Search results

  1. daviey69

    Kwa wajasiriamali: Nakodisha shamba maeneo ya Wami Dakawa katika kijiji cha Zagale

    Kichwa cha habari kinahusika kama kilivyoandikwa Bei ya hecta 1 ni 200,000. Ukubwa wa shamba hecta 30. Wakati wa masika unaweza lima mazao kama mpunga na wakati wa kiangazi waweza lima vitunguu n.k kwa umwagiliaji kwakutumia mto wami! Shamba liko kilometa 40 kutoka mjini kupitia njia ya...
  2. daviey69

    Nashindwa kulala.....msaada wa haraka unahitajika

    Za Asubuhi wote. Ni hivi mimi nimepangisha chumba maeneo flani hivi, na nyumba hiyo ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya familia kwahiyo ina sebule ambapo mlango mkubwa upo wa watu wote(wapangaji wanne ambao kati yetu wawili wanafamila zenye watoto na familia moja kati ya hizi zenye watoto...
  3. daviey69

    Serikali yatoa onyo juu ya telexfree Be warned!

    Ofcourse hawajawataja jina kuwa ni Telexfree ila timing ya tangazo kutoka siku ya leo inakwambia kabisa wanamlenga nani.....lolest....... Kumbe huko serikalini hamjalala sana eeh? tumechonga sana wiki hii na nyie mkatoa tangazo fasta....... Yani jinsi walivyofafanua maana ya upatu haramu ni...
  4. daviey69

    Ofisini hakuna Breakfast time,elimika na upende kazi yako!

    Za asubuhi wana JF wote na wapenda maendeleo wote! Nimekua nikichukizwa sana na wafanyakazi ambao unahitaji msaada wao kikazi tena mfanyakazi mwenzio anakuambia subiri nimalize kunywa chai! Ninavyoelewa kwenye policy za kazi na terms za contract hakuna mda uliopangwa for breakfast kwahiyo kama...
  5. daviey69

    Manchester City inatoa dozi ya magoli mengi

    habari JF wote na wapenda Man city woooooooooooote....Kweli Man City wananifanya nijisikie fresh each day they play? Sidhani kama wana mpinzani......!
  6. daviey69

    Man united mmechachuka............

    Last corresponding meeting Sat 17 Nov 2012 | Carrow Road | Attendance: 26,840 Norwich 1 - 0 Man Utd Kwa hali hii kesho hamchomoki lazima mkikalie tu!
  7. daviey69

    Hivi wanawake wenye uhusiano na wanawake wenzao...nao hutegemea kugaramiwa kama ambavyo.....

    Nimekua nikiona wanawake kwenye movies ambao wamo kwenye usiano na wanawake wenzao na hawaonyeshi kama kunakutegemea support ya kimatumizi kutoka kwa mwenza wake zaidi ni wivu ndo huonekana zaidi! je kwenye maisha ya reality wanawake wa aina hii walioko kwenye mahusiano na wanawake wenzao nao...
  8. daviey69

    Help...............

    goodafter kazi to JF wote. naomba muongozo kwa mwenye kujua how i can change my user name here on JF.
  9. daviey69

    check na hiii

    http://file.navyfield.com/Olivelab/OlivelabAva/2008/08/05/Assassin101_Ava.gif
  10. daviey69

    Huyu ndiye mtu aliye vunja rekodi ya...........

    HUYU NDIYE MTU ALIYE VUNJA REKODI YA DUNIA KWA KUISHI KWA MUDA WA MIEZI SITA BILA MOYO! A 37-year-old man from Czech Republic recently became the first man to live without a heart for six months. Jakub Halik, a former firefighter lived without a pulse for six months after...
Back
Top Bottom