Search results

  1. YAKUTA

    Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

    Pumbav Unajificha kweny matokeo ya wengine ysko mbona husemi
  2. YAKUTA

    Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Serikali inajichotea fedha huko(kukopa) halafu hawarudishi Ndo maana hakuna hatua yyto inayochukuliwa
  3. YAKUTA

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Tiririka tu mpaka kwa Nelly alikupigaje na kitu kizito Vijana wa chuo watambue hilo
  4. YAKUTA

    Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

    Huo utumish ni wako na halmashaur yako Sasa nan anajua kuwa ww ni slave servant
  5. YAKUTA

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Na-subscribe kabisa huu kabisa nioate mwendelezo Kaka toa kila details
  6. YAKUTA

    Tulimsomesha kwa tabu akang'ang'ania kuolewa, mwisho wa siku akatelekezwa na mapacha

    Acha udini Suala hapo mlishindwa kumlea huyo binti mpka akapata na ujauzito akiwa hapo nyumbani Wakristo wangapi wameoa na wanamichepuko mtaani kibao?? Umemuuliza huyo ndugu yenu kwann kaachika mwaka mzima?? Ama nungwa zimekujaa na kuanza ku-attack imani ya mtu
  7. YAKUTA

    Msaada: Malipo ya deni langu Stanbic Bank

    Makato ya mkopo huwa yanakatwa moja kwa moja kabla hayajaigizwa kwenye akaunti ya benki
  8. YAKUTA

    Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

    Huko Ukrain na Russia nao kuna waislam Acha udini
  9. YAKUTA

    Ufafanuzi kuhusu bei za vifaa vya kielectroniki Zanzibar pamoja na gharama za usafiri

    Kama unafanya biashara ya vitu vya electronic post na picha wadau wachague bidhaa
  10. YAKUTA

    Ifanye pesa isiwe ya msimu, buni vyanzo vingine vya mapato

    Anza kwanza wewe tuambie una vyanzo vingapi?
  11. YAKUTA

    SoC02 Jinsi biashara ya viatu inavyonitoa mavumbini

    Ingekuwa unafanya biashara ya kutuma mikaon ingekuwa poa Naamin ungetanua wigo wa biashara yako Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  12. YAKUTA

    Bodi ya mikopo elimu ya juu

    Wezi tu hao wanakubambikia madeni ambayo hayapo Kama unapresha nkushauri usiaangaike kuangalia deni lako maana upuuzi utakauona huko utakukatisha tamaa hata ya kufanya kazi Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  13. YAKUTA

    Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

    Ufafanuzi anuani na maelekezo mengine ya kuandika barua Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  14. YAKUTA

    Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

    Naomba ueleze vizur mkuu Anuani uliiandikia ni ipi? Kwa mfano mm kesi yangu nilimaliza deni kwenye salary slip kama inavyoonesha mwezi huu wa january lakin nashangaa bodi wameniandikia deni jipya la zaidi ya milioni mbili Nataka niandike barua ya complain na wanipe ufafanuzi kwann wameniandikia...
  15. YAKUTA

    Ufafanuzi: Madeni mapya ya bodi ya mikopo (HESLB)

    Kimsingi inasikitisha sana. Raisi wetu mpendwa anapambana kupunguza mizigo kwa wananchi wake lakin kuna watendaji wanamuangusha. Raisi wetu mpendwa alitangaza hadharani kuondoa 6% ya ongezeko la thamani kwenye mikopo ya elimu ya juu( value retention fees) na penati zote. Hali hii ilipelekea...
  16. YAKUTA

    Anahitajika: Supplier wa Samaki(awe Mwanza)

    Wajitokeze jaman hao mawakal
  17. YAKUTA

    Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Habar wana JF, Kupitia ukurasa huu napenda kutoa dukuduku langu na kama kuna wanaohusika bas hatua zichukuliwe Bodi ya mikopo katika makato yao ya mwezi huu wa sita, makato yao hayaeleweki Kwenye salary slip makato yao wameonesha kiwango walichokata lakini cha ajabu deni la msingi kiwango...
  18. YAKUTA

    Msaada wa wazo la biashara

    Kwanza elimu uliyokuwa nayo ni mtaji tosha tu Walim wa fizikia ni wachache sana na wanatafutwa kuajiriwa I dnt knw y you failed to persue ur carrie Biashara siku zote hailet faida ya haraka lazima iwe na up n down Huwez kupata faida ndan ya miez kadhaa Inaonekana sio mvumiliv kwa kila biashara...
Back
Top Bottom