Search results

  1. Ududu

    Kwanini Rais Magufuli amekuwa mtu wa kujenga matabaka na kuwagawa watu kiasi hiki?

    Hii tabia ya Rais kuwagawa watanzania inatokeaga maksudi au ni kweli yake toka moyoni? Nimeona kwenye hotuba zake nyingi akionesha ubaguzi wa waziwazi na kutaka kuaminisha uma kwamba yeye ndio hufikiria sawa kila wakati kuliko wengine . Jana wakiwa kwenye kongamano lao pale Udsm amewabagua sana...
  2. Ududu

    Kwa nini viongozi wa Simba wanaonekana ni genge la wahuni? Ona viongozi wote wako Lupango.

    Naomba kuuliza kama kuna historia yoyote kati ya Simba Sc na uhuni/umafia maana viongozi wake wengi kutwa wako mahakamani kwa makosa ya jinai. Tunayo mifano mingi kuanzia Rais Eveva, Makamo wake Kabulu, Hanspope, na Manara.. Ukirudi nyuma kuna watu kama Rage na Hassan Hasanoo ambao walifungwa...
  3. Ududu

    RC Mbeya aagiza kukamatwa katibu wa CCM aliyetokomea na Sh 20,000 za rambirambi

    Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ameagiza Katibu wa CCM kata ya Maanga jijini Mbeya, Norasco Tibakawa kukamatwa na kuwekwa rumande saa 24 baada ya kudaiwa kutafuna Sh20, 000 za rambirambi. Chalamila ametoa amri hiyo leo Jumanne Oktoba 16, 2018 wakati akisikiliza kero za wananchi wa...
  4. Ududu

    Wataalam wa mambo wanasema..Hawa wataalam wa mambo wa Melard Ayo.

    Habarini za jioni?? Nimekuja kwenu kuwasilisha ujumbe huu umfikie Melard Ayo na wenzie walioamua kuchezea tasnia ya takwimu na tafiti kwa kujificha nyuma ya '' wataalam wa mambo'' Eti"Wataalam wa mambo wanasema mtu anayechungulia maziwa ya kina dada ana nafasi kubwa ya kuishi miaka mingi kuliko...
  5. Ududu

    Uokoaji ajali ya Mv Nyerere ni kielelezo kingine cha mipango mibovu ya bajeti

    Nimepata taarifa kuwa uokoaji umesimama katika Ziwa Victoria kutokana na giza kuwa kikwazo... Hii inatia simanzi kwani itasababisha hata wale walio hai wanaopigania uhai wao ndani ya maji muda huu kupoteza maisha kwa kukosa msaada wa haraka. Hili limenipelekea kujiuliza kama ile bajeti yetu ya...
  6. Ududu

    Musukuma: Tuliinunua CHADEMA kwa bilioni 78

    Akiwa kwenye mkutano wa kampeni Monduli amesema yeye na Lowassa wameinunua Chadema bill 78 ingawa baadae alistuka na kubaki CCM. Mbunge huyo wa geita ambaye hivi karibuni nyumba na mali zake nyingine zilipigwa mnada kwa kukosa mill 100 alizokopa benki amewashangaza wengi kwani inakuaje...
  7. Ududu

    Fremu na Nyumba ya Kupanga inahitajika Kibaha

    Habari humu?? Nategemea kuhamia maeneo ya Kibaha mwezi ujao hivyo nahitaji nyumba ya kupanga kwa ajili ya familia iwe na walau vyumba viwili na sitting room. Pia nahitaji kama kuna frem kubwa ya biashara maeneo ya Mail moja Stand. Natanguliza shukrani.
  8. Ududu

    Mgomo wanukia UDOM, njaa kali wanafunzi washindia viazi vya Gairo

    Hali ya sintofamu imetanda katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ikiwa imepita wiki mbili tangu muda wa kupewa hela za chakula (Boom) kupita. Wanafunzi hao wameonekana wakipata mlo mmoja wa viazi vya Gairo kwa siku kiasi kinachofanya mahudhurio ya darasani kupungua kwani wengi wao huonekana mjini...
  9. Ududu

    Kabati la dukani la Alluminium linahitajika.

