Search results

  1. S

    Mbinu zinazotumiwa na Matapeli kwenye M-Pesa,Tigo Pesa Airtel M n.k

    Halafu njia nyingine jamaa anakupigia. Halafu anakuwa very smart, hana haraka. Anakupigia anakwambia yeye ni wakala wako mkuu. Kuna pesa wamekutumia hebu angalia salio. Kwanza anakwambia umtajie namba yako nyingine akupigie huko ili simu yenye line ya wakala iwe free. Ukishamtajia namba Zako...
  2. S

    Mbinu zinazotumiwa na Matapeli kwenye M-Pesa,Tigo Pesa Airtel M n.k

    Hii pia imemtokea Dada yangu last week. Sema ni hela mbuzi. Siku ya kwanza wamechukua thirty, na ndo ulikuwa hiyo hiyo kwa tigopesa yake. Kesho yake wakampiga tena 15 baada ya kuweka hiyo hiyo 15. Halafu text ya tigopesa ikaingia umetuma pesa kwenda namba XXX. Kuwapigia tigo wakajibu eti hii...
  3. S

    Chemical: Mimi ni msichana nataka kubembelezwa

    Ulikutana na kitu ya Matejoo [emoji23] [emoji23]
  4. S

    Mtoto wa kike unakomalia nichkue kilo mbili ya mdudu na ndiz juu,duuh

    Nipe namba yake mkuu, kizuri kula na nduguzo
  5. S

    Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Mbona kama vile ya Serena Hotels[emoji2] [emoji2]
  6. S

    Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniongezea muda Wa kuishi duniani
  7. S

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Deity is god , not God. Mungu tunaemwabudu haitwi "mungu" anaitwa "Mungu".....hata ukiangalia kwny kamusi yoyote hukuti wametafsiri neno Deity kama Mungu, ni mungu. Labda hiyo kamusi iwe ni ya anti-christ
  8. S

    Mke wangu nisikilize kwa makini

    Mke Wangu, password ya fb na patterns za cm ntakazokupa Leo sizo ntakazotumia next week. Jiandae kwa hilo mke wangu.
  9. S

    Abdallah: Naamka kwenye kifusi, naenda shuleni

    Na hiyo bendera ya ccm hapo kwwnye picha inafanya nini?
  10. S

    Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Na usiombe upange nyumba ambayo haina ceiling board. Usiku watu hawalali. Nadhani nimeeleweka
  11. S

    Kwanini condoms zinakaa tatu?

    Zile za MSD zikogo mingi aisee, zaidi ya tatu
  12. S

    Hivi hii shida ya usafiri mjini Dar itakwisha lini?

    Una akili mingi sana mkuu, kama vile kiumbe alien.
  13. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    24/7 tupo JF , kazi zinazotupatia kipande tunafanya sangapi?
  14. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mapema sana uwah buchan ili upate nyama nzuri
  15. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    TFF ni moja ya taasisi zilizojaa figisufigisu
  16. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kuchekesha napo ni kipaji
  17. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    wapenzi wengi sometimes wanasaidia sana
  18. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    bora nife kuliko kuishabikia ccm
  19. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    vasco da gama anasubiri sana kwa huyu aliyefanyiwa sub juzi kati hapo
Back
Top Bottom