Mpango mpya wa elimu, uliotangazwa hivi karibuni, kiukweli hawajafikiria vizuri tatizo hasa la elimu, tatizo la elimu sio kuongeza miaka ya kuhitimu shule ya msingi, kutoka miaka saba mpaka kumi, tatizo ni vitendea kazi, mazingira ya kujifunzia, mishahara ya walimu, haya ndio mambo ambayo...
Last year,the budget of ministry of education and vocational training was more than fifty percentage of the whole budget,but still most of the students got chance to join higher learning institution didn't got loan,now the question is,the budget of this year 2014 to 2015,is more than seventy...
Tanzania ni nchi yetu,swala la elimu lanzima tulipiganie wote,kila mtu kwa nafasi yake lanzima ajitaidi kufanya awezacho ili elimu yetu isonge mbele.Kwa sasa kinachofanyika ni kulaumu tu badala ya kushauli na kutoa mapungufu pamoja na namna ya kutatua,tukifanya hivyo tutafika vizuri.
Mimi staki kuamini Taifa langu linanibagua,ila sera mbovu na mikakati mibovu,utendaji mbovu ndio unatubagua.kila siku tunasikia kwamba serikali inawekeza katika elimu,,mbona ualisia wake ni vichekesho!leo hii mtu anasomea ualimu bila mkopo,,alafu huyo eti unamwandaa akimaliza akatengeneze "BIG...
Wakata TCU ikiwataka wanafunzi waliokosa vyuo kuomba tena vyuo kuanzia tarehe,,,14/10/2013,,,na wakati wanafunzi wanafunzi waliochaguliwa,,wengi wao wapo nyumbani wakiangaika kutafuta,,,fedha ya kulipa ada na mambo mengine,,,sasa inaonekana elimu ya Tanzania kila mtu anaichenzea tu kama...
Waziri wa elimu amekuwa hana msaada wowote katika sector ya elimu,,,bodi ya mikopo imefanya madudu,,yeye anakaa kimia,,,kabla bodi ya mikopo aijatoa takwimu ya wanafunzi waliopata mikopo,,,
Msemaji wa bodi hiyo alinukuliwa akisema mwaka huu,,watatoa mikopo kwa wanafunzi,,35,000.lakini cha ajabu...
Waziri wa elimu na watendaji wake wengine ni hatalishi kuendelea kubaki ndani ya nyanzifa zao,vijana wengi wataikimbia CCM ususani wale wanajiunga na elimu ya juu,,matatizo ya bodi ya mikopo.
Bodi ya mikopo kwa sasa ni matapeli wakubwa sana,eti mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita miaka...
Bodi ya mikopo imechekesha mwaka huu,,ukimaliza miaka mitatu iliopita ni moja ya kigezo cha kukunyima mkopo.hivi wanajua ni kwa nin mwanafunzi aliyehitimu kidato cha sita alikaa muda huo bila kuomba chuo?bodi wanajifanya awajui matatizo ya watanzania?watu wengi tumemaliza kidato cha...
Wakati wa nyerere,,,watu wengi walinufaika na elimu ya juu,,,watu hao ni viongozi wetu walioko madalakani wakati huu,,toka juu mpaka chini,,,kipindi hicho nchi hii ilikuwa inaendesha uchumi wake kwa kutegemea bidhaa ndogondogo sana,,,kama kilimo,,vyazo vingi vya mapato vilikuwa ni vidogo...
Kwanza,,,ongera kwa waliopata.lakini kitu cha msingi ni kujua kwamba fakati gani ulikuwa umechaguliwa,,,na je ni priority?maana unapokuwa unafuatilia ususan ukienda bodi hayo ndio maswali utakayo ulizwa,,,,kama course yako ni priority,,,lakini umekosa fuatilia utapata,,usikate tamaa,,,serikali...
Vija tukumbuke kwamba,nchi hii inatawaliwa na dhana ya kujuana sana,,,ila kama umekosa mkopo usikate tamaa,,,cha msingi ni kujua tatizo la nchi yetu liko wap?na tunatatu vip?lanzima tujitaidi kwa namna yeyote,,kuhakikisha kwamba hali ya kujuana inakomeshwa ndani ya nchi yetu,,,na sio...
Kwamujibu wa mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo elimu ya juu,ni kwamba mwaka wa masomo 2013/2014,bodi inategemea kuwakopesha wanafunzi 98025.kati ya hao,wanafunzi 35649 ni mwaka wa kwanza.kwahiyo kwa taarifa hiyo ni wazi kwamba mwaka huu,wanafunzi wengi wategemee kupata mikopo ya elimu ya...
Sasa kaz imebaki kwa heslb,,,,kuwatia presha hawa jamaa ni kitu cha muhimu sana,,,wanajamv,,,,maana ili jukwaa wanapitia watu wengi sana,,,wadau wa heslb,,pia wanapitia sana tu,,,Alafu wiki mbili zilizopita rais wa Tz,,aliitaka tcu kudaili wanafunzi wengi,,sababu kuna upungufu mkubwa...
Jaman kuna list kubwa sana TCU,imetolewa kwa wanafunzi waliomba kupitia tcu,waliochaguliwa zaidi ya chuo kimoja,,kama jina lako limo,inabidi uandikie barua tcu ya kuwajulisha chuo unachotaka kwenda,,,hiyo ni kuazia leo tarehe 28,august,mpaka tarehe 4,september.baada ya hapo,kama...
Aisee,haya mambo sasa yamekuwa too much,hivi jaman kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kufungua web ya tcu?alafu akaona information zake ziko vip?yaan program zake alizochagua,,,,maana mimi siku ya pili sana kila nikifunguas inafeli tu,,,msaada hapo jamani.:argue:
Jamani kuna rafiki yangu alijikuta amejaza course ambayo ipo open university,kimakosa.sasa anataka kubadilisha,je,iyo inawezekana kutumia muda huu,wanapofanya awa wa third round application?lakini kila akijalibu kuchange inakataa,msaada tafadhari.:kev:
Kwa mtililiko huu tcu mwaka huu,tutafika mpaka ''call fourth selection''.majanga mwaka huu,agizo la mweshimiwa rais wadail wanafunz wengi coz,kuna mapunguvu mengi ususan wahadhiri,sasa sijui loan bodi wanatosa watu,tcu nao vilevile,du!hivi kwa nini nchi hii aliyesoma anaweka vikwazo kwa wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.