DAWASA TUNAOMBA MAJIBU SIKU YA TATU LEO MAJI HAYATOKI KIMARA MWISHO MAENEO YA AGHA KHAN KUSHUKA MAVURUNZA SHIDA NINI?HIVI HII NCHI KILA KITU MGAO KWELI TUTAWEZA?CCM MNA SIKU CHACHE SANA ZA KURINGA TUTAKUTANA TU KWENYE KURA MAANA NDOMMETUFIKISHA HAPA UMEME MGAO MAJI MGAO SUKARI FOLENI HAYA
Hii mamlaka ya maji Dar na Pwani tangu aondoke Eng Luhemeja imekuwa kero tupu.
Mgawo wa maji kila mara pamoja na kwamba mvua zinanyesha kila siku wiki moja.
Sasa wakazi wa Kimara hatuna maji na bila hata taarifa kama kuna shida au mgawo.
NJIA YA KWENDA BONYOKWA MAARUUFU KWA MZEE MAJI WAMEKATA MABOMBA HATUPATI MAJI NA KAJIUNGANISHIA MAJI KUTOKA KWENYE MAMBOMBA YETU ANATUMIA MAJI KUJENGEA BILA KULIPIA,NI KABLA YA DARAJA LA KWENDA BONYOKWA TUNAOMBA MFUATILIE TUPATE MAJI
MUHESHIMIWA MAKAMBA PAMOJA NA KUVUNJA BODI NA KUWEKA BODI MPYA BADO UTENDAJI WA TANESCO NI KIZUNGU MKUTI,TANESCO MKOA WA LINDI SUALA LA KUKATA UMEME KIJIJI CHA KILANJELANJE NI LA KAWAIDA NA TUMESHAZOEA HAKUNA SIKU UMEME UMEWAKA 24HRS BILA KUKATIKA SIJUI TATIZO NINI HAPA LEO UMEME TANGU JANA...
TANESCO MKOA WA LINDI KUKATIKA KWA UMEME KIJIJI CHA KILANJELANJE KUTAISHA LINI MAANA MNAKATA MNAVYOJISIKIA LEO SIKU YA PILI HATUNA UMEME HAPA MAMA KABADILISHA UONGOZI TUKAJUA MTAJIREKWBISHA NAONA MAZOEA YEAMEGEUKA KUWA TABIA IMEKUWA NI KAWAIDA KUKOSQ UMEME HAPA SIKU MBILI TATU
BRELA mmerudi kulekule enzi za Mwalimu za huduma mbovu. Kipindi Rais Magufuli hajafariki ilikuwa huwezi kukaa zaidi ya siku tatu baada ya kufile application yoyote bila kufanyiwa kazi na namba ya bosi ilikuwa kwenye website yao kwa sasa hadi mwezi watu hawajitingishi.
Kuna umuhimu mkubwa wa...
Tanesco ni janga sanaa,hapa mbezi makonde viwandani kila leo umeme ni shida leo tangu asubuhi hatufanyi kazi hamna umeme,tatizo nini?nchi hii lini umeme hautakatika?jamani jamani shida sana na hivi mwenye nchi kalala waliobaki hawajali lolote
KUNA TATIZO GANI LA UMEME MBEZI BEACH MAKONDE ENEO LA VIWANDA HAKUNA UMEME TANGU ASUBUHI,NAMNA HII KWELI NCHI
HII TUTAFIKA NA UCHUMI WA VIWANDA?MBWEMBWE NYINGI LAKINI HAMNA LA MAANA ENEO HILI TATIZO LA KATIZO LA UMEME AU LOW
VOLTAGE NI LA KAWAIDA KILA MARA SIUI LITAISHA LINI NA IWE KESHAONDOKA...
DAWASA KIMARA MWISHO NJIA YA KWENDA BONYOKWA HAPA KABLA YA DARAJA HATUNA MAJI SIKU YA TATU LEO,BOMBA LIMEPASUKA HAPA KWA MZEE MGWAO MAARUFU MZEE WA MA DCM WAMEKUJA WATU WENU WAMELIKUNJA WAKAONDOKA HIYO NDO HUDUMA YA ISO?SIKU TATU HAMNA REPAIR?
TANESCO KIMARA TUMETOA TAARIFA TANGU ASUBUHI UMEME HAKUNA NJIA YA KWENDA BONYOKWA KABLA YA DARAJA KWA MZEE TEMU HAO EMERGENCY WANACHUKUA SIKU NZIMA KUFIKA ENEO LA TUKIO?HUDUMA MBOVU KABISA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.