Wazee wa Utest hii hapa official kabisa kwa Tanzania tumia link hii
https://testerwork.com/tanzania/fbc222-tanzania/
Na msije mkadhani nafanya affiliation hapana kama unaweza tafuta Google utaipata
Nawasilisha
grup mpya bado ya mambo ya arduino kwa wauzajii hizi products, projects zake na mengine mengi tumia na share hii link
Arduino4Us Forum
Kwa tuanaopenda kujifunza, kuuza na kupata taarifa na project za Arduino
Arduino4Us Forum
Wakuu mwenye kitabu cha c++ programming; program design including data structure (6th edtn) by D.S Malik au Learning computing with robot by Deepak Kumar
pia Management information system management the digital firm(7th edtn) by Laudon na management information system for the information...
Ndugu zangu naombeni kujuzwa juu ya size ya dish la offset(ku-dish) ili niweze kupata eutalsat 8 west a , amos 5 , thaicom 5 nawakilisha nipo Dar-Es-Salaam,eneo la Chanika,Buyuni
Wanajukwaa naombeni msaada juu ya kupata "CI MODULE" ya receiver maana nimepata tv ikiwa na DVB-t Receiver ndani yake na baada ya ku-searche nilibahatika kupata jumra ya channels 56 yaani za ndani na nje ya nchi ila zote zinatoa message ya "NO CI MODULE" nimejaribu ku-google na kuona hiyo ci...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.