikuangalia tu hofu na...
  10. B

    Yaliyojiri SAUT-Tawi la Tabora

    Nasikia Rage alichemka na kuzowewa vibaya hasa aliposema tanganyika haikudumu muda mrefu maana baada ya wajerumani kuondoka walikuja wakoloni. Watu wakamhoji kwani mjerumani hakuwa mkoloni? Noma sana haya maccm! Pia inasemwa kuwa kuna lecturers wawili walimchana rage na makamba bila kuangalia...
  11. B

    Ni mwanachama gani wa CCM anayeunga mkono UKAWA

    Hbr za leo wakuu, Baada ya watetezi wa katiba ya wananchi (UKAWA) kujitoa jana baada ya kuchoshwa na mwenendo mzima wa matusi yanayoendelea bungeni yakitolewa na wanaotaka itengenezwe katiba ya CCM kwa mgongo wa katiba ya wananchi. Napenda kujua kama baadhi ya wabunge wanaojitambua wa CCM...
  12. B

    Nimeamini kuwa CHADEMA wanaipenda Sana TBC

    Hivi kwanini watetezi wa ccm wengi wao ni tabula lasa, hakuna mwenye uwezo wa kujenga hoja walioko bungeni majanga wa nje ya bunge nao vitasa, inasikitisha sana!
  13. B

    Ni shule tanzania imetoa maprofesa wengi zaidi

    Ni Tanga school ndo inaongoza kwa kutoa prof wengi!
  14. B

    Katiba: Kwa mara ya kwanza Dr Banna apaza sauti, na kuilaani CCM

    kumbe ulihamiaga ccm sixgates, au unamaanisha nini kusema tunawasubiri chalinze!
  15. B

    Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

    Arsenal 2 Bayern munich 1
  16. B

    CCM wameiga mavazi jamii ya kombati toka Chadema au walikuwa nayo toka awali?

    Mi nafkri maccm yanafikiri kuwa cdm wanapendwa sababu ya combat ndo maana yameamua kuiga, kaka green hata ushonee mifuko mpk mgongoni watu hatuitaki, pia nafkr wana mpango wa kubadili rangi ya bendera maana kwenye sherehe zao kule mbeya walikuwa na tshirt nyeusi. kamanda kupiga kijani siku hizi...
  17. B

    Vurugu za kisiasa Ubagwe: CCM ndiyo walioratibu vurugu kuichafua taswira ya CHADEMA

    Lizaboni,msalani, chabruma na wengine mnaoshabikia upuuzi unaofanywa na lichama lenu mfike hatua muache kushabikia mambo ya kipumbavu, inawezekana leo mna faidika sana na mauaji ya ndg zetu wasonahatia lkn mjue ipo cku mtawajibika, ccm inafanya siasa za kipumbavu sana cku hzi cfurahishwi hata...
  18. B

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaa
  19. B

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Nimefuatilia na kuwajua wateule wa rais ktk kuziba nafasi za mawaziri aliowaachisha kazi, pamoja na kuwa na sura mpya kadha wa kadha, lakini nimejiuliza sana hivi kweli raisi anajua km kuna wabunge wa ccm km deo filikunjombe, alphaxard kangi lugora, abdalah mtutura, esther bulaya, luhaga joelson...
  20. B

    Mulugo vs J. Mhagama.

    Tofauti ni kwamba mlugo ni kilaza huyu mama angalau ana uelewa wa mambo.
Back
Top Bottom