Search results

  1. mangoro

    Nimeoa mwanamke mkali naomba msaada nifanyaje

    Kazi ndogo sana, hao wanataka vipigo,muamulie siku moja umtwange hadi ashindwe kwenda baada ya hapo utaona heshima itakavyoonekana nyumbani. Siku zote hizo anatafuta kujua kama unaweza kumtwangaaaa. Sasa kaka huyo Punda miluzi mitupu na makelele haendi hakukulia mazingira hayo. Malizana nae...
  2. mangoro

    mini solar power

    MwanaHaki unakosea sana ndugu, kua positive acha zako, eng sio cheo hiyo ni shule kaka. Takwimu zinaonyesha M-TZ kipato chake ni dola moja ya USA sasa hayo masola makubwa ni ya nini?utamuuzia nani? Kutokujua kwako biashara isiwe sababu ya kumfanya Eng. Asifanye mamboozz. Mwache atengeneze ndogo...
  3. mangoro

    1o best online market places,,your contribution

    Mbona mmesahau Alibaba.com? Hawa jamaa ni waaminifu na unapata bidhaa yako bila tatizo wana huduma ya Aliexpress ambayo ndio ina control issue za malipo. Wachek hawa utalipa kila kitu bongo na watakutumia mzigo wako kwa DHL au Fedex Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  4. mangoro

    Line ya mpesa inauzwa

    Natafuta ya tigo pesa any news??!! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  5. mangoro

    Ni ipi faida ya ubalozi wa Vatican nchini?

    Labda naomba mnijuze,Vatican ni nchi au ka-province kule itali? Kama ni nchi sioni kwanini tuhoji uwepo wake hapa Tanzania ila kama ni ka-province kule Itali hakuna sababu za kuilinganisha na nchi yeyeto ya kiarabu. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. mangoro

    FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

    Mabadiliko tuyakubali ndugu zangu, tusianze vikwazo hata safari moja haijaanza,wengine wanavutia wateja,mara watashindwa mnapata wapi uwoga?kwanini historia ndio yamekua maisha yenu?Wajaribu kwani kushindwa dhambi?Wakijipanga wataweza na kila raia aliekua akiota ayapandaje ndege atapata fursa ya...
  7. mangoro

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Hata ishu ya mafuta inatushinda?????Kagame alichokifanya mlikiona????mbona hamuigi mifano?????Y TZ tuuuuu?????
  8. mangoro

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    Nafikiri huu ni mwanzo tu wa mambo yajayo.Nawaomba watanzania wenzangu tutulie tuone nini kitatokea?Tusibeze kila kitu.Najua huu hautakua mdahalo wa kwanza utakao fuata ndio tutakuwa kwa position kumueleza ni mdahalo gani afanye/afanyeje.Ila suala la e-mail hata mimi nalipinga.Hata ki maila...
  9. mangoro

    Taliban Waanza Kukata Vidole Vya Wapiga Kura Afghanistan

    Suala la Taliban kukata watu vidole mimi ningependa lisihusishwe kabisa na suala la dini ya kiislamu.Maana haitaleta dhana nzima ya kuwa na huu uwanja wa kujimwaga.Taliban ni kundi kama makundi mengine yasiyopenda amani na si uislam.Waislam ndio wapenda amani wakubwa.Vikindi vichache...
Back
Top Bottom