Search results

  1. blairdoll

    Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote ni wajanja!

    Hahahhaa.....nimecheka yaani u have made my night duuh....
  2. blairdoll

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Hii nilikua nakatazwa kuangalia enzi hizo primary sasa shule wenzangu wanahadithiana mi nimetoa macho tuu duuh...
  3. blairdoll

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Nakumbuka DTV enzi izo siku za alhamisi kulikua na superman hata sijui kipindi kilikua kinaitwaje aisee yani nilikua napenda kuliko kitu kingine chochote...
  4. blairdoll

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Duh una kumbukumbu wewe aisee
  5. blairdoll

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Yani hii ndo naimiss kuliko zote nilikua boarding school basi jumamosi tunajificha ndani ya nyumba ya mwalimu mmoja tunaangalia marudio kwa hofuu maana mkikutwa ni soo..na iyo jumamosi unavyoisubiria yaani ni shiidaaa
  6. blairdoll

    Mtu wa kubadilishana nae simu

    Blackberry torch 8010 nipo serious... Isije ikawa ya wizi tuu
  7. blairdoll

    Namna ya kuondoa madoa kwenye sink ya Ceramic

    Aro pia ni nzuri sana masink yanang'aa
  8. blairdoll

    Namna ya kuondoa madoa kwenye sink ya Ceramic

    Tafuta tile cleaner yatang'aa utapenda...
  9. blairdoll

    Mohamed Trans laua Polisi watano!

    Yani mimi nashangaa kwa nini bado wapo tu wanadunda its too much kila siku wao...
  10. blairdoll

    Nini kilimkuta huyu derva kwenye daraja la dumila???

    Hata mimi hii video nilitumiwa whatsAp nadhani ni mwaka jana so haihusiani na mafuriko ya sasa ila hapo kwa kweli sijui ni wapi...
  11. blairdoll

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Ha ha u have a point kutokana na zile picha though i dont believe kama ni zake..behind the keyboard simkubali kabisa wala haendani na zile photos at all... and kuna one post aliweka photoz za Dayna(not sure sikumbuki vizuri) with some guy wakiwa beach...the guy ndo yule yule wa photoz zake ndo...
  12. blairdoll

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Mimi Mentor namfancy kweli ila naogopa yale ya Aisha Daudi...lol
  13. blairdoll

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Uwii mbavu zangu...umenimalizaa...
  14. blairdoll

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Mmh...kweli tunatofautiana...
  15. blairdoll

    Mke wangu anatokwa damu ukeni - naombeni ushauri

    Kutokwa na hedhi sio kawaida wakati wa ujauzito..nenda hospitali akachekiwe acha kupoteza muda hapa..
  16. blairdoll

    Debate: Bado nipo nipo sana...Mentor vs Lara 1

    Mimi nakukubali kama ye hakutakii...lol... Ps: sio mchunaji mie i make my own cash,in short i depend on me ila si mbaya ukinipamper kidogi...wink wink...
  17. blairdoll

    Agnes masogange sizzles in new pics

    Duuh. Sometimes I wish I were a Guy lol!!! Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  18. blairdoll

    Dayna abambwa na njemba ufukweni wakifanya yao hadhalani bila kujali watu

    Ha ha ha Nish...I was thinking the same thing!!na mleta mada na mada zake hafananii na zile picha lols... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  19. blairdoll

    Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

    And miss H.O.E..thanx for the thread..xoxo Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Back
Top Bottom