Search results

  1. fundiaminy

    L.o.l

    Kibaki, JK and Mugabe got lost in the forest and were captured by cannibals. The cannibal king told them they could live if they pass a test. The first step of the test was to go to the forest and get ten pieces of the same kind of fruit. So all three presidents went separate ways to...
  2. fundiaminy

    Koroga akili kidogo.

    3 guys named WHAT,WHY, and WHEN were talkin WHAT:WHY what r u doing? ... WHY:i dont know what iam doing. WHAT:why? WHY:why r u caling me? what? WHAT:now why did u cal me? WHY:what! When did i cal u? WHEN:in ur problem why r u callin me? WHY:what? did i cal u? When? WHAT&WHEN...
  3. fundiaminy

    mambo ya kujikinga...

    Kila wakati jamaa akisafiri,mkewe alikua na tabia ya kumuekea condom kwa bag lake.jamaa akawa anawaza kwani vp tena.mke wangu anajua dili zangu ama niaje? Ikabidi siku moja amuulize mkewe kwanini ana mazoea ya kumuekea condom kwa bag.mke akamjibu kwa upole.c unajua mambo ya sikuizi.mie afadhali...
  4. fundiaminy

    ung'eng'e wa kufa m2.TWENDE KAAZ.

    u ɹ oɥʍ ǝǝs oʇ ƃuıɥɔʇɐʍ ǝq ןן ıʍ ı ˙snʇɐʇs ɹnoʎ oʇ ǝʇsɐd puɐ ʎdoɔ sıɥʇ pɐǝɹ uɐɔ no&#654...
  5. fundiaminy

    kesho.

    inasemekana kesho ni siku ya choo duniani.yaani world toilet day..dah! Wazungu nao bana.nipe maoni kuhusu hio day.
  6. fundiaminy

    Jogoo full version.

    Jogoo alianza kumkimbiza kuku huku akilini mwake akiwaza, "nikimpata atakiona cha mtema kuni lakini nikimkosa nitajifanya natia zoezi." Kuku naye akawa anawaza "nikisimama nitaonekana malaya, akanikosa nitalala na nyege. jogoo aliposhika kuku,kwa fujo kamwambia huku akirefusha bawa...
  7. fundiaminy

    J2 poa washkaji.

    3 NICE FACTS :- 1. Once, all villagers decided to pray for rain, on the day of prayer all people gathered and only one boy came with an umbrella ... ‘THATS FAITH’ 2. Example of the feeling of a one year old baby. When you throw him in the air, he laughs because he knows you will...
  8. fundiaminy

    Jamaa kwa kupenda mali...

    jamaa flani baada ya kupata ajali noma sana akiwa ndani ya RANGEROVER yake aliskika akimlilia askari katika eneo la ajali 'mamaa yangu,RANGEROVER yaangu haijamaliza hata mwezi' askari akamtazama na kumjibu ' hivi wewee akili yako nzima kweli.unalilia gari kwani huoni kuwa mkono wako umekatika...
  9. fundiaminy

    watoto hawadanganyiki.

    Wakiwa ndani ya kanisa mtoto alimuambia mamake,mama nataka kukojoa..mama akamjibu hio sio njia nzuri ya kusema.wakati mwingine ukiwa ndani ya kanisa na unaskia kukojoa sema unataka kuninong'onozea. Jpili ilofuata mtoto akiwa ndani ya kanisa akiwa na babake akajiskia kwenda kukojoa hivyo...
  10. fundiaminy

    Boss na sekretari matata

    Boss aliingia afisini mwake asubuhi huku akiwa amesahau kufunga zipu ya suruali yake na kukumbana na sekretari aliemuuliza boss..je,ulipotoka nyumbani umekumbuka kufunga geti ya mahala unapoegesha magari yako? Boss akafkiria kwa mda na hakumjibu. Baadae Boss akaenda haja ndogo na loooh...
  11. fundiaminy

    Facebook mbona balaaa!

