Search results

  1. S

    Mkopo(heslb) kwa form six private candidate

    Usiwe na wasiwasi wakianza omba utapata kabisa.
  2. S

    Ubunifu wa kipumbavu sekondari ya sangu.

    Kwa mara ya kwanza nilipokuwa nimefika Mbeya na kuwaona wanafunzi wamevalia malinda kibao kwenye kiuno nilishanga kumbe ni wanafunzi wa Sangu.Lakini sikuyafurahia mavazi hayo.Watoto wanaoneka kama wanaenda kwenye maonesho ya ngoma za asili.
  3. S

    mkwawa bado haifai kuitwa chuo

    Hayo matatizo yapo kote.Hata chuo nachosoma lecture tunagobania kukaa mbele au karibu na sipika watu tunajaa sana.Kama huwezi vumili rudi kwenu.
  4. S

    Wana teku tujuane basi

    Nitafute Baed
  5. S

    Jamani wana teofilo kisanji university

    Any time mpunga unajaa kwenye account
  6. S

    TEKU mambo yameiva!!!

    Nimesaini jana mpunga wangu sijui lini watautupia kene account angu.
  7. S

    Mwenge University

    Huyu jamaa mara anasema kachaguliwa Mkwawa mara Mwenge sijui wa wapi??
  8. S

    Nyangwine umechangia sana kuharibu elimu yetu.

    Huyu jamaa ni mzur wa kiswahili akiwa na Masebo.Masomo mengine hawezi.
  9. S

    Hoja yangu kwa HESLB

    Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipatia bahati ya kupata Mkopo toka HESLB.Ila naungana na ndugu zangu walokosa.Wagegawa 50% kwa wote wenye sifa za kupata mikopo.Isipokuwa Madaktari wangepata 70% ili tugawane wote na zingne tuchagie wenyewe.MTAZAMO TU.
  10. S

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Na mm wamenipa asante Mungu.Kama hujajiona kuwa mpole network itakaa poa.
  11. S

    This is too much muda umefika kusema no kwa jkt

    Haendi mtu jkt.safari ya chuo soon naianza
  12. S

    Watoto wa mama salma kikwete vyuoni

    Watu kama nyie elimu haijawakomboa kabisa.
  13. S

    Heslb+tcu tetesi ya kweli

    Huyu jamaa aliyeanzisha uzi huu ni kweli TCU wametoa transfer?? Je heslb nao kimya ole wako tarehe 20 ipite hawaja toa hiyo source yako utatuamia.
  14. S

    naomba msaada jaman nimechanganya mambo TCU+HESLB

    Pole sana kijana.Hapo naona kutakuwa na tatizo kidogo ila kama kuna uwezekano waweza wasiliana na heslb kuomba ufafanuzi kuhusu swala hilo.
  15. S

    News - HESLB

    wameshatoa via heslb
  16. S

    Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    Wewe oil sumu watu tumetulia tuna ngoja heslb wewe unaleta uzi wa zamani.Haya subiri inahitajika na siku ndo hizi za bwana heslb kuachia mzigo.
  17. S

    Msaada

    Unauwezo wa kufanya mtihani na kusoma Chuo kwa pamoja.Ila unahitajika kujituma kwa bidii kumudu masomo yote.Kuna ndugu yangu alikua anasoma chuo huku anarist na alipata credit zote kwa ufauru mzuri.Kujitabua na kujiamini utafanikiwa.
Back
Top Bottom