Search results

  1. MOI JOHN

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hahahahah kwa mujibu wa KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU, Toleo la Pili-2014 Ukurasa wa 62. DHAIFU(Kivumishi) 1. -enye kudhoofu; -enye unyonge; legevu 2. -enye ubaya; (nomino) "dhuli" likiwa na maana mbili 1.Mtu dhaifu au aliyeteseka 2.Jambo lenye kukatisha tamaa.
  2. MOI JOHN

    Ila Waziri Kalemani hapa umefeli.....

    Maji hayataleta madhara maana imepigwa FULL CONDUIT WIRING. Chenye madhara hapo ni endapo itatokea LOOSE CONNECTION.
  3. MOI JOHN

    Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    ¤THE TRUE LEGEND ¤THE BODYGUARD ya China(sio ile ya JET LI) ¤EASTERN TAIKWONDO ¤BORN TO FIGHT
  4. MOI JOHN

    Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Safi sana, hio ndo heshima ya Wakurya mura weito.
  5. MOI JOHN

    Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Mheshimiwa ni zuga tu, alikuwa ni RPC mkoa wa mkoa Z. Aliuawa njiani akitokea kwenye starehe kurudi home na hakuwa na escort yoyote siku hiyo.
  6. MOI JOHN

    Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Majambazi walijua gari lingeenda kituoni wangekamatwa.
  7. MOI JOHN

    Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Ulienda kushuhudia AC MILAN akilala kwa matuta.
  8. MOI JOHN

    Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    1. 2007(TARIME VIJIJINI) niko kidato cha kwanza majira ya saa10 usiku nikiwa na bro tunaenda shule ghafla kwenye kona tunakutana na wezi wa mifugo kama 7 wakiwa na bunduki tukaambatana nao, ikafika mahali wao wakaenda kivyao nasi kivyetu. MUNGU saidia hawakutudhuru wala kutuhoji. 2. 2011-2013...
  9. MOI JOHN

    Dem ananishangaa tabia yangu.

    Arusha wakiendelea hivi, miaka ijayo watakuwa na lugha yao binafsi au unasemaje bablai ya R?
  10. MOI JOHN

    Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

    Hii mbona inajulikana na ipo Advance nyingi za private, ya kusoma kidato cha 5 huku ukirisiti mtihani wa kidato cha nne. Mtihani wa kurisiti ukifeli, habari ya Advance nayo kwisha. Aende tu VETA.
  11. MOI JOHN

    Wajuzi wa Lugha njooni mnisaidie maana ya nahau hii.

    Tia chumvi yaani kuongezea sifa isiyokuwepo. Mfano, Mtu mwembamba kuitwa BONGE, mtu mweusi kuitwa CHEUPE, mtu mfupi kuitwa TALL.
  12. MOI JOHN

    Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

    1. Advance ya serikali haendi 2. Advance ya private haendi kwa kuwa ana "C" mbili na wao wanahitaji "C" kuanzia tatu maana hata Chuo Kikuu bila "C" za O LEVEL huendi 3. Mpeleke VETA achukue fani ili ajiajiri mwenyewe, itamlipa kuliko kupoteza muda kwenye kurisiti.
  13. MOI JOHN

    Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

    HAKUNAGA ya Suma Lee NILIPE NISEPE Hizo beat ni hakuna.
  14. MOI JOHN

    TANESCO imeingiza nchini TRANSFOMA yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240

    Tuna aina mbili za transfoma 1.TRANSFOMA CHOCHEO (STEP UP TRANSFOMER) 2.TRANSFOMA POOZO (STEP DOWN TRANS')
Back
Top Bottom