Search results

  1. Happycuit

    Young Africans yawasilisha Malalamiko yake CAF

    Waache wajisumbue
  2. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Hatari mkuu hii nchi hii.....
  3. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Mkuu ,Safari za abiria kutoka dar kwenda mlimba zipo au hakuna? Na kama zipo ratiba ipoje
  4. Happycuit

    Kwako Mwanamichezo, Gamondi na Nabi yupi zaidi?

    LILE SIO GOLI. OVER.
  5. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Inawezekana kwakweli maana si kwa mizinguo hii
  6. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Kuwa makini, UTAUPONZA
  7. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Hili zoezi linaendelea hivi sasa , nilikata treni ya kwenda mbeya tar 2 mwezi huu chakushangaza siku ya kusafiri nilivyofika wakaniambia safari hakuna mpaka zitakapotangazwa hivyo tunarudisha nauli zenu, nikarudishiwa nauli.... Narudi nyumbani naambiwa treni imetoka asubuhi kwenda mlimba, sasa...
  8. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Hawa watu wanakera ukienda unaambiwa treni ya mwakyembe inafuata watu waliokwama ng'ambo haibebi abiria ukikaa siku mbili unasikia leo imebeba abiria imeenda mlimba, Hovyo kabisa
  9. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Kweli kabisa, nakuunga mkono kwa hili Waafrika hakuna kitu tunaweza
  10. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Wewe ni Ke au Me? Mbona kama hueleweki hebu jiweke wazi
  11. Happycuit

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Wafanyakazi wa Tazara wanajiona ni miungu watu, wana nyodo sana.... Shirika limewashinda kuendesha Tunafahamu kuna uharibifu wa miundombinu ya reli iliyotokana na mvua za masika zinazoendelea kunyesha iliyopelekea safari za Zambia - Dar es salaam kusimama kwa muda lakini kipande cha dar hadi...
  12. Happycuit

    Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Utopolo mbona hawana kiwanja Chao wenyewe ambacho Wana maamuzi (absolutely power) lakini majini wanayarusha na kuyatumia kama kawaida na yanafanya KAZI mpaka nje ya nchi na mabara?
  13. Happycuit

    Dream League Soccer 2020 special thread

    Kama Kuna kiazi chochote humu kije nikishikishe adabu
  14. Happycuit

    Je ratiba kama hii ina afya kwa timu husika ?

    Ratiba na afya ni wapi na wapi?
  15. Happycuit

    Kumbe Uwanja wa Gwambina sasa unaitwa Fountain Gate Stadium? Mbona kimya kimya?

    Sijasoma ila najua itakuwa imeandikwa pumba tu
  16. Happycuit

    Dream League Soccer 2020 special thread

    Naweza kuwa nimeanza kabla yako mkuu...maana mimi nilianza 2015......nikapiga 2016,2017,2018,2019 nikapumzika 2020,2021,nikarudi tena 2022 na 2023 kidogo sio kwa moto ule,kikubwa mimi ni mdau wa online match na sio hizi offline coz nawapiga hadi goli 16 so hazina mzuka kwangu na sijihisi kuwa na...
  17. Happycuit

    Dream League Soccer 2020 special thread

    Dah n9elekeze mkuu,
Back
Top Bottom