Search results

  1. I

    Nini kinaendelea Malawi?

    Ni vita tu ndo itatoa solution..hakuna cha mahakama wala vikao vya nini sijuhi
  2. I

    Waraka - Uraia Ndumila kuwili (Dual Citizenship)

    Duh we ndo prime minister wa UK amewambia tuwape ka uhuru?
  3. I

    Waraka - Uraia Ndumila kuwili (Dual Citizenship)

    Kama kawaida Tatizo la Watanzania WIVU NA UBINAFSI.Watu wangi wanafikiri watu wa Marekani watafaidika..jamani sio kila jambo linaweza kufaidisha watu wote.Kuna watu hawana watoto na hawategemei kupata watoto lakini si wanashiriki kujenga shule?.Sisi uku Kyela tunautaka sana maana kuna watoto...
  4. I

    UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

    Hivi tuna Wabunge wangapi wa Tanzania ni Mashoga?Wapeni haki wenzenu
  5. I

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Mwongo huyo hakuna cha sumu. Mvuto Kyela umepungua sasa anatafuta namna ya kuja kutudanganya. Picha yenyewe itakuwa hivi 1. Kapewa sumu 2. Anapelekwa nje kwa matibabu 3. Anarudi nchini 4. Mandamano Kyela ya kumpokea .....Nitakuwa Mtu wa mwisho kuamini hii habari. HIYO SUMU KAPEWA...
  6. I

    CHADEMA hawana mkakati, endeleeni na shughuli zenu

    Dogo ukiona kimya ina maana wamekubali walishindwa ..Watani zangu wale wanaopendaga kujinyonga kule nyanda za juu wnasemaga "ukiona nimenyamasa bee niangushege"
  7. I

    Wajue wabunge VIHIYO wa CCM...

    Mbunge mteule wa Ubungo mbona hayupo
  8. I

    Elections 2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

    Kwani vipi? beki za mpendezoa zililala nini? teeee siasa za Africa nzuri sana
  9. I

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Hizo ni symptoms za loser.Kwani mlipokuwa mnaingia kwenye uchaguzi mlikuwa na imani gani na nec?Kama wewe umeshindwa ni kuachana na siasa...wache wnanchi waendelee na kazi zingine ...umeshindwa umeshindwa basi....
  10. I

    Elections 2010 Kwanini JK hakutaka kupoteza jimbo la Kibaha Mjini?

    Mwongo wewe.Punguzeni uswahili,naona hizo story hazisaidii tena kwa sasa
  11. I

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    Wewe EDSON NYang'ahu Mkubwa umeanza kutukana watu kwa ajiri ya barua yenyewe HOAX
  12. I

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Dr.Mkumbo mwenyewe member hapa lakini kala kona kwa style ileile ya Mzee Makamba na Mkuchika
  13. I

    Elections 2010 Taarifa kutoka jimbo la bukombe

    Na huyo ni prof. wa nini anaangaika na politiki za bongo....kweli tunashangaza na kutia huruma
  14. I

    Elections 2010 Batilda Burian karibia anadata jamani... Mlio karibu naye msaidieni

    Mbona wewe unalialia kama wale mademu wa Bondeni secondary
  15. I

    Elections 2010 Jeshi kumuaga rasmi JK

    JWTZ kwenda viwanja vya chuo cha Polisi???? inaelekea wewe unawatania JWTZ
Back
Top Bottom