Search results

  1. V

    Wataalamu wa mathematics msaada

    "MaMa Mdogo" asante daaaa.... Mathematician kama ww tunawahitaji mtuokoe na ss tuwe ma Engineer wazuri miaka ya baadaye
  2. V

    Wataalamu wa mathematics msaada

    b)express Sin 5A interms of sin A jamani topic ya triginometrie wakuu msaada tafadhari
  3. V

    Wataalamu wa mathematics msaada

    a) if A + B + C= 180 degrees ,prove that sin(B+C-A) + sin (C + A-B)+ Sin (A+ B+C)= 4sin A sinB sinC
  4. V

    Mwanadada kuiweka ndoa matatani bila kujua

    kaniambia hadi mtoto anae wa mwaka mmoja na miezi 2 tena wa kike japo sina uthibitisho wowote ila ndo hali halisi
  5. V

    Mwanadada kuiweka ndoa matatani bila kujua

    wanawake mlio ktk ndoa na wanaume fikiri kabla ya kutenda usifanye jambo ambalo utahisi mwenzi wako atakuhisi vibaya na kutia doa ktk ndoa zenu na huyu dada me namchukulia kama dada yangu wa kufikia wala sina mpango nae mwengine wowote na tunachati mpaka ss. na fundisho hili naye pia nimempa...
  6. V

    Mwanadada kuiweka ndoa matatani bila kujua

    kuna dada mmoja nilkutanae ktk mtandao 1 hivi wa kijamii baada ya kuchati nae kidogo akanipa namba ya simu ili tuchati vizuri pindi tupo ktk mchatiko aliniambia kuwa yy ni mke wa mtu (kidume nikajisemea moyoni hii sumu ss) basi nikajisemea hapa sina changu kashawahiwa niachane nae nisije...
  7. V

    DIT wametoa majina ya waliochaguliwa direct entry diploma 2014

    daaaaa.....! wangetuweka ktk machaguo moja kwa moja maana wengine tulisha apply na kupata vyuo vingine kama vile st.joseph
  8. V

    Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

    hawa wanawake hawafai kabisa ukijaribu kuchimba utaona baada ya kumuoa tu mama mkwe anampeleka mwanae ambaye ni mkeo kwa mganga wakafunge akili yako akihofia kuporwa mume unakuwa haujielewi mpaka unaanza kuwasahau kutowasaidia ndugu zako hadi mama yako mzazi daaa... bas tu ndo hali halisi
  9. V

    wakuu hiv haka ka-biomedical engineering nacho ni kazuri au?

    hapa nafsi zinarumbana tu embu mwacheni shatani apite waswahili wanasema funika kombe mwanaharamu apite acheni kugombana watoto wa Nyerere
  10. V

    Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    Ha ha! ww kitu st.joseph chezea kitu cha international engineering siyo kufanya mambo kuwa magumu ka vyuo vingine uzoefu field na kazini
  11. V

    Engineering Geology Vs Agricultural Engineering

    ha ha! hihihi....! mwenyekiti wa kikombeeeeeeee.....!
  12. V

    Kutongoza kizungu ni ngumu jamani...asikuambie mtu

    Ha ha! Kha sasa ya nini shida unangemwambia tu because of you iam not happy new year anymore
  13. V

    Nahitaji mpenzi wa kike wa kuendanae beach

    Ha ha! kweli jamaa unaukameeee.....! meeeeeeen
  14. V

    Jamani naomben msaada wa dhati,matokeo yangu haya apa

    fuatilia vyuo wanavyotoa hiyo kozi unayoipenda ya uwanasheria ukaanze ngazi ya diploma may be 2 yrs then unachukua degree yako UDSM baadaye utakuwa hakimu ukienda form 5 au 6 we mwalimu mtarajiwa maana utataka mkopo ili uupate itakulazimu ukashike chaki
  15. V

    Jamani naomben msaada wa dhati,matokeo yangu haya apa

    fuatilia vyuo wanavyotoa hiyo kozi unayoipenda ya uwanasheria ukaanze ngazi ya diploma may be 2 yrs then unachukua degree yako UDSM baadaye utakuwa hakimu ukienda form 5 au 6 we mwalimu mtarajiwa
  16. V

    Makabila ambayo kitandani ni goigoi

    Ha ha hahahaaaaa...! haya wamakonde jengeni hoja hapa
  17. V

    Makabila ambayo kitandani ni goigoi

    we unatafuta ugomvi na wamakonde teh teh teh.....!
  18. V

    Walio wahi kusoma mchikichini na mapambano

    Duuuuu.....! Ha ha haaaa! mbuga anafundisha biology na chemistry,hiyo mathematics kaanza lini
  19. V

    Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    me siyo mwalimu hivi mtu anaposema eti waliofeli ndo wameenda ualimu huu ni uongo mtakatifu kwa div 4 ya point 27 au 28 kwa miaka ya nyuma na waliopata zero watasemaje embua tuondoe hiyo dhana potofu wajameni
  20. V

    MyElimu.com - Mtandao unaowakutanisha wanafunzi wa sekondari Tanzania

    hiki kitu ni kizuri hasa kwa wale wenzangu wa misuli yatima hatimaya mama wa kambo a.k.a myelimu kapatikana nzuri hiyo mkuu hongera sana mzeyaaaaaaa..,!
Back
Top Bottom