Wanabodi kwa hapa Tabata Kimanga njia ya kwenda machimbo ukitokea Chang'ombe, kituo cha Mbuyuni
Mbuyu ulioanguka hapa una siku nne. Serikali ipo wapi? Njia mbadala ni ipi?
Hiyo ni njia yetu ya kila siku
Wakuu kama unatokea segerea, kimanga, chang'ombe kwenda nje ya tabata kausha kabisa
Foleni yake sio ya nchi hii..
Pia kama unatokea nje ya tbt kausha natoka segerea nipo tabata shule zaidi ya masaa 2 sasa
Huko kuna sadaka kuu.. kina mitume na manabii tuje?! Au ndio sadaka baada ya ibada ni 15k?
Yani kifupi mtanishawishi vp nitoke Mbeya kwetu nije shynga wakati dar panono??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.