Search results

  1. MOI JOHN

    Msaada kwa anayefahamu fani ya Electrical Installation

    Je, mtu akiwa na Shahada(Degree) ya Elimu(Sanaa), katika fani ya UMEME anaanza na LEVEL I au atachukua DIPLOMA moja kwa moja?
  2. MOI JOHN

    Msaada: anayefahamu chuo cha sheria Lushoto(IJA)

    Nimechaguliwa kujiunga na CL(Certificate in Law) chuo cha sheria Lushoto, mahitaji muhimu nayafahamu lakini nahitaji kujua ni aina gani ya sanduku linafaa kuhifadhi vitu vyangu kama madaftari,mavazi ya chuo nk. Je, ni sanduku la chuma au mchina? Msaada kwenu tafadhali Wanasheria, kwa aliyesomea...
Back
Top Bottom