Search results

  1. I

    Gharama za uchapaji wa vitabu!!

    Salaams, Nimefurahishwa sana na wazo lako la kuchapisha kitabu. Baada ya kuandika na kuchapisha vitabu mbalimbali ninaelewa karaha na usumbufu unaowakumba waandishi wapya. Nitafurahi kukusaidia kufanikisha malengo yako nikijaaliwa. Tafadhali tembelea Welcome to Locus Press na ututumie muhtasari...
  2. I

    Salaams wana JF

    The Farmer, Hasa ni katika masuala ya uchumi wa maendeleo, biashara na ujasiriamali.
  3. I

    Salaams wana JF

    Wana JF, Napenda kuwapongeza wote kwa kazi nzuri na michango mingi yenye kujenga. Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana. Nimeona nijiunge nanyi ili niweze kuchangia. Siko anony...ni mwandishi, mchumi, mwalimu, mjasiriamali na analyst hivyo nitafurahi kupata wasaa wa kushirikiana nanyi ili niweze...
  4. I

    Namna ya Kuanzisha Biashara Itakayofanikiwa

    Newazz, Nakupongeza kwa moyo wako wa kujitolea kusaidia wafanyabiashara wadogo. Nimeandika kijitabu kidogo kinaitwa "Mbinu za Ujasiriamali" - unaweza kujifunza mbinu mbalimbali ya kukabiliana na matatizo au vikwazo kwa wale wanopenda kujitumbukiza katika ujasiriamali. Sijui uko nchi gani, lakini...
Back
Top Bottom