Search results

  1. JEKI

    Nahitaji konekisheni ya wasanii

    Asante kwa kushiriki mkuu.
  2. JEKI

    Nahitaji konekisheni ya wasanii

    Nimesema tushikane mikono mkuu. Au unataka mimi nilambwe bila kulamba?
  3. JEKI

    Nahitaji konekisheni ya wasanii

    Poleni kwa majukumu wakuu wangu, ninahitaji msaada wa kuunganishwa na wasanii wa aina zote. Lengo kuu ni kujaribu kuona kama tunaweza kufanya kazi pamoja. Mimi ni kijana ninayepambana na maisha, nina eneo langu la biashara linalohitaji promotion, hivyo nawahitaji tushikane mikono kujikwamua...
  4. JEKI

    Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

    Namba yake ya simu.
  5. JEKI

    Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

    Atoe tu, kwa nini aandike jina la kike.
  6. JEKI

    Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

    Siku hizi hiyo ni fursa ya kukusanya pesa.
  7. JEKI

    Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    Mbona mmeanza mapema hivi? 2030 siyo leo aiseee.
  8. JEKI

    Ushawahi kujutia kumcheat umpendaye?

    Unalipa lakini? Tako unalo?
  9. JEKI

    Mbinu hii itakusaidia kukabiliana na Ujenzi

    Una akili sana, mimi pia nilianza hivi, nikawa naunga unga hadi ikawa nyumba nzima, leo hii ukiiona mtu hawezi amini ilianza kama chumba kimoja na choo.
  10. JEKI

    Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

    Choma tairi, harufu yake inafukuza.
  11. JEKI

    Samaki Samaki na "Reserved tables"…

    Hii ni hatari kwao, maana unaweza jiona umeshika soko ukaanza kudharau wateja, ile Mibaunsa yao sidhani kama iko sawa kichwani.
  12. JEKI

    Samaki Samaki na "Reserved tables"…

    Hiyo level nishatoka ila asante.
  13. JEKI

    Samaki Samaki na "Reserved tables"…

    Namhurumia boss wake, usikute haya yanafanyika bila yeye kujua.
Back
Top Bottom