Search results

  1. mwagito25

    Matapeli wanaotumia kivuli cha maneno ya Mungu

    Habarini wadau. Leo nimeona nitoe maoni yangu kuhusu watu hawa wanajiita mitume na manabii na masheikh. Mtu anatumia mafuta, maji, chumvi nk. Wanajiita ni mitume na manabii; je, Biblia inasema hivyo? Ingawa sina rejea ya vifungu moja kwa moja lakin matendo ya Yesu akiwa duniani alifanya...
  2. mwagito25

    Fursa ya mboga mboga na matunda Dodoma

    Habarini wana jamvi. Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Uhitaji wa mboga mboga na matunda unakua kwa kasi kubwa. Uhitaji huu ni wa wote, yaani wauzaji na wazalishaji. Kwa wale...
  3. mwagito25

    Tuchangamkie fursa za kununua ardhi mapema

    Habarini wanajamvi, kama wewe ni muumini katika kuwekeza ardhi basi chukua hii. Chuo kikuu cha ardhi kinatarajia kujenga chuo kishiriki kikubwa saana jijini Dodoma. Eneo walilolenga kujenga lipo wastani wa 25km kutoka njia kuu(lami). Wakazi na wakulima wa eneo hilo tayari washaanza kuandaliwa...
  4. mwagito25

    Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi. Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika kumtembelea ndugu mmoja shambani kwake. Shamba lake la parachichi lenye ukubwa wa ekari 15, lakin sehemu...
  5. mwagito25

    Karibu Dodoma, kamata fursa

    Karibu ujipatie eneo la kujenga hosteli au nyumba ya kupangisha katika jiji la Dodoma. Eneo lipo karibu kabisa na chuo cha LGTI-HOMBOLO DODOMA Umeme upo wastani wa nguzo mbili hadi tatu. Eneo lina ukubwa wa mita 30*60 Bei ni milion 8. Mawasiliano ni 0682276767. Karibu saana. NB: Eneo lipo...
  6. mwagito25

    Hostel inauzwa Hombolo Dodoma

    Location : Dodoma-Hombolo kilipo chuo cha LGTI status: imekamilika kwa 65% Matumizi: kupangisha wanachuo Size : vyumba 8 Place: ipo katikati ya mji umeme wa kushusha tu. Price :26M land status: eneo lishahakikiwa na surveyor NB: INA ENEO kubwa LA KUTOSHA KUJENGA ZA YA HIYO, pia karo la...
  7. mwagito25

    Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa

    Nyumba ya vyumba 3 na sebule ilijengwa kwa tofali za kuchoma. Imekamilika ukamilifu wa kawaida, ina eneo la kuweza kujenga vyumba 6+. Ipo Dodoma-Hombolo (karibu na Chuo cha Serikali za Mitaa -LGTI.) Bei ni 4.5 million. Karibuni sana. Kwa biashara piga 0658343464/Whatsapp 0752925925 Sent...
  8. mwagito25

    Nyumba ya vyumba vitatu na sebule inauzwa

    Nyumba ya vyumba 3 na sebule ilijengwa kwa tofali za kuchoma . Imekamilika ukamilifu wa kawaida, ina eneo la kuweza kujenga vyumba 6+. Ipo Dodoma-Hombolo (karibu na chuo cha serikali za mitaa -LGTI.) Bei ni milion 7 . Karibuni saana. Kwa biashara piga 0658343464/whatsapp 0752925925 Sent using...
  9. mwagito25

    Eneo linauzwa (Dodoma, karibu kabisa na chuo cha serikali za mitaa-LGTI Hombolo)

    Eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 lililopo eneo tajwa hapo juu. Eneo hili lipo karibu saana wastani wa dakika tano kwenda chuoni kama litatumiwa kujenga hostel. Linafaa pia makazi nk. Umeme upo. Bei ni makubaliano. Kwa mawasiliano zaidi 0658343464/ whatsapp 0752925925 Hii ni fursa mwenye macho na...
  10. mwagito25

    Kiwanja cha Ekari 1 kinauzwa Dodoma

    Habari wadau, kuna eneo lenye ukubwa wa ekari moja linauzwa kwa shilingi milion moja na nusu , halipo mbali na barabara , na limeshahakikiwa na surveyor. Karibuni Kwa biashara/maulizo simu piga 0658343464 na whatsapp 0752925925 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mwagito25

    Naomba kujua vitabu vinavyotumika kufundishia literature in English

    Naomba msaada kujua majina ya vitabu vinavyotumika kufundisha literature in english msaada tafadhali. For more 0752925925. Karibuni wana jamvi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwagito25

    Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

    [emoji616][emoji616][emoji616]PUNGUZO LA BEI KWA UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU. [emoji94][emoji94][emoji94][emoji94][emoji94][emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630] Tunatumia mashine za kisasa na huduma zetu ni bora. Tunapomaliza tunahakikisha maji yanatoka na unaanza kutumia. Pia tunafanya...
  13. mwagito25

    INCUBATOR YA MAYAI 300

    Ninauzwa incubator ya mayai 300 imetumika miezi mitatu tu, ninauza 1.3M kwa aliye tayari dm me +255752925925 karibu saana
  14. mwagito25

    NATAFUTA KAZI YA KUFUNDISHA KINGEREZA/NA GEOGRAPHY

    Mimi ni graduate wa CHUO KIKUU hapa hapa Tanzania natafuta kazi ya kufundisha popote pale Tanzania katika level yoyote kuanzia shule ya msingi mpka secondary. Mawasiliano +255752925925
  15. mwagito25

    Kiwanja kinauzwa karibu na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma

    Kuna Viwanja na mashamba yanauzwa kwa bei nafuu saana , mwenye uwezo karibuni ni fursa nzuri kwani hiki chuo kina fursa kibao ikiwemo biashara ya hostel pamoja n mahitaji ya binadamu ya kila Siku. Pia mashamba ya kulima Zabibu na yenye Zabibu kabisa yapo karibu saana. FOR BUSINESS DM WHATSAPP...
  16. mwagito25

    BIASHARA HARAMU AFRICA MAGHARIBI

    Kama bado kuna watu wanaibiwa na hawa watu basis badiliken... SMS zao zina mfano huu "From: Regina Wilson Date: Wed, Jun 19, 2019, 11:35 Subject: MAY THE PEACE OF THE LORD BE WITH YOU. To: Dismas Kivike MAY THE PEACE OF THE LORD BE WITH YOU, I'm Reverend Sister Regina Wilson, a friend to...
  17. mwagito25

    Shamba la zabibu Dodoma

    Mwenye uhitaji wa shamba la zabibu lipo ndani ya mradi wa umwagigiliaji (irrigation scheme) lenye ukubwa wa ekari moja na nusu , lina zabibu tayari ,ambapo unahudumia kisha unavuna, bei ni 19 Milioni, hakuna gharama zingne . Ambaye yupo tayari karibuni
  18. mwagito25

    KIWANJA DODOMA KARIBU NA CHUO CHA ST JOHN, SQ M 1000

    Kiwanja kinauzwa Kikuyu karib kabisa na Chuo cha st John , Kiwanja kina nyaraka zote kama hati za serikali . kinauzwa 16.5mil. Kipo karibu na barabara . KARIBU Sent using Jamii Forums mobile app
  19. mwagito25

    Kiwanja Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Jiji la Dodoma , kipo eneo la swasa mnarani , Kiwanja kina ukubwa Wa eneo SQM 1200. Kipo pembeni ya njia ya barabara ya kutoka kwa waziri mkuu kuelekea martin Luther . kina nyaraka zote za serikali zilizo halali. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom