Search results

  1. Parasite

    Shairi: Chombo chenda mrama

    kama elimu bahari, makasia yako wapi? jahazi za kifahari, dereva twapata wapi? ataendesha kwa shari, kweli tutafika wapi? bahari ikitulia, chombo kitarudi pwani. mengi majahazi yapo, kwa majina yao kata. vifaa vingi havipo, maabara makitaba. wakufunzi nao wapo, wanakimbia ukata. bahari...
  2. Parasite

    Anayefahamu taratibu na vigezo vya kupata msaada wa TASAF atusaidie

    Habari za kazi? Poleni na majukumu samahani kwa anaefahamu taratibu na vigezo vya kupata msaada wa tasaf atusaidie,lengo ni kujua vigezo gani vinatumika na ni kiasi gani walengwa wanapatiwa na shirika la tasaf.ni matumaini nitasaidika ahsanteni.
  3. Parasite

    Nahitaji linea ya Tigopesa

    Natafuta laini ya tigopesa kwa yeyote mwenye nayo anicheki kwa 0715030532
  4. Parasite

    Nahitaji laini ya uwakala Tigopesa

    Habari za kazi, pole na majukumu, Kwa mwenye laini ya uwakala ya Tigo pesa anaeiuza anicheki kwa namba 0715030532 location Tanga.
  5. Parasite

    Natafuta laini ya uwakala wa Tigopesa

    Natafuta laini ya uwakala TIGOPESA nipo Tanga kwa yeyote Mwenye nayo tuwasiliane,0715030532
  6. Parasite

    Line za uwakala Tigopesa Tanga

    Habari za kazi? Samahani kwa anaeuza line za uwakala TIGOPESA kuna mtu anahitaji na yupo TANGA MUHEZA. Mawasiliano 0715030532.
  7. Parasite

    The best videos converter to make DVD, VCD and SVCD with subtittle editing

    Ndugu habari za majukukmu samahani naomba msaada kwa anaejua links za videos converters ambazo zinafanya subtittles editing na zinaconvert videos in high quality plz tusaidiane plz
  8. Parasite

    Idm licence keys for lifetime activation

    Wadau wa jamiiForums samahani kama kuna mwenye keys activator for idm tusaidiane maana nilikua natumia trial version sasa imeisha muda wake wanataka keys to register, so please kama kuna mwenye ujuzi atusaidie. (i mean free keys).
  9. Parasite

    Kusindika mahindi

    ndugu zangu wakulima wenzangu habari za asubuhi?natumai mnaendelea vyema,nilikua naomba kujuzwa jinsi ya kusindika mahindi yaweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika au kuliwa na wadudu,natanguliza shukrani zangu za dhati.
  10. Parasite

    Utata kutoka Nacte

    Jamani wadau habari za kazi? Poleni na majukumu samahani naomba kuuliza ama kujuzwa kuhusu hiki chuo cha eckenford tanga university inst of health science,je kinatambuliwa na nacte? Yaani namaanisha je kimesajiliwa?
  11. Parasite

    Kuondoa pin/namba ya siri kwenye huawei y330

    poleni na majukumu wanajamii,samahani ninaomba kama kuna maujanja jinsi yakuondoa namba ya siri kwenye simu aina ya huawei y330 nikiweka line one inaniambia inter pin,msaada naomba wadau.
  12. Parasite

    Natafuta Smartphone, nina TZS 200,000/=

    za asubuhi wadau samahani ninatafuta smartphone ya bei po nina 200 mwenye nayo atupie picha nipo chuga
  13. Parasite

    smartphone

    wadau za asubuhi natafuta smartphone ya bei nafuu nina 200 yeyote mwenye nayo kama anauza atupie picha nipo chuga
  14. Parasite

    jkt form six

    polen na majukumu kuna wachangiaji wa jukwaa hili walituletea habari kwamba jkt kwa kidato cha sita imefutwa kisheria sasa leo tunasikia habari tena kwamba madogo wanatakiwa kuripot maeneo waliyopangiwa fasta na miongoni mwao ni dogo langu amemaliza Minaki na amepangiwa Moro plz hebu tujuzane hapa
  15. Parasite

    Maxon x3 for sale

    Simu inauzwa kilo tatu{300000},brand new,model maxon x3,ram 1gb,internal 16 gb,processor 1.2ghz,full box ukubwa inch 5.7,with corning gorila screen guard,color white haisapot memory,mawasiliano 0715030532/0753230700 nipo arusha
  16. Parasite

    How to removal and protect android phone from adds

    za asubuhi wadau polen na majukumu hebu ninaomba msaada kwa niaba ya wengine pia jinsi gani unaweza kuzuia adds zisitokee wakati unaperuzi mtandaon na hata ukishadownload baadh ya apps zinakuja na adds,hebu tusaidiane kidogo hapa.
  17. Parasite

    Maxon x3 rooting app

    wadau polen na majukumu,samahani naomba kwa mwenye kufahamu rooting mode ya MAXON X3,plz tusaidiane.yani simu ina apps ambazo ni unnecessary zinamaliza internal memory
  18. Parasite

    Maxon smartphone specifications

    Poleni wanajamvi, msaada kidogo kuna simu inaitwa maxon it is something new in the market, zipo models kama mbili hivi, ya kwanza ina RAM 2GB 32GB HDD na ya pili ina 1GB RAM 16GB HDD,plz kwa yeyote mwenye uzoefu na masuala ya simu atupie hapo jamani ili sisi tusiojua kitu tufunguke. Darasa huru...
  19. Parasite

    Vitambulisho vya kura

    habari za majukumu wanajamvi,natumai mnaendelea vizuri,naomba tujadili suala zima kuhusiana na vitambulisho vyakupiga kura,kama tunavyofahamu uchaguzi umekaribia na watu wengi hawana vitambulisho vya kura,hii inatokana na mambo mawili aidha kuna wale waliofikia umri stahiki wakupiga kura yaani...
  20. Parasite

    Natafuta simu ya bei nafuu(smartphone)

    Za asubuh wanajamvi?ni matumain yangu mungu amewaamsha salama,bila yakuwasahau wale waliopo mahospitali polen na mungu aonekane juu yenu.kwa kifupi wadau mimi ninatafuta simu (smartphone) itakayo kidhi mahitaji yafuatayo 1:Fanya internet update 2:16GB memory and above 3:android update 4:kaa...
Back
Top Bottom