    Jamaa flani aliezoea sana kushinda FACEBOOK alipigiwa cmu kuwa mkewe kafariki na kwamba anatakikana haraka fasta aende akamtambue kama ndie kweli mkewe...jamaa kadaisha "aisee nipo bize sanaaa hebu mpigeni picha na muiupload Facebook na mnitag kama ndie nitagonga "LIKE"...ebwanawee! Fb noma.
  12. fundiaminy

    Clever engineers.

    Three engineers and three accountants are traveling by train to a conference. At the station, the three accountants each buy tickets and watch as the three engineers buy only a single ticket. "How are three people going to travel on only one ticket?" asks an accountant. "Watch and...
  13. fundiaminy

    katika hali ya kutongoza

    Jamaa flani alipata demu msafiii.akaamua kumpia saundi.katika hali ya kumwaga mistari ghafla bunduki yake ikasmama..dah.jamaa ilibidi aende chemba na kufungua zipu na kutoa bunduki yake na kuiambia kwa hasira "haya katongoze wewe kwa tamaa zako!!!"
  14. fundiaminy

    je ni kweli? Upole wetu unachangia serikali kutunyanyasa?

    Inasemekana wabongo kwa upole na ukarimu ni nambari wani.cheki hii. Eti m'bongo akifariki na kwenda mbinguni huwa hivi. M'bongo: malaika,mimi ni wa motoni ama mbinguni? Malaika: kaka,wewe ni wa motoni. M'bongo: ahsante malaika.haya nielekeze ni wapi..malaika anamuelekeza.na hata...
  15. fundiaminy

    Jinsi ya kumtishia msichana wa kibongo.

    Unajua ukitaka kumtishia mschana wa kichina mwambie ana ugonjwa wa SARS.ukitaka kumtishia mschana wa kikenya muambie ana UKIMWI..mschana wa kiamerica utamshtua ukimwambia anaugua CANCER..na mwisho ukitaka kumtishia mschana wa kibongo....muambie huna HELAAA!!
  16. fundiaminy

    MAN,WIFE and GORILLA.

    Man & wife go to Zoo. In front of Gorilla cage, man says: Excite him like u do to me Wife removes her top, Gorilla goes crazy. Man: Tease him more Wife removes her denims, Gorilla goes wilder... Man opens cage, pushes wife in & say's : now tell him U hv a Headache & u r not in the Mood...
  17. fundiaminy

    Ni mila ama ni utumwa wa kiakili??

    Natanguliza na salaam. Kuna dada flani amepatwa na tukio ambalo hakutarajia japo ni mtu amekomaa.Anadai kuwa katika kabila na mila zao hajawahi kuliskia ila ndilo hili linamsumbua akili. Ni wa tatu katika familia ya waschana watatu.Ana miaka 28 na dadazake wanaomtangulia wana miaka 32 na 36...
  18. fundiaminy

    A new pastor.

    A new pastor was visiting the homes of his congregation.At one house it seemed obvious that someone was at home, but no answer came to his repeated knocks at the door.Therefore, he took out a card and wrote "Revelation 3:20" on the back of it and stuck it in the door.When the offering...
  19. fundiaminy

    janja na janjaure.

    jamaa baada ya kutoka dili mida ya saa mbili usiku alijisachi na akapata hana nauli ya taxi.hivyo akasimamisha taxi huku akipiga mahesabu itakuaje.alipouliza bei dereva akamuambia elfu tano.hakusita akaingia na taxi ikampeleka na alipokaribia kwake akamuambia dereva tafadhali simamisha hapo...
  20. fundiaminy

    Learning mathematics the hard way.

    A businessman sends an email to his wife. 'My Dear Wife, You will surely understand that I have certain needs that you with your 54 years can no longer supply. I am very happy with you and I value you as a good wife. Therefore, after reading this email, I hope you will not wrongly...
Back
Top Bottom