kweli wadanganyika ni wapole sana na dio maana hayo mambo yanafanyika bila hata ya woga. hivi kweli kweli kweli kabisa bila hata ya kuona aibu kidogo kwamba jamani nyie milishaiiba vya kutosha sasa basi tuache tujenge nchi no watu wanazidi kupena KAZI!
mi sipati picha hao wanao simamia haya...
ndugu zangu hawa wanasiasa wanatuchanganya sana
wameiba sasa wameona ndio wakati wa kutueleza ni kwa vp walivyo chota mahela
na nani aliiba alipewa na nani, na kwa stail hii hakuana mtu anaye aminika hata mmoja nchii hii. nyerere peke yake ndo alikua safi na ataendelea kua safi hawa waliopo...
hii nchi ndugu zangu inamaajabu sana .
sasa wanataka kuwahoji wakina mwakyembe ili waweze kuwatisha wabadilishe misimamo
juu ya swala la richmond.
huyo hosea ni mtuhumiwa wa kuisafisha kutokana na rushwa sasa yeye anawatuma vijana wake ambao walishirikiana nae kuisafisha richmod kutoka katika...
huyu jamaa ukimsikiliza utadhani ni bonge la mtekelezaji ile yote siasa hakuna mabadiliko
mambo mangapi yanafanyika bila haki amekaa kimya
hii ndio tanzania zaidi ya tu ijuvyo siasa kila kona mpaka kwenye mambo ya ukweli
hivi alivyosema watanzania tuache kununua magari ya kifahari tununue matrekta cjajua anaanisha nini!!
kwani yeye na serikali ndio wanunua ji wakubwa wa magari ya kifahri ya pesa nyingi na wanayatumia kwa muda mfupi utaona yamebadilishawa kwa nini serikali isinunue matrekta kwanza !
ili sisi...
nchi inakwenda kama tren isio kua na breki kwenye mteremko mkali hawawezi kuweka mambo kama hayo ya maendeleo. kwani kila kiongozi akipewa madaraka anakuja na namna yake na mawazo yake .hakuna master plan kwamba kila mtu anafata au anatakiwa kuboresha. we ukipewa madaraka unaanza kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.