Search results

  1. Ndikusyaganya

    Msaada: Wapi naweza kupata Sports Academy kwaajili ya watoto maeneo ya Ubungo, Dar?

    Habari waungwana, naomba kujua kama kuna kituo kizuri na chenye kujali maadili cha mafunzo ya michezo hasa mpira wa miguu kilichopo ndani ya Wilaya ya Ubungo - Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
  2. Ndikusyaganya

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Hii kweli kabisaa nami nahisia hizo
  3. Ndikusyaganya

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Hivi ndoa ni nini? Nimekutana na stori moja ya jamaa zangu mke na mume ambao hawakubahatika kufika Kanisni kufunga ndoa lakini wemeishi kwa miaka isiyo pungua 7 na wana watoto wawili. Katika kipindi chote hicho wazazi wa pande mbili walisha tambuana na kiasi cha mahali kilisha tolewa. Tukirudi...
  4. Ndikusyaganya

    CHAPUTA wote mbinguni hamuendi

    Kwa junior members lakini, sisi senior member tulisha hama analogia Sasa tuko.... [emoji23][emoji23]
  5. Ndikusyaganya

    CHAPUTA wote mbinguni hamuendi

    Huna experience nzuri Mkuu, kwa sisi Sinor Member wa CHAPUTA, we can pulingi without any woman image. So we are happy and free with this new invention
  6. Ndikusyaganya

    Tetesi: Ushauri kwa Mtu aliyepoteza fedha mtandaoni

    Hello wana jamvi, Nina suala naomba usaidizi, bwana mdogo anafanya biashara ya TIGO pesa, mwezi mmoja uliopita alipoteza pesa kiasi ki kubwa kwa kukosea kutuma MUAMALA ipasavyo kwa bahati nzuri MTEJA alie tuma muamala huo walikua wanafahamiana. Hivyo alivyo gundua hiyo LOSS na kuahakikisha kua...
  7. Ndikusyaganya

    Jinsi gani naweza fukuza popo ndani

    [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
  8. Ndikusyaganya

    Jinsi gani naweza fukuza popo ndani

    Asante sana mkuu, ubarikiwe
  9. Ndikusyaganya

    Jinsi gani naweza fukuza popo ndani

    Aisee, wanauzwaje mmoja?[emoji39][emoji39]
  10. Ndikusyaganya

    Jinsi gani naweza fukuza popo ndani

    Habarini wakuu, poleni na majukumu. Ni matumaini yangu wote muwazima. Wanajamvi naomba msaada wenu wakuweza kufukuza POPO nyumbani ambao wana ishi DARINI Nime kua na tatizo hili kwa muda na nimejaribu kuita fumigator lakini bado tatizo lipo . Sasa wadau, uwanja huu ni Mkubwa na kila mtu ana...
  11. Ndikusyaganya

    Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Niafikiria ile siku watumishi wa Mungu wore watakapo amua kusimama na kuliombea Taifa kwa Ummoja. Hapo ndipo tutakapo ona uwepo zaidi wa Mungu alie umba mbingu na binadamu wote, wenye nguvu na wanyonge, matajiri na masikini, jeuri na watiifu. Naitamani siku hiyo. Na siku hiyo inakuja. Ambapo...
  12. Ndikusyaganya

    Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

    Kinacho tuuma ni pale zinapo kuja " ooh baby nataka kwenda saluni" ooh " Fulani Ana Peluvian Hair" oooh sijui " sija tengeneza nywele zangu siwezi toka"
  13. Ndikusyaganya

    Wahenga naomba kujua :Faida/Hasara/Utaratibu na Tofauti za Group Company na Kampuni za kawaida

    Mkuu ile safari yako ime rudi na mshindo mkubwa, Asante kwa ufafanuzi mzuri sana
  14. Ndikusyaganya

    Wahenga naomba kujua :Faida/Hasara/Utaratibu na Tofauti za Group Company na Kampuni za kawaida

    Ooh aisee, nashukuru Sana Mkuu,ume nifumbua azidi na zaidi hapo as
Back
Top Bottom