Search results

  1. Roadmap

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Kwa trend ilivo kuna Possibility hata Vitukuu vyetu vikatushangaa sana, Yani Mama anaacha Kwenda Shamba au Sokoni kufanya Biashara Azalishe anaenda kushinda kwa Mwamposa
  2. Roadmap

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Jamaa kelele zote Zile Pinga Pinga yote kipindi cha Mzee Baba nahsi uliguswa sehemu tu aisee, Wewe leo wakusifia Uongozi huu? Njaa mbaya sana
  3. Roadmap

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    CDF ni Nyeti sana mzee, hayupo kwenye Succession Plan ila Ni top sana na ana Clearance kubwa kuliko hao uliowataja, V.P na Waziri wa Ulinzi ni maboss kwa CDF kwa macho ya Juu tu ila kati ya CDF, VP na Waziri, Top inner circle ya Rais apo Ni Mkuu wa Majeshi
  4. Roadmap

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Uchambuzi mzuri sana Mimi naziona possibilities zote tatu kuwa Vichwani mwa hao matop walikuwa wanamzunguka Rais kwenye Wakati wake wa mwisho, Inashangaza Sana Serikali ya Kiraia ambapo VP ni second in command anaachwa Kuwa informed mapema mpaka mzee anakufa akiwa Mikononi mwa makamanda, VP...
  5. Roadmap

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Usisahau Mkuu wa Nchi ni Mali ya Umma
  6. Roadmap

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Binafsi nimeshtuka kusikia CDF ameanza kumuita PM na CS badala ya VP kwanza, Inaonekana kama VP alikuwa abandon fulani kwenye huu Mchakato
  7. Roadmap

    Je, Hayati Magufuli alikabidhi nchi kwa jeshi?

    Kwenye crisis kama ile Sioni haja ya Kuingiza Raia hao aise tena politicians bora tu Vyombo vya Usalama Vile handle iyo issue na Kufanikiwa kumsuceed VP kuwa Rais, Wangeachiwa wanasiasa nchini ingetumbukia kwenye Vita
  8. Roadmap

    Wabunge matajiri wafanyabiashara, wanasimamia Maslahi ya akina nani bungeni?

    "Siasa Hulinda utajiri" Mwisho wa Kumnukuu Daniel Arap Moi Rais wa Pili wa Kenya
  9. Roadmap

    Huu ubaguzi wa vyuo kwenye ajira sio wa kufumbia macho, ukemewe!

    Sio kirahisi ivo mzee nani akupe tenda kwenye site kubwa bila Kujua Experience yako au reputation yako kwenye industry izo construction works zote zina taka muda mrefu kugain trust kwa clients it's not a one night stand mzee, Na tayari watu wapo Sokoni and they are much more experienced na...
  10. Roadmap

    Kama unataka kuwa na pesa ndani ya utumishi wa umma tafuta sehemu nzuri bila kujali kiwango cha elimu yako. Kama unatafuta vyeo tafuta Masters

    Unataka Consumer na Producer wafanane Mishahara? Leo upo Halimashauri unataka Ulipwe Sawa Na Mtu wa TRA au BOT huoni utofauti wa taasisi mzee?
  11. Roadmap

    Ufafanuzi wa tukio lilotokea jioni ya leo kwenye Anga la Tanzania, Teknolojia inazidi kukuwa, Watanzania tunaachwa nyuma tunabaki kushangaa

    Unajua watawala wanataka Means za Mawasiliano ambazo zitakuwa Rahisi kufanya Censorship and Monitoring hata matumizi ya izo technology zenye end to end kama WhatsApp, au RCS za Google kwao hawataki mana sio traceable, Leo unampa permit starlink ikitokea Maandamano unazimaje hio net? Satellite...
  12. Roadmap

    Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Hii Kauli itamtafuna mzee makamba sana
  13. Roadmap

    Maoni: TANESCO isimamiwe na jeshi

    Ujinga ni Mzigo, Akili za Mwendazake izo Kupeleka mpaka Jeshi letu kwenda Kubangua Korosho matokeo yake wote tuliyaona, Changamoto za Umeme hazipo tanzania tu tuelewe ilo South africa ambae ana total capacity ya 48000MW ana Blackout na Load shedding ambazo zilipelekea mpaka Rais Kuataka...
  14. Roadmap

    MAONI: Kwenye battle ya flagships, hakuna brand inayoizidi Samsung, hata iPhone haishiki moto wa Samsung

    Most reputable brand kuanzia nguo na izo za designing nyingi zimekuwa crafted na gays wapo Kila sehemu, inshu ya Tim Cook kuwa ivo sidhani kama ina athari kwako end user
  15. Roadmap

    Kigwangalla: Nitawajibika lakini ukweli ni kuwa Mifumo yetu nchini ni dhaifu

    Mtu anaetuma Ndege ifate malaya dar na Kuwapeleka Porini leo anatoa Guts wapi za Kuona wenzake Wachafu?
  16. Roadmap

    Dkt. Nchimbi aonya viongozi wa CCM kuwavaa wa Serikali

    Nimeona DAB leo anamdhalilisha DED wa Pangani kwa Kweli haijakaa Poa kabisa hata kama nikutafuta Publicity ile imekuwa too Much ni Ushamba fulani ivi
Back
Top Bottom