Search results

  1. kalipeni

    Marekani yatoa 'Ujumbe wa faragha' kwa Iran baada ya shambulizi Yemen

    Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran waliohusika katika kuzishambulia meli za kibiashara...
  2. kalipeni

    Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?

    Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
  3. kalipeni

    Jinsi Makomando wa Israel walivyowaokoa mateka 102 waliofichwa Uganda kwa dakika 58

    JINSI MAKOMANDO WA ISRAEL WALIVYOWAOKOA MATEKA 102 WALIOFICHWA UGANDA KWA DAKIKA 58 Serikali ya Israel imeapa kulipa kisasi kwa shambulio la kushtukiza la kundi la wanamgambo wa Hamas ambalo ni baya zaidi katika historia ya miongo ya hivi karibuni. Tayari mashambulizi dhidi ya ukanda wa Gaza...
  4. kalipeni

    China spy/survaillance baloon

    Siku ya jumamosi tarehe4 jeshi la Marekani lilifanikiwa kuitungua baloon ya upelelezi, surveillance baloon/ spy baloon, kama ilivyoelekezwa na Rais Biden. Baloon hiyo inayosemekana ni ya jamuhuri ya watu wa China, japo serikali ya China inadai lengo la hiyo baloon ilikuwa kwa ajili ya masuala...
  5. kalipeni

    Fundi wangu ananiangusha wallah!!

    Nilimuamini sana anapiga kazi ambayo ata graduate wa civil anasubiri lakini huu ndio muandiko wake nimechoka.
  6. kalipeni

    Naomba kujuzwa mchanganuo befoward

    Naomba kujuzwa kuhusu izi gharama za uagizaji befoward ndio izo zinazoonekana kwenye bidhaa pekee au itaghalimu pesa nyingine adi ndinga inaingia mkononi nisije kuagiza kichwakichwa ikaozea bandarini.
  7. kalipeni

    Hii ni aibu kwa waandaaji sherehe za maazimisho miaka 58 Mapinduzi Zanzibar

    Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa. Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
  8. kalipeni

    Samatta uwanjani muda huu

    Mbwana samatta na timu yake ya Royal Antwerp wapo uwanjani muda huu wakipepetana na RFS seraing kunako jupiler pro league. Unaweza kucheki live through hesgoal.com
  9. kalipeni

    Na hii gari ni yakwangu

    Wahaya wanapenda sana sifa kwakweli ata kama Hana kitu bado atajikweza tu, Ukimkuta kondakta wa daladala anapiga debe utaskia "kimara mbezi kimara mbezi na hii gari ni yangu"
  10. kalipeni

    Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
  11. kalipeni

    Jezi feki haziepukiki

    Nimepitia web ya Chelsea bei ya jezi tshrt pekee usd105 sawa na zaidi ya laki mbili za Tanzania wabongo tutavaa jezi feki tu
  12. kalipeni

    Wale wa mobdro app, naomba msaada

    Mechi ya Man U vs Villa naweza kuiangalia kwa chanel gani kwa application ya Mobdro?
  13. kalipeni

    Enzi za shule ya msingi

    Maisja ya shule bwana we acha tu! Nilipokuwa shule ya Msingi enzi hizoo kuanzia Darasa la Nne hadi la Saba maksi zangu za somo la Hisabati (Hesabu) zilikuwa zinacheza kwenye 03% - 08% na kwa bahati mbaya matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya Darasa. Yanapotangazwa mwalimu anaanza kuwaita...
  14. kalipeni

    Tucheke kidogo

    Hebu tuongee ukweli tu; umetoka kwenye mkesha flani wa aina yoyote ile, asubuhi ukaamua kulala chumbani kwako ili kupunguza uchovu na usingizi. Ukaandaa maji ya kuoga kwenye beseni pindi utakapoamka uoge na kuendelea na mambo mengine ya ujenzi wa taifa; wakati umelala usingizi mnono...
  15. kalipeni

    Wazee wa live streaming msaada

    Nina app ya mobdro Chanel Gani itaonesha game ya Liverpool vs genk.
  16. kalipeni

    Fursa za ajira 🐫 Oil

    Job seekers wenzangu tuchangamkie izo fursa
  17. kalipeni

    Suala la UDSM kupitia UCC kutangaza kazi na kuweka vigezo kuwa lazima uwe Mfanyakazi wa UDSM/UCC, hii nayo ni rushwa

    Suala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kupitia UCC kutangaza kazi na kuweka vigezo referees lazima awe Mfanyakazi wa UDSM au UCC yenyewe ni moja ya rushwa makazini kwakua ili upate iyo kazi lazima ndugu yako awe Mfanyakazi wa UDSM Kwa watoto wa Wakulima ambao hawana ndugu madokta au maprofesa...
  18. kalipeni

    TV imezima ghafla tatizo nini

    Habari zenu wajuvi wa technology, TV yangu Sony flat screen imezima siku yapili sasa tatizo ninini. Muwe na siku njema
  19. kalipeni

    VAZI LA GWANDA LILIANZIA APA

    apa ndipo nilipowaelewa chadema kwanini wanalitumia ili vazi. heshima kwako muheshimiwa mbowe, heshima kwa baba wa taifa watanzania tutakukumbuka milele upumzike kwa amani mzee wetu.
  20. kalipeni

    Mangi Meli mwaka 1900

    picha ikimuonyesha chifu wa wachaga mangi meri mwaka 1900.
Back
Top Bottom