Search results

  1. P

    Natafuta kazi Arusha

    Habari wana jf mimi ni binti mwenye umri wa miaka 27 natafuta kazi arusha nina degree ya socialwork kutoka chuo kikuu cha dar es salaam kwa yoyote atakaeskia plss anijuze asanteni.
  2. P

    Ni bora kudanganywa kuliko kijidanganya. Uonekane mzuri

    I wonder wanaume wengine wanapenda kuponda ma xgirls wao ili wanonekane wazuri wao ukichunguza kwa makini utagundua anaemponda x wake ujue bado anampenda na anamuonea wivu sio vizuri mjirekebishe usisafishe jina kwa kumpa mwenzanko sifa mbaya ili aonekane waovyo we ndo wamaana utavuna unachopanda
  3. P

    Namshangaa simuelewi huyu mwanaume

    Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo. Bado anawivu lukuki kwa huyo mama watoto wake kila kitu anampangia kufanya na mawasiliano yasioisha mwemwemwe mbona kama naibiwa...
  4. P

    Nataka kushika mimba

    Habari waungwana nataka kushika mimba mzunguko wangu ni wa siku 28 hadi 32 naomba kujua siku za kushika mimba ni zipi?
  5. P

    Folic acid inaweza kuzuia matokeo ya mimba kuwa accurate?

    Nimekua nikitumia folic acid kabla sija concieve ila nahisi kuwa mjamzito ila nikipima matokeo ni negative je folic acid inaweza kuwa sababu ya matokeo kuwa not accurate labda dawa imejaa kwenye mkojo?au
  6. P

    Hataki kuni expose kwenye social medias and network

    Nina mwenza wangu hataki ajulikane kama tunamahusiano nae yani hataki hata kuweka picha yangu kwenye socila networks ikiwemo facebook twitter watsup bbm na kadhalika hata mi nikisema niweke ananijia juu akiziona nimemuweka na mm namuweka kwa mapenzi to be proud of him ila ye hataki anasema ntoe...
  7. P

    Anadai ananipenda nimpe muda Aachane. Na wazamani ila hajamucha mpaka leo

    Takribani miezi sita sasa. Tangu nikutane na kijana. Ambae alidai yupo kwenye mahusiano asiyoyapenda na angependa kuwa na mimi ila nimpe muda wa kuachana na wazamani cha kushangaza mpaka leo hii bado hajamuacha. Nikimuuliza anasema nivumilie atamuacha muda is. Mrefu nimeanza kupata mashaka...
Back
Top Bottom