Search results

  1. KakaJambazi

    Screen Protector kwenye simu ni aina nyingine ya Upigaji

    Hii Simu nilinunua mwezi wa 9 mwaka jana, mpaka inafika mwezi wa 12, nilikua nshaweka screen protector 3 (ya elfu 5, elfu 7 na elfu 10). Ukisahau 100 mfukoni, au ukaichanganya na funguo, unakuta ishapasuka. Nilikua najiuliza sana, inawezekanaje hii gorila glass iwe protected na plastic cover...
  2. KakaJambazi

    Mji wa Karatu unaongoza kwa Wanawake wazuri

    Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe. Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
  3. KakaJambazi

    Naomba ufafanuzi kuhusu kupewa Mkuki na Ngao wakati wa Kuapishwa Marais

    Niliona kwa JK na kwa Magufuli, sijajua kwa Mh Mkapa na Mwinyi na Nyerere kama wazee wa mila waliwakatisha na kuwapa mkuki na ngao. Naomba kujua/picha kama Mh Rais Samia Suluhu kama pia alipewa.
  4. KakaJambazi

    "Kuingia cha kike" inavyoshadadiwa na wanawake wenyewe!

    Msemo wa "ameingia cha kike" itakua unawahusu Sana wanaume kuingia cha "kike" kuliko wanawake kuingia cha kike. Utafiti nilifanya, nimegundua, huko wanakoingia ni CHOONI. Sasa sijajua iwapo mwanaume ataingia cha kike, atashindwaje kukojoa, nilidhani mwanamke akiingia cha kiume, atashindwa...
  5. KakaJambazi

    Namwombea Uteuzi Hoyce Temu

    Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu. Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv...
  6. KakaJambazi

    Msaada wa kupata Draft ya Mkataba wa Mlinzi

    Wakuu nina kamradi nataka kukaanzisha, naomba mwenye draft/sample ya mkataba wa mlinzi tafadhali, aniwekee hapa tafadhali.
  7. KakaJambazi

    Watangazaji wa Tanzania na neno 'By the Way"

    Hili neno kwa sasa lipo viral sana kwa watangazaji wa Tanzania, sijajua ni ulimbukeni au ni katika kujionyesha wamesoma na sio makanjanja. Out of context utasikia hilo neno limechomekwa, huwa nakereka sana. Limeanzia Clouds fm huko kwenye kipindi cha XXL and Amplyfier, naona sasa hata kwenye...
  8. KakaJambazi

    Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

    Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa. Leo nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani. Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue...
  9. KakaJambazi

    Tanzania tuna tatizo kubwa la mitandao ya simu

    Siku hizi imekuwa kama ni fasheni kumsikia mtu akisema "sikusikii vizuri, ngoja nipige tena", hivi hii ni halali kweli?!, tunatoa hela halali kununua vifurushi, ila huduma ni mbovu, na wananchi wamefikia hatua ya kuzoea huduma hizo mbovu, na husema kabisa "sikusikii network mbovu. Hivi kwanini...
  10. KakaJambazi

    Jumamosi nitahamia kwenye nyumba ambayo sijaizindika

    Wakuu habari za majukumu! Jumamosi natarajia kuhamia kwenye nyumba yangu, japo sijamalizia tiles na rangi. Nitahama hii nyumba ninayoishi sasa ya kupanga kwa zaidi ya miaka 7,saa 4asubuhi. Nyumba niliyojenga tayari ina fence, umeme na maji, ila sijawahi izindika, na sitafanya ivo. Kingine...
  11. KakaJambazi

    Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

    Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili). Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku...
  12. KakaJambazi

    Jinsi ya kufuta kumbukumbu kwenye log in JF

    Juzi niliingia JF kwenye internet cafe flani ivi, jana nilipoenda tena pale,nilishangaa kusikia naulizwa "kumbe wewe ndo kakaJ". Katika kufuatialia nikagundua kuwa, yule mdada alienda kwenye ukurasa wa JF na akawa anajaribu kila herufi pale kwenye login, ndo ilipo-display "kakajambazi" Sasa...
  13. KakaJambazi

    Tangazo La "Halichachi"

    Especially la Joti, ni baya kuwahi kutokea, kwanza halina uhalisia. Huyu mtu wameisha m-utilize vya kutosha, watafute wabunifu wengine. Wakenya wakiliona watazidi kutudharau sana.
  14. KakaJambazi

    Madereva wa Music wa Darasa Wanatofautigani na wale wanaoendesha pikipiki kwa tairi moja

    Wanatofautigani na wale wanaoendesha pikipiki kwa tairi moja kwenye bongo fleva au kampeni?
  15. KakaJambazi

    Tangazo la mwanamke sokoni linahamasisha ukahaba

    Hili tangazo ukilisikiliza katika 3D, utagundua linahamasisha biashara ya ukahaba kuwa iheshimiwe. Halina tofauti na wale waliokua wanafadhili vilainishi.
  16. KakaJambazi

    Bikira kwa mujibu wa Biblia

    Jana nilifanikiwa kumsikiliza Nabii Frank Kilawah. Kiukweli aliongea point za maana kuhusu hii kitu. Ukifanikiwa kusikiliza full video ya hii niliyo-attach, unaweza gairi kuoa au kuolewa.
  17. KakaJambazi

    Mwanaume ukiambiwa "naumwa" usikurupuke kutuma hela

    Usikurupuke kumtuma hela kwa demu ya matibabu na juice, hiyo ni gia ya kuchunwa. Pia msg hiyo mwenzako ka-forwadia pia.
  18. KakaJambazi

    Kwanini Mende hafi kwenye Microwave??

    Mwenye uelewa tafadhali.
  19. KakaJambazi

    Msaada Tafadhali Website hazifunguki

    Wakuu naomba mnisaidia, nikifungua mtandao wowote,hata facebook etc picha na hata maneno yanaonekana kama yamevutwa na hayaonekani kabisa. Ninatumia komputer, sijajua ka ni virusi au ni nini. Ninaambatisha hizi attachment ili mnielewe. cc @chief_mkwawa
Back
Top Bottom