Search results

  1. getrusa

    Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

    Kwanza umeanza na Chuki zako binafsi ungetumia jina lake halisi "Abdul nassib" badala ya hilo "Domo" huenda ungekuwa na Hoja.. Lakini inavyoonekana wengi wenu ni wanufaika wa kutusi na kukashfu ili mpate umaarufu ama pesa! Hoja za Diamond platnumz kuhusu Tuzo za Tanzania ziko wazi sana kama...
  2. getrusa

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Pole Mkuu jaribu kutumia Blackseeds oil..
  3. getrusa

    Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Kongore Mkuu uko vizuri kwa fact hizo akirudi huyu mpiga kelele atakuwa punguani..
  4. getrusa

    Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

    [emoji23][emoji23] Mbalizi kulikuwa mbali sana enzi hizo..
  5. getrusa

    Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

    Nonde, majengo, Ghana, Mbata, Kiwanja Mpaka, sokomatola, Mtaa wa Kanisa, Barabara ya kwanza mpaka ya 11. Mashineni, stend, Jacaranda, Mabatini, Forest, sterio, Mafyati, Mwanjelwa, Airport![emoji848] home sweet home! Shule zilizosifika, kama hujasoma Majengo pls , basi, umesoma Mbata pls, Au...
  6. getrusa

    Naomba kufahamishwa wasifu wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam

    Uandishi wako hauoneshi kama lengo ni kufahamu wasifu wake, bila shaka una agenda yako binafsi iliyobebwa na chuki fulani moyoni.. najaribu kuwaza muwa nafasi aliyopewa huenda ulitamani upewe wewe au mmoja ya watu ambao ungenufaika kwa kupata kwao, kwa namna moja ama nyingine
  7. getrusa

    Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Wachumia tumbo! Yaani ufanye kampeni miezi miwili uwe mpinzani miaka 5 usiuwawe ila mara baada tu ya kupoteza ubunge eti uhai wako uko mashakani hawa wanatufanya wote wajinga.! The same kwa Lissu umekaa hapa 2month ukifanya Campain, ukizunguka Nchi nzima uchaguzi umeshindwa eti ooh natishiwa...
  8. getrusa

    Kigwangala usilete mgogoro Simba, lazima tuwaamini uongozi uliopo

    Inawezekana ana hoja lakini kwanini anamu attack zaidi Modewji? Kwanini katika kipindi hiki? Mi nadhani kwa nafasi yake kama Waziri alikuwa na nafasi ya kulipeleka hili suala katika mkondo sahihi, ambao hautawagawa mashabiki na wanachama hatimaye kusambaratisha uimara wa timu kwa migogoro isiyo...
  9. getrusa

    Petition ya Mabadiliko ya jina la Ziwa Victoria

    Bila shaka wenyeji wa maeneo hayo wa asili walikuwa na Jina la ziwa hilo kabla ya ujio wa mtu aliyejifanya kuligundua. Na kumekuwepo na jina linalo elea elea angani bila kupata utulivh kwa kipindi kirefu.. " Nyanza" hivyo liitwe "ziwa Nyanza"au Lake Nyanza.
  10. getrusa

    Kinachoendela Sudan ndio Demokrasia?

    Hivi kati ya Ghadaff, Saddam Hussein, Omar Bashir, na hao wanaowasaidia wanaharakati wanaojiita wa kidemokrasia nani ana madhira zaidi? Kuna Nchi yoyote iliyopita mfumo huu wa kiuanaharakati ikaingia madarakani na kuleta maendeleo ya kupigiwa mfano hapa Africa? Chukua Mfano wa Malawi ya Kamuzu...
  11. getrusa

    Hoja ya kubadilisha Wimbo wa Taifa

    Mkuu tunafanyaje ili watunga sheria wetu waichukue hii hoja?
  12. getrusa

    Hoja ya kubadilisha Wimbo wa Taifa

    Mkuu nimekuelewa nimezisikiliza nyimbo zote tatu ya Tanzania Zambia na Africa ya kusini, nilichogundua Tanzania tuna kama kaupuuzi fulani ndani yetu, ukisikiliza ujumbe ulio ndani ya wimbo wa Taifa Zambia umebeba Maneno ya hamasa kwa Taifa lao, hulisikii neno Africa likitajwa kwenye ubeti wa...
  13. getrusa

    Kinachoendela Sudan ndio Demokrasia?

    Mean kama wanaopotea au kufa ni Ccm members its ok for you? Au ninekuelewa tofauti mkuu
  14. getrusa

    Kinachoendela Sudan ndio Demokrasia?

    Is it the only way to make someone dream come true? Seems like the loss is more than the goal expected ! We talk to countries like Libya, Syria,Iraq, now Sudan.! When we are deep in our conflict war sponsors will be busy taking whatever we have.. ! I don't think thats what mean for democracy.
  15. getrusa

    Kinachoendela Sudan ndio Demokrasia?

    And who will be the victim of those effect mostly? Politician or just innocent and poor citizen.
  16. getrusa

    Kinachoendela Sudan ndio Demokrasia?

    Wakuu, kumekuwa na taarifa za mauaji na vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 30 mpaka sasa kati ya makundi kadhaa yanayohasimiana huko Sudani baada ya kufanyika maandamano ya kumuondoa Omar Bashir, sio hivyo tu ila pia kuna tetesi ya hali kutokuwa tengefu kwa serikali iliyojiita ya Mpito. Kwa...
  17. getrusa

    Hoja ya kubadilisha Wimbo wa Taifa

    Maneno yaliyowekwa na nani? Kwa Mataifa yote yanayotumia wimbo huo.
  18. getrusa

    Hoja ya kubadilisha Wimbo wa Taifa

    Mkuu mokaze je, unafahamu Maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zambia? Je unafahamu maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Afrika ya kusini? Kwa tune hiyo hiyo? Unataka kunambia huyo mzee aliwatungia lia Zambia na akawatungia na Afrika ya kusini? Sabbu maneno ni yale yale ila yamebadirishwa...
  19. getrusa

    Hoja ya kubadilisha Wimbo wa Taifa

    Ni jamaa kutoka Africa ya kusini miaka mingi sana iliyo pita
  20. getrusa

    Hoja ya kubadilisha Wimbo wa Taifa

    Sote ni waafrika lakini Tunapokuwa ndani ya Afrika tuna Utaifa wetu, haiyumkiniki tunapoingia kwenye mashindani ya Kimataifa yahusuyo Nchi zilizo ndani ya wimbo wenu unaanza kwa kuwabariki washindani wenu kwanza kisha ndio ifuate Tanzani. Hata basi ingekuwa vema beti la pili liwe la kwanza na...
Back
Top Bottom