Search results

  1. Ududu

    Mbunge Peter Serukamba (CCM) aikosoa Serikali kulazimisha bei ya korosho kwa wafanyabiashara

    Hivi huyu mnamwachaje anajambajamba kiasi hiki? We una wazazi kweli?
  2. Ududu

    Ushauri: Wakulima wa korosho uzeni korosho zenu kwa bei unayoona ina maslahi kwenu, msisubiri bei ya Serikali

    In Magu Voice"Bei ya sasa ya soko la korosho ni sh 2000 kwa kilo na kama mtu hataki basi akanywee chai na wanae maana lazima tuwaambie ukweli"... Kama namwona vile baba Jesca akiandaa mkwara huo
  3. Ududu

    Kwanini Rais Magufuli amekuwa mtu wa kujenga matabaka na kuwagawa watu kiasi hiki?

    Sitaki kubeza Udsm ila amini hata hapo Udsm kuna vilaza wengi wa aina yako wana graduate kila mwaka.
  4. Ududu

    Kwanini Rais Magufuli amekuwa mtu wa kujenga matabaka na kuwagawa watu kiasi hiki?

    Sijui Rais angekua amesoma Harvard ingekuwaje??
  5. Ududu

    Kwanini Rais Magufuli amekuwa mtu wa kujenga matabaka na kuwagawa watu kiasi hiki?

    Hii tabia ya Rais kuwagawa watanzania inatokeaga maksudi au ni kweli yake toka moyoni? Nimeona kwenye hotuba zake nyingi akionesha ubaguzi wa waziwazi na kutaka kuaminisha uma kwamba yeye ndio hufikiria sawa kila wakati kuliko wengine . Jana wakiwa kwenye kongamano lao pale Udsm amewabagua sana...
  6. Ududu

    Tukate mzizi wa fitna kati ya Mkude na Chuji nani kiungo wa chini fundi kuliko mwenzie

    Mkude... Mkude... Mkude... Simba wamelogwa na mkude
  7. Ududu

    RC Mbeya aagiza kukamatwa katibu wa CCM aliyetokomea na Sh 20,000 za rambirambi

    Hiyo ni copy and paste kutoka Mwananchi, sijaongeza wala kupunguza neno..
  8. Ududu

    Kwa nini viongozi wa Simba wanaonekana ni genge la wahuni? Ona viongozi wote wako Lupango.

    Aisee, kumbe Manara kaanza kitambo sana umafia
  9. Ududu

    Kwa nini viongozi wa Simba wanaonekana ni genge la wahuni? Ona viongozi wote wako Lupango.

    Naomba kuuliza kama kuna historia yoyote kati ya Simba Sc na uhuni/umafia maana viongozi wake wengi kutwa wako mahakamani kwa makosa ya jinai. Tunayo mifano mingi kuanzia Rais Eveva, Makamo wake Kabulu, Hanspope, na Manara.. Ukirudi nyuma kuna watu kama Rage na Hassan Hasanoo ambao walifungwa...
  10. Ududu

    Wadau Huyu Fei Toto Mnamuonaje??

    Mkude, Kichuya, na Ulimwengu hizo zote zilipendwa.. Ukiwa na Ajibu, Himid na Fei inatosha kabisa kufika robo Afcon.
  11. Ududu

    RC Mbeya aagiza kukamatwa katibu wa CCM aliyetokomea na Sh 20,000 za rambirambi

    Kawaulize Mwananchi.. Source umewekewa hapo chini kujiridhisha.
  12. Ududu

    RC Mbeya aagiza kukamatwa katibu wa CCM aliyetokomea na Sh 20,000 za rambirambi

    We umeona hapo tu?? Kemea kwanza tabia hii ya kula pesa za Marehemu.
  13. Ududu

    RC Mbeya aagiza kukamatwa katibu wa CCM aliyetokomea na Sh 20,000 za rambirambi

    Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ameagiza Katibu wa CCM kata ya Maanga jijini Mbeya, Norasco Tibakawa kukamatwa na kuwekwa rumande saa 24 baada ya kudaiwa kutafuna Sh20, 000 za rambirambi. Chalamila ametoa amri hiyo leo Jumanne Oktoba 16, 2018 wakati akisikiliza kero za wananchi wa...
  14. Ududu

    Wataalam wa mambo wanasema..Hawa wataalam wa mambo wa Melard Ayo.

    Habarini za jioni?? Nimekuja kwenu kuwasilisha ujumbe huu umfikie Melard Ayo na wenzie walioamua kuchezea tasnia ya takwimu na tafiti kwa kujificha nyuma ya '' wataalam wa mambo'' Eti"Wataalam wa mambo wanasema mtu anayechungulia maziwa ya kina dada ana nafasi kubwa ya kuishi miaka mingi kuliko...
  15. Ududu

    Uokoaji ajali ya Mv Nyerere ni kielelezo kingine cha mipango mibovu ya bajeti

    Tena inasemekana ajali imetokea kwa umbali wa metre 100 kufika ukingoni.. Labda wavuvi wayumi usamalia kufanya kazi hiyo.
  16. Ududu

    Uokoaji ajali ya Mv Nyerere ni kielelezo kingine cha mipango mibovu ya bajeti

    Nimepata taarifa kuwa uokoaji umesimama katika Ziwa Victoria kutokana na giza kuwa kikwazo... Hii inatia simanzi kwani itasababisha hata wale walio hai wanaopigania uhai wao ndani ya maji muda huu kupoteza maisha kwa kukosa msaada wa haraka. Hili limenipelekea kujiuliza kama ile bajeti yetu ya...
  17. Ududu

    Musukuma: Tuliinunua CHADEMA kwa bilioni 78

    Yaani hata wamasai hawaamini kama tunaweza kuwa na mbunge wa aina hii.
  18. Ududu

    Musukuma: Tuliinunua CHADEMA kwa bilioni 78

    Akiwa kwenye mkutano wa kampeni Monduli amesema yeye na Lowassa wameinunua Chadema bill 78 ingawa baadae alistuka na kubaki CCM. Mbunge huyo wa geita ambaye hivi karibuni nyumba na mali zake nyingine zilipigwa mnada kwa kukosa mill 100 alizokopa benki amewashangaza wengi kwani inakuaje...
  19. Ududu

    Vyuo 10 bora Afrika. Tanzania Hatumo

    Kwa products hizi za kina Mwakyembe na Kabudi ulitegemea nini?
  20. Ududu

    Spika Ndugai ajivunia CCM kuwa na PhD nyingi Bungeni

    Tumwombee Ndugai.. Anajua 2020 hana nafasi, Magu anaenda na Tulia na yeye bado ubunge anautaka ila kukaa back bench ndio hataki.
Back
Top Bottom