but its not fair kwanini wasitupe pesa zetu siku zote hizo na tukisema tunaandamana wanatukamata why....???? Tufanye nini sasa jamani na pesa hatuna....
Hatamaye taifa letu laandaa taifa lenye vijana wenye mafunzo ya kijeshi lakini hawana ajila,je!hawaoni kama wataongeza idadi ya majambazi wanaojua kutumia siraha za moto tena za kivita????.....Taifa letu laenda wapi jamani...
bt jaman tumepanga kuwa kama majibu yao hayataturidhisha basi ijumaa asubuhi yani mapema sanaa tukutane posta ya zamani pale mkabala na NBC Bank kwenye garden ili tuende tena wizarani yani mpaka kieleweke..
hata mm nlikuepo bt kitu kinacho nichanganya now ni kumuona yule jamaa toka wizara ya elimu anasema ameongea na sisi na kutuambia turudi tena heslb kwa kupata ufafanuzi zaidi,kwa maelezo zaidi angalia chanel ten habari saa nne usiku huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.