Duh aisee pia nimesikia huyu mzee hiv punde, kwa kifupi dovutwa anapelekeshwa na njaa tu km umemsikia anadai pia chama chao kipewe ruzuku, halafu ajajibu hoja alizoulizwa, japo mtangazaji pia yuko sharo maana alipaswa kumbana aweze kujibu ni aidha kakimbia swali au hajui kabisa kinachoendelea...
mie sio mpenzi wa mambo ya siasa, lakini kwa hili haliitaji elimu ya juu sana kujua nini kinapaswa kufanyika
ninachofahamu katiba inatokana na maoni ya wananchi na ndio hayo ambayo yamewekwa ktk rasimu, sasa CCCM tena hapa namaanisha wabunge wa CCCM krb wote(ambapo ni ajabu wakawa na msimamo...
1. kuna chumba na sebule
· self contained
· pana packing
· maji
· gharama elfu tisini (90,000)
2. chumba kimoja
· self contained
· kuna packing
· maji
· gharama elfu hamsini (50,000)
kama ni muhitaji basi piga 0752-531222...
jf's i have installed wine in my ubuntu 11.4 but still it fails to open and edit my .pub files but it does only for .doc,.xls help me out of this mess.
we do hosting and full support just at 200,000 per year
web designing, at 600,000 per website
database driven websites(php and mysql)
software development were currently we have students management system,saccos solution
you are welcome!!
contacts:
email:info@visualtechnologiestz.com...
JF guyz naomba mnisaidie nimeinstall kaspesky trial version sasa inaniambia imebakiza siku sita kuexpire nisaidieni jinsi ya kuingezea siku nipeni ujanja pliz!!
pia window 7 inasema is not genuine nawezaje kuchakachua?
honestry kuteua mtu km stella manyanya ambaye ni mbunge is totally unfair. kwani huyo mama sifa zake ni zipi za ajabu ambazo wanawake wengine hawana. This is totally unfair nataka katiba mpya jamani...
KUANZIA LINI UNATAKA HOSTEL? for how long? age and sex of students? STUDENT'S EDUCATION LEVEL?? purpose of students in DSM?? DETAILS HIZI ZITASAIDIA KUPATA HIYO HOSTEL!!!!
Kuanzia mwezi wa tisa kwa muda wa miaka 5 au zaidi age 21 and above all sex for degree level maeneo yaliyo rahisi kufika...
naitaji ushauri wana JF,naitaji genuine antivirus that can save 100 users with minimum price
na je hizi kaspesky au norton zinazouzwa elfu 35,000 for single user na 60 kwa 3 users ni za kweli. help me pliz
JF guyz i have a simple website that i have developed i need steps on how i can upload it also companies responsible for domain registration and their fees,also what if i have a server how can i upload it in my web server help pliz.
tatizo sio kumpigia kampeni jk tatizo ni wakati gani wa kufanya hivyo na kwa kiwango chake cha elimu kweli yule mrembo anatumia kamasi kufikiri.au kaambiwa ukimrusha kidogo tu jk basi unapata ukuu wa wilaye manake jk haeleweki.
Guyz i ask for help,currently am developing a web based application that uses PHP and mysql, i have put a link in my home page that directs to that application now the problem is hii application itawezaje kuwork ikiwa inatumia mysql as backend je hawa wanaohost watanitunzia na hiyo database...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.