Search results

  1. K

    CHADEMA yaanza mikakati mizito ya ushindi

    Ushauri wangu kwa Dr Slaa na viongozi wengine wa Chadema mjue mtakaoshindana nao wanaifikia hazina kirahisi na kuchota mabilioni huko.Nataka niwahakikishie hawa CCM wana moyo wa Laurent Gbagbo hata kama watashindwa wanajua ni kosa la maisha kuachia madaraka kwa vile ulinzi wa mali zao za wizi...
  2. K

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Nadhani lazima tukili kwamba wapo binadamu wa aina mbalimbali na Mungu amefanya haya kwa makusudi ili utukufu wa Mungu ujulikane kama Pasco anapewa keki anaona ni kinyesi basi yafaa apewe kinyesi ndicho atakachoona ni keki. Ujumbe wa Mr Godbless Lema una content tena with empirical evidences...
  3. K

    TFDA pressed to stop Babu's 'miracle drug'

    Mugabe, JK, Pinda, Kandoro, na wengine wengi wamekunywa bila kumsahau muzee waKilalacha, wamekunywa na hawajafa, acheni majungu yenu KKKT mbele zaidi Kunywa Kikombe Kimoja Tu
  4. K

    Ilani ya chadema baada ya uchaguzi mkuu

    kurogwa ni kurogwa tu, VGL hana jipyya kala hela ya Ridhiwani, mwambieni msure nchi inangamia na siyo CDM, pumbafu nyinyi, mga mmeongeza, mafuta mmekunywa, maji mmekausha, nani atawaelewa nyinyi, mmetukosea adabu waTZ, pigeni goti mtubu au mfanyiwe maombi
  5. K

    Majina ya Kichaga

    Mattee, Uforo, *****/Mambolo; ....
  6. K

    Serikali yapiga marufuku wanafunzi kudaiwa michango

    Serikali hii au nyingine? Maana yake mtadaiwa zaidi mpaka mkome kuzaa, ila wachangishaji wanatakiwa kufanya MAMBO KIMYA KIMYA TUuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!
  7. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kideri, mdondo huzuiwa kwa kuwa na utratibu wa kutoa chanjo zake kila mara. Yaani kama kuku wanafugwa ndani basi wape chanjo mara moja kila baada ya miezi mitatu, na kama kuku wanafugwa huria (Free range) chanja kila mwezi. Kikohozi pamoja na kutumia dawa, hakikisha banda la kuku lina uwezo wa...
  8. K

    Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

    Ndiyo utekelezaji wa sera za CCM (Chama Cha Mafisadi), mmoja akikosea mwingine anajifanya anapoza issue, bado hatujamuuliza mgoshi Makamba ana weza kusema hata Membe hana akili kama Lowassa aliyependekeza maridhiano. Hawa viongozi wetu nafikiri jioni ikifika huwa kunakukusanya kwa Mkwere kwamba...
  9. K

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Jamani ukweli wa upendeleo wa ukabila upo hii ni kwa sababu hao waliosoma yaani hayo makabila matatu ndio huwa ndio waamuzi wa nani aajiriwe, nitoe mfano halisi hapa SUA idara ya sayansi ya Udongo walitoa tangazo la kuhitaji mkufunzi msaidizi wakatoa na vigezo kuwa lazima mtu awe na shahada ya...
  10. K

    Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

    Jamani simnajua Characteristics za mbegu X na Y? nikuwa X huwa zinaenda polepole lakini zinadumu hata masaa 48 kabla hazijakutana na yai wakati Y huwa zina kasi lakini zinakufa haraka hivyo ukiplay siku ya kilele (Ovulation day) Y zitakimbia na kulikuta yai kuovulate hapo mtoto wa kiume na kama...
  11. K

    Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

    Naomba nikujibu kuwa suala la kuplay iwe usiku au asubuhi halina influence ya wewe kupata mimba.Kutokana na Literature mbalimbali yafaa kufanya tendo kuanzia siku ya 7 toka umalize kumwaga oil chafu.Siku ya kilele kwa mwanamke makini ataona unatoka ute mzito ukeni japo ute huwa kuanzia hiyo...
  12. K

    Pres Obama's Trip to the Muslim World: A New Partnership

    Jamani wana Jf mwenzenu sijapaona pa kuanza kutolea maoni yangu bila kwenda ya reply ni wapi.yaani pa kutolea mawazo mapya.Msaada tafadhali
  13. K

    Pres Obama's Trip to the Muslim World: A New Partnership

    tUNASHUKURU KWA MAONI YAKO LAKINI NAOMBA UWE NA KUMBUKUMBU SAHIHI UGOMVI NI KATI YA ISRAEL NA PALESTINA SIO PAKISTANI.JAPO ULIMWENGU WA KIISLAMU UNAKUWA NA MASHAKA NA MSIMAMO WA MAREKANI SIAMINI OBAMA ATAKAPOONA MASLAHI YA WAMAREKANI YANAATHIRIWA ATANYAMAZA,BWANA WE MWIZI HATA AKUAMBIE AMEOKOKA...
  14. K

    Mbunge mwingine apata ajali gari yaparamia mawe yaliyotegwa

    Kwa kweli tunampa pole saana lakini tusubiri nguvu ya mafisadi ni kubwa sana na wana act by remote control but with all of their mischievious act and dubious deals time will come and tell them and will be open for even blinds to see the naked truth.haya jamani nashukuru tuendelee kujulishana. Na...
Back
Top Bottom