Search results

  1. J

    Nimerudi toka Operesheni Pamoja Daima, sioni muujiza wa kuiokoa CCM!

    Duh!!! Afadhali wewe umejitutumua kujitokeza. Wenzio mbona hawaonekani siku hizi?
  2. J

    Mzee Malecela atoa tamko - Amuunga mkono Paul Makonda

    Huyu babu vipi? Mbona sekretariati kupitia Mangula na Nape walishatoa msimamo wa chama kwamba wale wote wanaojipitishapitisha watakosa sifa ya kugombea? Sasa huku kujitokeza sasa kuongea na vyombo vya habari si ndiyo kuzidi kuthibitisha kuwa chama hiki tawala ni vipande vipande, kila kipande...
  3. J

    Zitto ruksa kukata rufaa CHADEMA

    Hapa ni wapi?
  4. J

    Kiti cha udiwani Njombe Mjini,CHADEMA wamsimamisha Agrey Mtambo

    Join Date : 12th January 2014 Posts : 139 Rep Power : 328 Likes Received25 Likes Given0 Duh; kumbe umeajiriwa juzi!!!!
  5. J

    CHADEMA Bunda yaimaliza kabisa CCM katika uchaguzi wa udiwani

    Kwanza ccm haina uwezo wa kupata viti vilivyokuwa vya CDM yaani Nyasura (Bunda) na Kiboroloni (Moshi). Pili ccm watanyang'anywa kata zao za Santilya (Mbeya) na Sombetini (Arusha) ambako CDM itawagaragaza vibaya sana. Tatu kutakuwa na patashika kali baina ya ccm na CDM katika kata za Nduli...
  6. J

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Waache maccm waendelee kukomaa na Zito wao, na CDM kiendelee na safari kama kawaida, na iendelee kuipokonya CCM kata katika chaguzi ndogo za udiwani zitakazofanyika februari 9, kama ilivyokuwa inafanya katika chaguzi ndogo zilizopita. BTW: kampeni zitaanza wiki ijayo januari 16.
  7. J

    Uongozi wa juu CHADEMA,,umbea wenu ndio chanzo cha Zitto kukimbilia mahakamani,,!

    RIH CDM ilimhitaji lakini CCM imempenda zaidi
  8. J

    Kwa Mwenye Taarifa Kama CCM wamepata Mgombea wa udiwani-BUNDA

    Deadline ya wagombea kuchukua fomu za uteuzi kwa msimamizi wa uchaguzi ni leo 02/01/2014 kabla ya saa 10:00 alasiri
  9. J

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa 'kipandauso' (migraine) kwa muda mrefu. RIP Dr. Mgimwa
  10. J

    CCM wafanya siasa za ukabila Sombetini Arusha ni ktk kinyang'anyiro cha Udiwani

    Najiuliza:- Hivi kata ya Kiboroloni CCM itathubutu kusimamisha mgombea baada ya kelele zao za uchaga, udini, ukanda etc?
  11. J

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Inawezekana Mwigulu akafa kifo kibaya kuliko cha Mabina
  12. J

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    Kuna gazeti limeandika kuwa duru za kisiasa zinawataja Dr. Asha Migiro, Mwigulu Nchemba, Dr. Hamis Kigwangala, Peter Serukamba, Anne Lilango Malecela, James Lembeli na wabunge wengine mwiba kwa CCM kama Kangi Lugola na Deo Filikunjombe.
  13. J

    Hapa CHADEMA Mlichemka Na iwe FUNDISHO baadae

    "3. Ziara za Zitto sio za kujenga Chama. Ukiacha Kigoma kaskazini kwa wapigakura wake, Zitto "ameandaliwa" ziara za Kasulu na wilaya zingine za kigoma ambapo Slaa alipita siku za karibuni. Hatujengi chama kwa staili hiyo. 4..." Ameandaliwa ziara hizo na maccm, ambao wanashangilia kama...
  14. J

    Slaa anatisha Urambo .Tabora

    Kama hizi:- sixgates: Nguvu ya umma is synonymous to mob justice taswira: Mfanyabiashara maarufu aliyehama CDM anusurika kifo kutoka red brigade ya CDM ifweero: Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria Naona wameacha CD ya Zitto imebuma
  15. J

    Rais Jakaya Kikwete njiani kuelekea Kenya kwenye mahadhimisho ya miaka 50 ya Nchi hiyo

    Safari nje ya nchi zaendelea kutafuna fedha. Kwa mujubu wa taarifa ya Kamati ya Bunge la Bajeti iliyowasilishwa na mwenyekiti wake, Andrew Chenge, fedha zote zilizopitishwa na Bunge katika bajeti ya mwaka huu 2013/14 kwa safari za viongozi nje ya nchi zilimalizika ndani ya miezi miwili. Hivi...
  16. J

    Usanii katika Ziara ya Kinana Inayoitwa ya Mafanikio

    Mbona hujaweka usanii wa kupanda treni (TAZARA) na kushuka kituo kimoja pale mkoani Moro?
  17. J

    Chadema kanda ya kaskazini yavamia jimbo la kiteto mkoa wa manyara

    CDM ita'retain' kata ya Kiboroloni (Moshi) na itainyanganya CCM kata za Sombetini (Arusha). Partimbo na Loolera (Kiteto- Manyara); wasiwasi wangu ni kule Mtae (Lushoto) na Kiomoni (Tanga) sijui wananchi wamefunguka kwa kiasi gani.
  18. J

    Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

    Tukianzia Uchaguzi mdogo madiwani Februari 9 2014 katika kata 27
  19. J

    Uchaguzi mdogo madiwani Februari 9 2014

    Kama sikosei kata 25 zilikuwa za CCM isipokuwa kata mbili ndiyo zilikuwa za CDM - Nyasura (Bunda) na Kiboroloni (Moshi)
  20. J

    Uchaguzi mdogo madiwani Februari 9 2014

    Mkuu mbona kuna kata nyingi tu pande zingine? Ziko za kusini, nyanda za juu kusini, magharibi/kigoma na kaskazini (Manyara, Arusha, Mara na Kilimanjaro)
Back
Top Bottom