Search results

  1. shiumiti

    Nampenda lakini siwezi kumwambia hisia zangu

    Duh!!!! Utaumia bila sababu ya msingi. Ni vyema ukamwambia jinsi unavyojisikia.....
  2. shiumiti

    Tangazo la Jaymillions lina kasoro

    In fact matangazo mengi tu yana kasoro.....ndo maana yanaitwa matangazo...NOT REAL
  3. shiumiti

    Sua kwa hali hii hatufiki

    Kaza buti dogo, Shule ya SUA si lelemama!!!!. Kama ungetaka ubwete unge-apply-IFM na vyuo vingine. SUA inafahamika na hata wenye nywele nyeupe.......acha mchezo dogo, kula kitabu kisawasawa.....
  4. shiumiti

    Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

    Kunywa sana maji!!!!!! na jitahidi kula matunda ili kulainisha choo....
  5. shiumiti

    Huyu ni Mgeni wa Nani?

    Ni mgeni wa Watanzania wote kwa ujumla wake
  6. shiumiti

    Msanii wa Sinema za Bongo Achora tatuu hadi kwenye makalio

    Hivi huyu mwanamuziki wa Bongoflava... NEy wa Mitego aliyeimba "Makahaba wenye viwango wako Bongo Movie" alikosea au aliwaonea wasanii wa Bongo Movie? Nafikiri ni vyema tukatafakari kuhusu suala hili
  7. shiumiti

    Je, huu ni utapeli au ni kweli?

    Kaka shtuka shtuka kaka!!!!!
  8. shiumiti

    Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

    We Pimbi kweli.... Kozi za kike hizo, unasema ngumu!!!!!!!!!!!!!
  9. shiumiti

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Ni kile kilichokuwa pale Iringa, ambacho kwa sasa kimenunuliwa na Kanisa Katoliki (ni tawi la Chuo cha St. Augustine cha Mwanza)
  10. shiumiti

    Hapa ni kupoteza Ada

    Huyu binti sio anasoma MAlecela Secondary
  11. shiumiti

    Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Kaka kwa hapo nimeshindwa kwa kweli.....
  12. shiumiti

    Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Kama uko serious 7.5ml
  13. shiumiti

    Natafuta Room Mate awe Mwanamke.

    Kuwa muwazi tu mwanawani........sema unachotaka directly, usizunguke! Kila la kheri.
  14. shiumiti

    Mitsubish Fuso inauzwa

    Weka picha basi, angalau tuone.
  15. shiumiti

    Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Maelewano yapo....hata 8m naweza kukuuzia. Just contact me.
  16. shiumiti

    Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Ilikuwa 67,580km
  17. shiumiti

    Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Usijaribu kuhisi wewe... Ndo maana nimeweka picha ili walio serious waweze kuona. Naona wewe hauko serious. Ni vyema ukanyamaza kuliko kubwabwaja tu. Usijionyesha kama unaweza kuandika through great thinkers Website. Acha wanaohitaji magari waongee. pusi weee!!!!!
  18. shiumiti

    Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Hizo tyre zake ni KUMHO ambazo hazina kashat kubwa. Naamini wanaojua magari hapo tunaelewana. Kama uko serious na unataka kuiona physical unaweza kuiona wakati wowote.
  19. shiumiti

    Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Kaka sio kila mtu anauza gari akiwa na shida. Nimeamua kuuza kwa sababu tu nimenunua gari lingine. Najua wewe sio mnunuzi, na ni afadhali kama hunauwezo kaa kimya. Kuna wanaOhitaji watawasiliana nami. GARI NI NZURI NA HAINA TATIZO LOLOTE. Check hizo picha
Back
Top Bottom