Search results

  1. daviey69

    Ukiandaa dodoso kama hili na ukapitisha vyuo vikuu, majibu utakayopata unaweza kutamani kuhama nchi

    Kiongozi bora hatokani history ya waliotangulia, bali willingness ya mtu mwenyewe! By the way naweza nikawa namiss kitu hapa, unaweza kuniambia kuhusu hawa watu watanisaidiaje kumpata kiongozi bora kwa kujua tu waliongoza lini au walifanya nini! kukata tamaa ya kuwajua hakukuanza ghafla...
  2. daviey69

    Ukiandaa dodoso kama hili na ukapitisha vyuo vikuu, majibu utakayopata unaweza kutamani kuhama nchi

    labda haina umuhimu wa kukumbuka wala kuhifadhi, utahifadhi watu ama matukio yasio na tija? binafsi naona ni bora hichi kioja chako kuliko kukaa ukawasikiliza hao uliowataja wakiongelea chochote kuhusu nchi yetu iwe cha maendeleo ama utafunwaji wa nchi hii. i have lost their touch.
  3. daviey69

    Bajeti kugusa mabenki, mabenki hayawezi kuongeza riba za mikopo kufidia kodi mpya kwenye sekta hii?

    #gasper do santos hujamuelewa #Cannabis kasema nini, sembuse kuelewa nilichosema! acha story za kwenye kahawa! Unakuwa kama yule mtangazaji aliyesema yanga ina fans zaidi ya million 35 Au tigo has more than 31 millions of subscribers! This is 2016, 3yrs kwenye uchumi ni kubwa sana! we now have...
  4. daviey69

    Bajeti kugusa mabenki, mabenki hayawezi kuongeza riba za mikopo kufidia kodi mpya kwenye sekta hii?

    naweza nisijue mkurabita ni what kind of a donkey but ulichosema si kweli!
  5. daviey69

    Bajeti kugusa mabenki, mabenki hayawezi kuongeza riba za mikopo kufidia kodi mpya kwenye sekta hii?

    hivi hii million 3 ya watz wanaotumia bank umepata wapi? 3 out of about 59 millions people? au 3 out 33 pc of Adults? i think your misleading. yaani at average ya kila bank kuwa na wateja 52000?
  6. daviey69

    UKAWA tusililie Uenyekiti wa Halmashauri, hatuna uzoefu!

    What a nice answer to that stupid Fool!
  7. daviey69

    Serikali ifute vibali vya Saruji kutoka Nje ya Nchi

    Kwa mara ya kwanza nimefurahi kusoma uzi wako. Tanzania inahitaji vita ya aina hii kulikomboa taifa. Uchama tuweke mbali
  8. daviey69

    Hadi leo sijaelewa faida za utumbuaji wa majipu

    KUhusu adhabu hii ni mada nyingine tofauti na faida.
  9. daviey69

    Hadi leo sijaelewa faida za utumbuaji wa majipu

    Unataka kuona faida haraka kama ya kumtoa goalkeeper uwanjani, think! Hata hivyo inawezekana hukuona pia madhara ya waliokuwepo sehemu hizo!
  10. daviey69

    Mke wangu hataki niende kazini

    Are you left hand?
  11. daviey69

    Rais Magufuli apokea Ujumbe Mzito kutoka Sweden na Malawi Ikulu Dar es Salaam

    Unaandikaje kichwa cha habari kwa style hiyo halafu kilichopo ndani hakina uzito wa unachokisema? Kweli you live in the world where your mind walks away from your body every time you talk or writtes
  12. daviey69

    Urekebishaji ADA kwa shule za Private Serikali ifanye kwa umakini mkubwa

    Kumbe saa ingine una kitu kichwani ila tu hisia na ushabiki ndo unakuaribia. Asante kwa kunielewesha na kunieleweshea hawa walioomba kufungua shule na kukubali kuifata sheria wakijiaminisha kuwa hakuna atakaeifuatilia, sasa tumepata mtu wa kuifatilia wanalia.
  13. daviey69

    Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO): Ufafanuzi wa taarifa kuwa hatununui nguzo nchini bali...

    at least leo na wewe upo upande wa walala hoi! Good start though!
  14. daviey69

    Lema na kundi lake wanatafuta kura za huruma

    Lema Arusha hatafuti kura....yeye analetewa kura!
  15. daviey69

    HOD don't want me in his department, he's pressuring HR to fire me. How can I sue them?

    My friend embu nenda kasome HR manual ujue your strength and weakness ulizonazo ahead. Maswala ya pension yapo wazi kama huna obligation yeyote ya kulipa mikopo to your employer pension yako itakuwa ni mali yako!
  16. daviey69

    Kesho mshahara, nimemuomba nimtoe out Serena Hotel, kakubali

    yaani apeleke vilaza serena? for what? kilaza wa kibongo sipeleki serena! kilaza wa kibongo ni getto tu hana sehemu ingine!
  17. daviey69

    Kesho mshahara, nimemuomba nimtoe out Serena Hotel, kakubali

    uoga wako ndo umasikini wako, laki tu inatosha kama itaisha halafu muelekeo wa kibla hakuna call off, save your money go home!
  18. daviey69

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Hapo tu unapokosea nani ana wasi wasi na usisiemu wako? Hongera zimfikie Rais.
  19. daviey69

    Ukweli wa heri: Tundu A. M. Lissu hana mfano Bunge lile wala hili

    Mzee Tupa Tupa sijawahi kuchukia mada zako, at least kuna mtu anaona na kufikiri zaidi. Saa nyimgine unanifanya napunguza chuki thidi ya makada kwa kupitia thread zako
  20. daviey69

    Mimba haishiki tena

    I see the product of US baby........made in africa and assembled in USA.
Back
Top Bottom