Search results

  1. T

    Msaada: Jinsi ya kubadilisha Android OS kwenye Smart Tv

    Ok mkuu, asante kwa ushauri...Be Blessed
  2. T

    Msaada: Jinsi ya kubadilisha Android OS kwenye Smart Tv

    Mkuu hakuna icon ya gear (settings), na nimejaribu kutafuta kila kona Icon yenye herufi A lkn sijaona kitu..Tatizo nalo ni kua remote ya tv button zake nazo zimeandikwa kichina, so sina hakika MENU ni button gani...nabahatisha tu!! Kwani haiwezekani kuformat hii Yun OS then niweke nyingine ya...
  3. T

    Msaada: Jinsi ya kubadilisha Android OS kwenye Smart Tv

    Mkuu najua ni kichina coz nimeinunua china. Shida ni kwamba menu zote ni kichina na sijui niende wapi nikabadilishe language. Tv make and model ni Haier LS58A51. Na operating system ni Ali Yun (OS)...Link ya specification hii hapa Haier / Haier LS58A51 58 inch 4K ultra-high-definition...
  4. T

    Wakati mwingine wanasiasa wawe wakweli, Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa hakuwa na ziara rasmi Tanzania

    Dah, kweli akina Bashite wako wengi...yaani uongo wa kitoto unakuja kutuongopea hapa. Kwanza kabisa Huyo Katibu mkuu wa UN hajavaa pajamas za Swiss Air kama unavyodai, kavaa sweta lake toka nyumbani...ukitaka kuhakikisha google " swiss air first class pajamas" utaziona ziko nyingi tu na...
  5. T

    Msaada: Jinsi ya kubadilisha Android OS kwenye Smart Tv

    Hello there, naomba kujua jinsi ya kuformat na kuweka Android OS nyingine kwenye smart TV. Yangu imekuja na lugha ya kichina na hakuna option ya kubadili lugha. Kwahiyo I need to format the Android OS and reinstall an English version....Msaada kwenye tuta pleaseeee...
  6. T

    Jinsi ya kubadilisha Android Firmware ya Smart Tv

    Hello there, naomba msaada. Kuna Tv nimenunua China (Haier) na Android OS yake imekuja ukiwa na lugha ya kichina. Na kwa bahati mbaya hakuna option ya kubadili lugha. Sasa nataka ni-format hii Android OS then niweke nyingine. Je, kuna mtu anaweza kunisaidia maelekezo jinsi ya kufanya ili niweke...
  7. T

    Natufuta Nyumba Ya Kupanga Maeneo Ya Sinza, Mwenge, Survey au Kijitonyama

    Hello wana jamii, Natafuta nyumba maeneo ya sinza, mwenge, survey au kijitonyama...iwe na vyumba viwili au vitatu, sebule, jiko ofcourse na bathrooms. budget ni around 300,000Tsh Mawasilino: 0712-300200
  8. T

    Professional Video Camrera SONY DSR-PD170 On Sale

    Weka specifications zake na picha, alafu hiyo email address mbona kama magumashi vile! Namba ya simu itarahisisha mawasiliano..
  9. T

    Natafuta Photography Studio Lights and Projectors

    Hello WanaJamii, Natafuta taa za mobile studio kwa ajili ya kupigia picha (studio photography lights), ziwe ni flash (not continous lights i.e for video) na miavuli meusi (balck and silver reflective umbrellas). Pia nahitaji projectors (especially Sony EX100) zenye lumens 2000 na zaidi...
  10. T

    Projector za epson zinahitajika.

    Wadau nahitaji projector aina ya Epson kuanzia lumens 2500....kama una model nyingine nzuri (sio ya kixhina) naweza kuchukua...call me on 0712300200, plz usibeep..
Back
Top Bottom