Search results

  1. F

    Kwa rasimu hii muungano tunaunusuru au tunaudidimiza?

    Na Felix Mutalicious Lugeiyamu; 0712246001/ flugeiyamu@gmail.com Ni kitambo sasa tangu suala la mchakato wa uundaji katiba mpya uwekwe wazi masikioni mwa watanzania. Suala ambalo watanzania waliahidiwa katiba mpya kupatikana ifikapo mwaka 2014 au kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015...
  2. F

    What is behind the three government game? An individual perception

    It`s nine days since the Chairman for the constitution bill commission announced for the commencement of the second draft of the new constitution bill. Among matters tabled was the three Governments mode of ruling referring to Tanzania Union/Co-operation government, Tanganyika government and...
  3. F

    Tanzanians arent yet prepared for three govements

    By Felix Lugeiyamu; flugeiyamu@gmail.com Few days gone the chairman for the new constitutional bill Hon. Warioba presented the second draft of the new constitution which is expected to be accomplished before the general election in 2015. The draft was presented on 30th December, 2013. Among the...
  4. F

    Waziri awashauri wahitimu kujiendeleza kielimu ili kuendana na mabadiliko ya kidunia

    WAZIRI AWASHAURI WAHITIMU KUJIENDELEZA KIELIMU ILI KUENDANA NA MABADILIKO YA KIDUNIA Na Felix Lugeiyamu (Mutagaya) (0712 246001; flugeiyamu@gmail.com) Mh. Mathias Chikawe (mb), Waziri wa Katiba na sheria, amewashauri wahitimu wa Astashahada na Stashahada ya Sheria wa Chuo cha Uongozi wa...
  5. F

    Elimu ya shule za kata na matokeo yake

    Elimu Ya Shule za Kata na Matokeo Yake Kati ya mambo ambayo watanzania wanayaenzi katika kipindi cha utawala wa waziri Mkuu mstaafu aliyeachia kiti kwa kujiuzuru baada ya kutokea dosari ya kuingiza nchini kampuni ya kufua umeme ambayo haikuwa na vigezo vinavyohitajika na hivyo kuisababishia...
  6. F

    Tunapopanda uozo kwa shangwe na kuvuna uvundo kwa kilio

    Tunapopnda uozo kwa shangwe na kuvuna Uvundo kwa kilio Miaka michache iliyopita tulishuhudia chama cha upatu (DEC) ambapo wanachama waliweza kupanda mbegu chache na kuvuna mbegu nyingi zaidi kwa imani. Punde wanachama wakaanza kuangua vilio baada kutaifishwa fedha zao ambazo hadi sasa ni...
  7. F

    Opportunity; the enemy of youths` employment

    Opportunity/; the enemy of Youth`s employment When one takes a walk in Dar es salaam, Arusha, Mwanza or any other place of the nation, what he see is the huge number of youths loitering form here to there endlessly, as lost sheep or goat. The same, when one switches on the Television or radio...
  8. F

    Elimu duni na wasomi duni

    Elimu duni na wasomi duni Elimu duni na wasomi duni Elimu ndicho chomba pekee cha kumkomboa mwanadamu kifikra, kimtazamo na katika hali yote ya maisha kwa ujumla. Aidha, ni elimu hiyo hiyo inayompa mwanadamu uwezo wa kutambua mema na mabaya ikiwa ni pamoja na kukemea iwapo mwanajamii yeyote...
  9. F

    what will I gain after the accomplish?

    What will I gain if accomplished?: An enemy destroying the nation Obvious you should be asking yourself what does the writer intend to say/mean? if not then you should be asking yourself what does the writer intend to mean? To get the answer of these two questions, here follows the other...
  10. F

    Africa internal bleeding

    “AFRICA INTERNAL BLEEDING” “In fact Africans regarded conflicts as part of life and aspect of their cultural activities, which often showcased evidence of virility, responsibility and versatility. They were quite to understand the nature and fundamentals of conflict and its impact on societal...
  11. F

    Who to blame; civilians or government?

    WHO TO Blame Civilians OR THE Government? “It is 52 years since the United Republic of Tanzania got her Independence from colonial Rule as in 1960 December, the demeanor hasn`t changed to positive real since then but getting worse and worse each day that passes. Corrupt individuals and...
  12. F

    Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

    wahenga walisema "mbwa akikalibia kufa hurefuka mkia" na pia maandiko matakatifu yanasema "siku za mwisho zikikaribia mtayashudia mambo ya ajabu yakitendeka"; hii imeanza kujitokeza. Kimsingi Tanzania inaanza kuahibishwa wazi kabisa maana kama mtu maarufu, mhimili wa taifa anaamua kufanya vituko...
  13. F

    Basi la abiria laua

    BASI LA BURUDANI LAUA Na Felix Lugeiyamu Basi la abiria la “BURUDANI” lenye namba ya usajili T 158 BXG (amabalo picha yake inaonyeshwa) linalofanya biashara ya usafierishaji wa abiria...
  14. F

    PCCB na vyeti vya darasa la saba

    Kimsingi watanzania wengi hawakutilia maanani suala la vyetivya darasa la saba tokea hapo awali, lakini ukweli ni kwamba vyeti hivyo vipo na vianapatikana mashuleni. Sema unaweza kukuta walimu wakuu wameishavifungia karaga teh...
  15. F

    Unapo mdumaza mtoto

    UNAPOMDUMAZA MTOTO Na Felix Lugeiyamu. Juzi juzi tu katika safari zangu nilikutana na rafiki yangu ambaye tulipotezana kwa muda wa miaka kumi na moja iliyopita. Katika maongezi yetu akanigusia hili, kuwa ameoa na ana mtoto mmoja ambaye ana umri wa miaka kumi na moja (11) tangu azaliwe na...
  16. F

    Elimu ya shule za kata na matokeo yake

    ELIMU YA SHULE ZA KATA NA MATOKEO YAKE Kati ya mambo ambayo watanzania wanayaenzi katika kipindi cha utawala wa waziri Mkuu mstaafu aliyeachia kiti kwa kujiuzuru baada ya kutokea dosari ya kuingiza nchini kampuni ya kufua umeme ambayo haikuwa na vigezo vinavyohitajika na hivyo kuisababishia...
  17. F

    Opportunity: The enenmy of Youth's employment

    Opportunity/; the enemy of Youth`s employment. When one takes a walk in Dar es salaam, Arusha, Mwanza or any other place of the nation, what he see is the huge number of youths loitering form here to there endlessly, as lost sheep or goat. The same, when one switches on the Television or radio...
Back
Top Bottom