Search results

  1. master09

    Morogoro Road kusimamisha magari muda mrefu

    Leo Januari 28 magari yameanza kusimamishwa Ubungo intererchange. Shida sana nimepita kwa mbinde mpaka mlandizi ni foleni, magari yamesimamishwa kwa muda mrefu.
  2. master09

    Usalama wa Taifa ufumuliwe upya

    Habarini, Kama mwananchi wa kawaida ningependa kuishauri serikali yangu ya Tanzania upande wa Usalama wa Taifa. Mitaani, kumbi za starehe wananchi wanatolewa bastola hata kubebwa na hao wanaojiita Usalama wa Taifa wasio na maadIli kabisa..... Recruitment yake huwa wanafanyaje maana kuna...
  3. master09

    Safari kuelekea Simiyu

    Leo naanza safari ya Km 1170...DSM to Simiyu. Saa 9:18 am .....nikipita morogoro.
  4. master09

    Askari wanavizia bajaji Morocco Bus Stand kwenda Posta

    Habarini, Leo asubuhi foleni imekuwa kubwa sana barabara ya Ali Hassani Mwinyi. Hivyo basi, abiria wengi wanatumia bajaji au pikipiki cha ajabu askari wanawakamata boda na bajaji kisa wametanua. Bajaji wangu nimemkingia kifua kwamba hakuna kosa kutumia njia mbadala inaruhusiwa pale panapokuwa...
  5. master09

    TTCL Internet kulikoni?

    Siku ya Leo Mtandao wetu maarufu TTCL Rudi Nyumbani kumenoga Network iko down toka mchana sasa inasoma 2G kwa mobiles na fiberoptic pia no connection ........ Basi mtoe tangazo tujue kama kunatatizo Kama kuna mdau pia humu wa TTCL atueleze kunashida gani na itachukua muda gani .....
  6. master09

    Step by step nilivyo agiza bidhaa kutoka AliExpress

    Habari JF. Kwamtazamo wangu wengi tunaogopa kuagiza vitu kutoka hizi sites kama AliExpress,ebay,Amazon n.k Baada ya kusoma nyuzi nyingi hasa za Mwl.RCT basi namimi nikaona nijaribu. 1.Nilianza na kufungua Sanduku la Posta . 2.Kufungua Account ya Bank Nitakayo tumia kufanya manunuzi hayo ...
  7. master09

    Passibly Ethiopians Airlines Boeing 737 Max Could be Gunned Down

    An Ethiopian airline boeing 737 Max airplane has crashed en route from Addis Ababa to Nairobi . CARRYING 149 passengers and 8 crew members . Note: Kenya's Transport secretary says there were passengers from at least 35 countries on board the Ethiopian airlines flight. The weather was good and...
  8. master09

    Nafasi ya kazi system admin deadline 30'01'2019

    download attachd pdf fanya appln fastr. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. master09

    TBC: Kongamano la watanzania waishio Marekani. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi mgeni rasmi

    Nipo naangalia TBC live sasa hivi, Prof.Kabudi anatoa nondo za hatari jinsi nchi ilipotoka na ilipo. Pia jinsi ilivyosaidia nchi nyingine kupata uhuru. Mwaka 1980 Nyerere alinunua ndege mbili za ATC Kwa cash.Moja iliitwa Kilimanjaro na nyingine Serengeti Ila watu wanasahau amesisitiza...
  10. master09

    Colony S03E01 Wataja Masai tribe wa Serengeti ila bila kusema Serengeti in Tanzania

    Namaste..... Wakuu Leo nilikuwa nacheki Series ya Colony season 3 na episode 1 ya tarehe 3 may 2018 ...jamaa alikuwa anachota maji kwa style ile ya kufunga ndoo mbili na mti katikati afu unaweka begani ....jamaa alisema "I Feel like a Masai tribeswoman" !! ..... mwanamke (sarah wa prison...
  11. master09

    DAWASCO mko wapi! Siku ya pili bomba la maji limepasuka Mbezi Beach mtaa wa Kigoma

    Namaste .... Leo ni siku ya pili mbezi beach kigoma street ubavuni mwa BOT flats kilimani bomba limepasuka tumewapigia wafanyakazi wenu wa kufuatilia bills lakini hadi leo kimya na hamko mbali na hapa ni kama 4km mpaka ofisi zenu za kawe .... Serikali inapata hasara kubwa kwa garons za maji...
  12. master09

    Msaada wa kupata XBOX 360 crack software

    Habari wanajamvi, Je inawezeka kuchip Xbox 360 kwa software pekee? Mimi nina console ya xbox360 sasa nahitaji kuichip wakuu mwenye maujuzi tafadhari anisaidie
  13. master09

    Nilivyoibiwa na baadae kuwa blackmailed

    Ilikuwa tarehe 22 march 2017 mishale ya saa 9:30 usiku eneo la mbezi beach mitaa ya kwa zena ......... Nilikwenda kwa zena(mbezi beach) kwa nia ya ku scan documents zangu (vyeti) pale kuna internet cafe moja hivi ipo opp. na sehemu ya chakula maarufu kwa john......Nilichelewa kwani saa tatu...
  14. master09

    Samsung galaxy ace GT S5830 haipati network na haisomi memory card

    Habarini .... Naombeni msaada kuhusu hii simu,no network,cant read memory card.
  15. master09

    Police wakamata madawa ya kulevya aina ya heroin 201kg

    Alisema mara ya mwisho kwa mzigo mkubwa zaidi wa heroin kuwahi kukamatwa ilikuwa mwaka 2012 wakati zilipokamatwa kilo 70 za dawa hizo jijini Dar es Salaam. Nzowa alisema Kikosi cha Wanamaji kiliposhuku boti hiyo, kiliisimamisha na kugundua kuwa ilikuwa na watu 12. Alisema baada ya uchunguzi...
  16. master09

    New year greetings

    Ningependa kuwatakia heri na amani wana jf wote .....mungu awabariki sana...wengine tumesha anza kusheherekea....full ma fataki
  17. master09

    Kwanini vyama zaidi na siyo utaifa?

    Wana JF,mimi huwa si mpenzi sana wa siasa .....ila huwa inaniuma nikiona tuna rumbana kwenye siasa zaidi ya kufocus utaifa......mfano hotuba ya raisi tunakosoa hata kama vitu alivyo ongea ni muhimu kwa taifa letu.....utakuta mtu anasema madawa ya kulevya kuna nchi gani duniani hakuna drugs...
  18. master09

    hellow ......'09

    m happy to join u guyz .... Cheers
Back
Top Bottom