Search results

  1. Daina

    Uwoya hataki kurudi kwa mumewe?

    Mtafute mwenyewe umwambie,usitusumbue kusoma vitu visivyo na msingi plzz!!!!
  2. Daina

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mmeshinda ngapi MAN U?Mliongoza kuanzia dakika ya pili tu,mpira umeishaje jamani?mpunguze vidomodomo!!
  3. Daina

    The Life and Death of Michael Jackson & Other stories over him

    Sasa ndio imeishaje hivyo jamani?Mie nilijua watamfunua watu wamuage kwa mara ya mwisho kama za kibongo bongo.Ukute hamna kitu ndani ya lile jeneza waliweka tu kuzuga uwatu
  4. Daina

    The Life and Death of Michael Jackson & Other stories over him

    Sasa ndio imeishaje hivi jamani?mie nilijua watamfunua watu wamuage mara yamwisho kama za kibongo bongo.Ukute lile jeneza wala hamna kitu mle ndani.
  5. Daina

    Yemeni Plane Crashes Off Comoros

    Samahani wakuu msianze kunishambulia tafadhalli ila ni mawazo yangu tu mniweke sawa kiupole tu wajameni.Mie nahisi hizi ajali kama zina uhusiano wa karibu na freemason.Ni mawazo yangu jama jama chondeee!!!
  6. Daina

    Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters!

    Yoyo mbona hii thread nayo kama ile ya yule jamaa aliyekuja na 'Liyumba kunywa maji?'(Joke) Mwambie mshkaji hakuna jibu la moja kwa moja kumwambia mpenzio sitaki au sijisikii kuzaa na wewe,ila amejibiwa kiutu uzima.Kama vipi atafute tu mtu watakaefanana mawazo ya kuamua kuzaa sasa maana huyo...
  7. Daina

    Ni kwanini kila wasifu wa Marehemu hauna mabaya?

    Samahani kutoka nje mada kidogo.Ila mimi sielewi hii tabia ya baadhi ya wana JF kujifanya katika kila sentesi ya kiswahili katikati kuingiza kingereza,alafu basi pale wanapoondika kiswahili basi kujifanya kukosea matumizi ya herufi kusema kweli inachefua sana sana.kama unaamua kuandika kingereza...
  8. Daina

    Mtambo wa JF?

    Hahahaaa,lakini jamani na nyie hamna jema.Tatizo lake nini mwenzenu anatafuta kazi?au mnataka afulie muanze kumchekaa? Duh lakini kwakweli sio siri jamaa mtambo haswaa tena nahisi wa kinyesi!!
  9. Daina

    The Life and Death of Michael Jackson & Other stories over him

    Bahati ya watoto tena hiyo jamani hata kama sio biological baba hiyo haina nafasi tena wanachosubiri sahizi ni kurithishwa tu utajiri wa baba yao ingawa sina hakika kaacha nini maana nasikia siku za mwisho alikuwa amefulia.Mda si mrefu linaweza kujitokeza jitu likasema ni biological father wa...
  10. Daina

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Kuna kitu hata mimi sijaelewa hapo, kuna mtu hapa amesema kuwa, ati mwanamke akiwa anaenda siku pungufu ya kumi na nne ana matatizo na hatopata mtoto. nielewavyo mimi, kuna wanawake wengine wanaenda bleed siku hata 22 na 23. Je hao nao hawatapata mtoto? na kwanini. Wala usiwe na wasiwasi...
  11. Daina

    Lady JayDee ni zaidi ya Whitney!

    Lakini jaman,mimi sioni tatizo ninini,si ameweka kwenye blog yake?yaani tukae hapa tuanze kujadili eti Jaydee kajilinganisha na Witney kweli jaman si tutakuwa tunapoteza mda tu.Muacheni aandike atakacho blog ni yake hivyo hamuwezi kumpangia nn cha kuweka.Kama mtu anajisikia kumkosoa akaandike...
  12. Daina

    CD za ngono ni dhambi kwenye ndoa?

    ulikuwa unaangalia ili iweje?Kuamsha hisia?kuigiza unayoyaona?au zilikuwa zinakusaidiaje kwa kipindi chote ulipokuwa waziangalia?Binafsi sizani km ni Heshima na inajenga chochote ktk ndoa,sanasana utamuomba mkeo akufanyie km wanavyofanya hao porn stars then ikawa balaa na kumkosea heshima...
  13. Daina

    She is having my baby, I can't get married to her!

    Haijalishi mchaga,mmakonde,mjaluo wala nini.Kiubinadamu unachokifanya si kitendo kizuri,wanaume ndivyo mlivyo mnatuchezea mnatuharibia maisha then mnatubwaga.wanaume wengi siku hizi hawataki kabisa kuoa wanawake waliozalishwa,sasa unadhani umemtendea vema mwenzio?Nayeye alikuwa na ndoto zake za...
Back
Top Bottom