    Kwa yeyote mwenye kabati la Alluminium lenye urefu usiopungua futi 3 nalihitaji kwa matumizi ya duka la vipodozi.. Anayekaa maeneo karibu na Kibaha atapewa kipaumbele ili kuokoa gharama za usafiri.
  10. Ududu

    Makabati ya alluminium Dar es Salaam

    Habari, natafuta makabati ya alluminium mawili.. Mwenye nayo anijuze tafadhali na offer yake.
  11. Ududu

    Mzee majuto amepeleka wapi hela zake?

    Hivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau wamchangie walau mill 70 ya kwenda kutibiwa India. Leo nayaona pia kwa mzee wetu Majuto.. Hapo chini...
  12. Ududu

    Kumekucha Dodoma. Angalia ukija usije ukapotea.

    Watu hawana muda wa kupoteza.
  13. Ududu

    Nani wa kuwajibika juu ya kuzidi kwa idadi ya wachezaji uwanjani Yanga vs Mbeya City

    Hapa inaonekana wachezaji wa Mbeya City wakiwa 11 uwanjani ingawa mmoja wao alipewa kadi nyekundu. Update toka gazeti la Mwananchi: WAKATI macho na masikio ya mashabiki wa Yanga yameelekezwa Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa 72), uwezekano wa klabu hiyo kuvuna...
  14. Ududu

    Ujumbe wa Papa Francisko kwa sera za uchumi za Rais Magufuli

    NIA ZA BABA MTAKATIFU. Kama kawaida ya kila mwezi, Baba Mtakatifu Francisko kutoa ujumbe kwa njia ya Video, hata kwa mwezi Aprili 2018, nia ya maombi yake ya kitume imewaendea wahusika wote katika masuala ya kiuchumi. Kwa maana hiyo, katika ujumbe wa mwezi wa nne kwa njia ya Video, Papa...
  15. Ududu

    Midoli ya kike ya kuuzia nguo inatahitajika haraka.

    Habarini wakuu?? Nahitaji midoli ya kike mitatu kwa ajili ya duka la nguo.Iwe mizima juu na chini kwa ajili ya Gauni, sketi, jeans au blauzi. Kwa mwenye nayo anicheki PM tupeane contact..
  16. Ududu

    Mazishi ya Kingunge: Kanisa katoliki lijiepushe na double standard

    Sisi wakatoliki tuna taratibu zetu za kufanya ibada ya Mazishi. Katika kanisa ibada hufanyika tu kwa muumini aliyekua active katika shughuli zote za kanisa bila kijifichaficha. Sina hakika kwa Kingunge kama alikua muumini kwani alionekana kulikana kanisa hata katika viapo vya kiserikali.. Hivyo...
  17. Ududu

    Walimu wenzangu, njoo Kigoma(Manyovu) nije Moro au Dodoma

    Karibuni sana idar a Secondary .. 0754-940094
  18. Ududu

    Mabasi ya abiria yakwama Kibaigwa. Abiria kulala hapo bila huduma za kijamii

    Kuna msururu mkubwa wa magari maeneo ya Kibaigwa tangu mchana ambapo hakuna gari zinazopita katika eneo bovu la daraja na mlundikano wa magari.. Hali ni mbaya sana na traffic wamekua sehemu ya tatizo baada ya kushindwa kuongoza magari hayo.
  19. Ududu

    Tiba ya Macho na Masikio

    Habarini wana jukwaa?Nina mdogo wangu wa miaka 18 ana tatizo la uoni hafifu na usikivu hafifu,amekua akitumia miwani toka akiwa na miaka 14 baada ya ushauri wa daktari lakini hivi karibuni hali yake imekua mbaya zaidi kwani anapoteza uwezo wa kuona na kusikia siku baada ya siku. Naomba yeyote...
  20. Ududu

    Laini za M-Pesa na Tigo-pesa zipo sokoni, njoo unichangie nauli.

    Zote mbili Tigo na Voda kwa laki 3... Napatikana Kongowe-Kibaha.. Njoo PM tuyajenge.
Back
Top Bottom