Natafuta document inayoitwa "Tanzania Standard Classification of Occupations (TASCO)" kwa yeyote anayeweza kuniwezesha kuipata in electronic form or pdf. Nimejitahidi kuitafuta kuitafuta kupitia Google search ila sijafanikiwa na bado naendelea kuitafuta.
Tangu Dodoma itangazwe kuwa Makao Makuu ya Serikali ya Tanzania, nilitegema hadi sasa asilimia angalau 75% ya taasisi zote za serikali ziwe zimeshahamia Dodoma ikiwemo taasisi ya Uraisi.
Wenzetu South Korea wameanza project ya kuhamisha makao makuu ya shughuli za serikali kutoka Seol kwenda...
Tangazo liliwekwa kwenye website ya fastjet kwamba kutakuwa na promotion ya 24 hours kuanzia saa 2 asubuhi leo kwa safari zote za ndani kuwa $20 au Tsh. 32,000/= kwa safari za kuanzia tarehe 15-30/September 2014. Hadi muda huu ninapoandika hapa hicho kilichotangazwa hakijatokea. Online booking...
[Mods: Hii mnaweza kuiacha apa ijitegemee kama mtaona inafaa, mimi nadhani inafaa ibaki peke yake]
Katika uchaguzi wa 2010 kuliibuka tuhuma mbalimbali kuhusiana na hasa kwa nini Dr. Slaa ameacha upadri. Ninakumbuka Dr. Slaa alijibu hoja zote hizo kuhusiana na jinsi alivyoacha upadri, na hata...
Wakati mwingine mtu akisema jambo fulani la ukweli, wale wanaouswa na jambo hilo huja juu kumkebehi aliyetoa kauli husika. Hapa nataka kurejea hoja ya uongozi wa nchi hii kukosa uthubutu wa kufanya maamuzi magumu na sahihi au hata kama siyo sahihi lakini mtu awe amefanya maamuzi.
Siko hapa...
Taarifa hizi nimezitoa kwenye website ya Bunge. Pamoja na kwamba anaitwa Dr. mwanzo wa jina lake, lakini hakuna mahali panapoonyesha huo u-Dr. unatokana na yeye kupata PhD, au MD, au BVB au Honoris Causa. Pili najiuliza kama Centre for foreign relations walianza lini kutoa BA. Kwa kuwa hadi leo...
Tatizo la ukame na njaa ambayo ni matokea ya ukosefu wa mvua za kutosha katika baadhi ya maeneo hapa Tanzania, linatokana na athari za hali ya klimatolojia (Climate effects) hasa kupoa kwa maji ya bahari kwenye maeneo ya bahari ya Pacific, hali ambayo hujulikana kitaalamu kama La Niña. Utabiri...
Nimekuwa ninjiuliza maswali mengi mojawapo likiwa ni kwanini shahada ya heshima ya udakatari ya rais wetu JM Kikwete inapembejewa sana. Ikizingatiwa kuwa hata viongozi waliopita kama Mwalimu nyerere, Mkapa, Aboud Jumbe nao pia walipewa hizo shahada au na vyuo vyetu au na vyuo vya nje lakini ni...
Tukio la serikali ya Rwanda kutuma helicopter ya jeshi na ambulances kuja Tanzania (Shinyanga) kuwakoa Raia wake waliopata ajali juzi, linanifanya nijiulize, tukio kama hili lingewakumba watanzania, iwe ni kenya, Uganda au popote pale ingewajibika namna gani katika rescue operation. Shame on our...
When the U.S. Navy deploys a battle fleet on exercises, it takes the security of its aircraft carriers very seriously indeed.
At least a dozen warships provide a physical guard while the technical wizardry of the world's only military superpower offers an invisible shield to detect and deter...
Ninaomba msaada kwa anayefahamu. Laptop yangu kuanzia jana nikiiwasha inaanza na pop-up window message "Found New Hardware Wizard", ilihali sijaweka hardware yoyote mpya. Je ni tatizo gani?. Ninatumia Microsoft Windows XP Professional SP3.
Hapo kabla kuna kirusi "autorun.inf" alinishambulia...
Wana-ICT popte pale mlipo:
Nina swali ambalo nahitaji kufahamishwa. Mimi nina computer ambayo iko kwenye network almost 24/7. Swali langu ni kwamba je nitafahamuje kwamba kuna mtu (Intruder) ana-access computter yangu na anaiba data kutoka kwenye computer yangu? Ni viashiria gani...
Baada ya kusoma hukumu ya majaji wa mahakama ya rufaa katika kesi ya S.M.Z. vs. Machano Khamis Ali & Others (Criminal Application No. 8 of 2000) [2000] TZCA 1 (21 November 2000)
IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA
Majaji hawa wanasema jeshi la kujenga uchumi pamoja na kikosi maalum cha kuzuia...
Nimeona ni vyema kuanzisha mada hii kwa ajili ya haya yaliyojiri bungeni kuhusu Afisa mtendaji mkuu wa TANROADS,Epharaim Mrema ilipostiwa mahali ambako nadhani isingepata attention inayostahili.
Je, hapa kuna ufisadi?
Shadrack Sagati, Dodoma
HabariLeo; Ijumaa,July 04, 2008
MKURUGENZI...
Baada ya kashfa ya Richmond tulishuhudia vitu kama Richmod Towers n.k, katika pitapita yangu huku na kuko nimekutana na JK Towers. Je, JK ina simama badala ya nini? Je, ina uhusiano wowote na Rais wa Tanzania? Mmiliki wake ni nani? Je, ana uhusiano wowote na Richmond au EPA?. Tuanze na...
Source:Changamoto,Tuesday, 04 March 2008http://changamoto.co.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=1246&Itemid=2
Wenye taarifa zaidi watuhabarishe kuhusu hili
Source:Habari Leo,March 02, 2008http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?id=7381
Hayo maandishi niliyo yawekea rangi,yanaonyesha jinsi tulivyologwa(?)Kampuni ya madini inapata $163bn, serikali inaambulia $4ml na eti huduma za jamii za thamani ya $300elfu. Hapo mkuu wa mkoa anaona tumefaidi, kumbe...
How much should you be naked?
how much should you show your body naked? the issues of morality, modesty, unclothed, uncontrolled, modesty, sexuality, lust, weak, spirituality,simplicity, onward, functions, evil, ornamental, heart, simplicity and values.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.