Wewe nduka na mark wote ni wapumbavu tu! Hoja zenu zote ni za kijinga tu kwani mna chuki binafsi, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kusubiri kuambiwa mpinzani wa kweli ni nani! Na hao watu wa kigoma akili zao wote zimegoma kubadilika wanabaki hivyohivyo na umaskini wao mpaka wafe, hakuna...
Slaa, Mwakyembe watishiwa kuuawa
Na Saed Kubenea - Imechapwa 09 March 2011
Membe, Mengi, Mwandosya nao wamo
IGP: Tuna taarifa hizo, tunachunguza
Sheikh Yahaya Hussein naye ahusishwa
KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini, Dk. Willibrod Slaa ametajwa kwenye orodha ya watu wanaotishiwa...
kwa ushauri wangu nadhani ungefanya tour kwanza kuja kujionea hali halisi mwenyewe usiache kazi mara moja mbali na vishawishi visivyokuwa na ukweli ndani yake kwa sababu kubwa zifuatazo, kuhusu huo mshahara wako unaopata hapo siyo kiasi kikubwa sana cha kukufunga ubaki bongo, lakini kulingana na...
Wewe unayejiita Fungu la kukosa hata akili yako nadhani ni ya mafungu, aliyekwambia kwamba 75% ya wakazi wa mjini ni waislam ni nani? nitakubaliana na wewe kama ungesema Tanzania ni pwani, Tanga, Kondoa na mtwara hapo ndiyo ungeweza kutumia data zako hizo.
Bado kuna kitu kinanisumbua sana akilini kuhusu huyu jamaa JK, kuna siku niliona picha yake akiwa mbagala kwenye msiba wa Shehe Mtopea, hiyo nadhani ilikuwa tarehe 6 Feb, hiyo haikunishangaza sana nikaona ni jambo jema kwenda kufariji wafiwa ingawa kigezo kilichotumika ni kuwa Shehe Mtopea...
Mmi nafikiri tatizo kubwa lililomkumba huyu ndugu yetu ni USHAMBA TU baada ya kuona amekuwa pick # 2 NBA akajiona sasa dunia yote ya kwake! trip za bongo zikawa kama dawa ya homa 3 kutwa mara 3, na akifika bongo IKULU ya kwake, Rais mwenyewe anajipendekeza kwake, kama kawaida ya Rais wetu...
Ni Mzanzibari aliyetorokea Uarabuni
Ana mahekalu jirani na vigogo Zanzibar
Kuna utata kuhusu deni la Bil.100/- na rehani ya mitambo
Mwandishi Wetu
Februari 23, 2011
WAKATI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) likielezwa kuanza kuwasha mitambo ya Dowans, mmiliki wa kampuni hiyo aliyezua...
Hata mimi ningeshangaa sana kama ungemkubali Nyerere wewe na kundi lako wenye akili finyu za kufikiri zaidi ya kulalamika tu kwamba tunaonewa, hatuna vyuo vingi, hatupewi madaraka, ila ukumbuke kuwa Roma haikujengwa siku moja! ni juhudi za za ziada zinahitajika ili angalau uweze kuwa mshindani...
Huyu Rostam ndie chanzo ya matatizo yote katika Serikali yetu ya Tanzania. Yeye ndie anaeivuruga CCM kwa maslahi yake binafsi na ni yeye ndie alieleta Wahindi/Waarabu wafanyabiashara katika ccm. Yote haya ni katika kuiweka serikali mfukoni mwake. Na ni yeye anaeandaa watakaotawala mwaka 2015...
JANUARY MAKAMBA: Dalali au Mzalendo?
Msomaji Raia
Februari 16, 2011
SHIDA haina adabu. Yaweza kumfanya nyangau kuwa mzalendo na mzalendo kuwa nyangau. Mbunge wa Bumbuli, Mheshimiwa January Makamba, wiki iliyopita alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini ndani ya bunge letu...
Polisi wamchuuza kwa taarifa zao
Mbunge Lema awasilisha hoja 10
Spika ataka iwe kwa maandishi
Mwandishi Wetu
Februari 16, 2011
SAKATA la vurugu na mauaji yaliyotokana na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha linaelekea kumuelemea Waziri Mkuu Mizengo Pinda...
Chenge ajitangazia uadilifu Send to a friend Sunday, 13 February 2011 21:06 0diggsdigg
Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Andrew Chenge, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu uchunguzi kuhusu kashfa ya rada uliofanywa na ofisi ya Kuchunguza Rushwa Kubwa ya...
Mmenipeleka RUVU JKT,(program ya chama) 1988/1989 EAGLE COY, jamani mpo? nakumbuka nilijongo kwa muda kama wa miezi mitatu hivi, niliamua niache kabisa kwani maisha yalielekea kunishinda, lakini kila nilipokuwa nakutana na watu mitaani walikuwa wananiuliza vipi si ulikuwa jeshini wewe...
NI KWELI WAZIRI MKUU AMELIDANGANYA BUNGE
Deusdedit Jovin
FEBRUARI 10 mwaka huu, Spika wa Bunge, Anne Makinda, alipindisha Kanuni za Kudumu za Bunge (2007) kwa lengo la kubembeleza urafiki wa Kaizari, kati yake na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Jambo hili lilitokea baada ya Mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.