Kwa katiba ya sasa hakuna Supreme Court, ila jengo hilo limezingatia kwamba siku za baadaye kutakuwa na Supreme Court, maana imeshaonekana inahitajika.
Kina
Kinachojengwa Dodoma sio Supreme Court bali ni The Judiciary Headquarter Building" . Jengo la Mahakama ambalo ndani yake kutakuwa na Mahama Kuu, Mahakama ya Rufaa na Mahakama ya Juu (Supreme Court). Jengo moja lakini litakuwa na hizo mahama zote 3 in ONE HOUSE. Usanifu umezingatia itifaki...
Mtoa hoja unatakiwa kuelewa kuwa
MOI,NHIF ni taasisi zinazojitegema na si sehemu ya MNH, ingawa taasisi zote isipokuwa NHIF ziko ndani ya eneo moja.
MOI=Muhimbili Orthopaedic Institute
NHIF = National Health Insurance Fund, hii ni taasisi ya bima ya afya na si sehemu ya MNH.
Taarifa hiyo ina mapungufu makubwa kama ifuatavyo:
1. Taasisi ya Elimu Tanzania inayofahamika ni TIE (Tanzania Institute of Education) ambayo inahusika na uendelezaji wa mitaala ya elimu kwa shule za sekondary na vyuo. tazama link http://www.tie.go.tz/
2. Kuna mamlaka ya Elimu Tanzania au TEA...
Tatizo ni kwamba na yeye tayari ana mtoto kwa hiyo inaweza kuwa ngumu kwake kuolewa na mtu mwingine ambaye hajazaa. Ushauri wangu mimi uko ni huu:
1. Aachane kabisa na Mume A: ila huyo mume A atunze au ahudumie mwanae matumizi ya shule na matibabu, na asimruhusu tena kuja kulala.
2. Kwa kuwa...
Kwa kawaida Tume ya Taifa ya uchaguzi ilitakiwa iwe imeshatoa ratiba ya zoezi la uchukuaji form na kuzirejesha ili ratiba za vyama vya siasa ziwe nda nya ratiba ya NEC.
Ukiangalia kwa makini utaona sasa NEC ndo watafuata ratiba ya CCM
Hivi hakuna mtu anayeweza kuanzisha project ya kudocument vita ya Kagera vizuri naamini kitabu kama hicho kitalipa sana, bado askarina makamanda wengi walioshiriki vita hiyo wako hai, japokuwa kukosa maandiko au maelezo kutoka kwa makamanda kama hawa wliokwishafariki (Maj. Gen. Silas Mayunga...
Mwambie asiende na mtu mwingine yeyote ila yeye peke yake, kisha akiwakuta sifanye jambo lolote ahakikishe tu kwamba mke wake ameuona na amejua na huyo mgoni wake pia. Kisha arudi nyumbani kupumzika, mke wake akirudi nyumbani asimsemeshe chochote kuhusu tukio. Na aendelee na maisha na mke wake...
Mwambie asiende na mtu mwingine yeyote ila yeye peke yake, kisha akiwakuta sifanye jambo lolote ahakikishe tu kwamba mke wake ameuona na amejua na huyo mgoni wake pia. Kisha arudi nyumbani kupumzika, mke wake akirudi nyumbani asimsemeshe chochote kuhusu tukio. Na aendelee na maisha na mke wake...
Kama unataka kusafiri na fastjet panga safari yako na ufanye booking mwezi mmoja au miwili kabla ya safari, hii itakusaidia kupata ile cheap ticket ya 35,000/- (excluding taxes). Gharama kama walivyosema wachangiaji wengine hasa kama unafanya booking kwa tarehe za karibu na safari jiandae tu...
Rais wa Tanzania akipanda private airline kwa mfano "British Airways" au "KLM" au "Emirate" kwa safari za kimataifa, je , Call sign ya hizo ndege inakuawaje inapokuwa angani?
All energy drinks ni "majanga" kwa afya yako. Kwa mfano Redbull ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya kuwaongezea morali askari wa Marekani katika vita ya Vietnam. Ina "chemical compound" zilizotengenezwa maalumu kwa ajili hiyo.
Nashangaa maana na sababu zilizotolewa kuhusu posho ya mpito. Watumishi wa serikali wanapostaafu, wanalipwa tu pension zao kadri walivyochangia kwenye mifuko ya pension, bila kujali walikuwa wagonjwa, wanaendelea na matibabu au la. Hivyo, sioni sababu ya kuwepo kwa posho hii. Posho ya kiinua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.