Search results

  1. M

    Mfumo wa Bunge kupiga kura Kupitisha au Kukataa Bajeti ya Serikali una tija kwa Wananchi?

    ukimuuliza maswali hayo hawezi kukujibu anazunguka, atakwambia serikali ya awamu ya tano haina mchezo. serikali ya awamu ya tano imejipanga kweli kweli itanyosha na kurekebisha kero zile tulizozisema kwenye katiba
  2. M

    Mfumo wa Bunge kupiga kura Kupitisha au Kukataa Bajeti ya Serikali una tija kwa Wananchi?

    hata yeye kajipanga Kaja na ilani kabisa. alichoniboa ni kusema hata bunge lijadili vipi ccm ndiyo inayotoa maelekezo. sasa kama ni hivyo kuna haja gani ya kupoteza mda na fedha za bunge? si kila kitu tufate ccm?
  3. M

    Mfumo wa Bunge kupiga kura Kupitisha au Kukataa Bajeti ya Serikali una tija kwa Wananchi?

    Dr Marcossy kambana Mpaka kakoma ..aise Marcossy yuko vizuri
  4. M

    Lissu; Nia njema ya Magufuli inatupeleka pabaya

    kazi kweli kweli
  5. M

    Maendeleo yaingia Kigoma kwa kishindo, Hongera Serikali

    hata miundo mbinu za pale mjini safi kabisa
  6. M

    Safari yangu ya kumuona Maxence, nimejifunza mengi gerezani

    inaniuma basi tu. hatuna ujanja
  7. M

    TANZIA: MwanaJamiiForums mwenzetu Mwalimu Kaijage, afariki dunia

    R. I. P rafiki yangu kaijage. nimepambana na wewe mwaka 2008 katika Maisha tukijiita warefu camp. ilikuwa kabla hata hujaipenda siasa. inauma Sana ulianza vizuri. pumzika mrefu camp
  8. M

    Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    kiukweli marcossy ni moja kati ya viongozi makini anafaa sana kuwa Katibu mkuu.
  9. M

    Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    umemjuaje? yukoje? au majungu tu?
  10. M

    Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo mkuu.
  11. M

    Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    naijua ndio maana nimesema acha uongo
  12. M

    Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    acha uongo huyu jamaa nikichwa sana
Back
Top Bottom