Search results

  1. H1N1

    Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Anachomaanisha ni kuwa uchsguzi halali haupo au hautakuwepo kabisa. Psychopath huamini kuwa wao ni "mungu" hawashindanishwi hivyo huishia kuwashangaa wanaojaribu kushindana na mungu Sio utani ana maanisha
  2. H1N1

    Kupita bila kupingwa - is this democracy too?

    Ndiyo ! Demokrasi ya wapumbavu Amepita bila kupingwa na nani ? Mbona alipingwa kwenye chama chake ? Kwanini asiwekwe apate kura zaidi 50 % ya zikizopigwa ili astahili kutangazwa ni mshindi ? Wakurugenzi wana maamuzi kuzidi wapiga kura wa majimbo Hivyo wanaopita pasipo kupingwa ni wachaguliwa...
  3. H1N1

    Uchaguzi 2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Mhh bado naamini mwaka huu October tutakuwa na uchaguzi bora zaidi ya ule wa Serikali za mitaa
  4. H1N1

    Tahadhari kwa Vyombo vya Dola: Wiki ijayo ina matukio makubwa mawili Ujio wa Lissu na Msiba

    Naamini Watanzania wategemee uchaguzi mzuri na bora sana kuzidi ule wa Serikali za Mitaa ! Tumeweka precedence ya uchaguzi bora kwa gharama nafuu hivyo naamini mipango kabambe imewekwa kuhakikisha tunafikia lengo la kufanya uchaguzi bora kwa gharama za chini mungu haingii kwenye kinyang'anyiro...
  5. H1N1

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Hizi Juhudi za utu wema wa maaigizo unaofanywa na Bashite ni matokeo ya Roho Mtakatifu kumshuhudia habari ya dhambi zake Hivyo kwa ujinga wake badala ya kutubu anajituma kujifanya anafanya matendo ya huruma na yanayofanana na hayo. Utateseka sana wala kuruhusu Injili kwenye majumba ya Starehe...
  6. H1N1

    Ujenzi wa ovyo wa makutano ya Mbezi mwisho Tatizo ni nini? Tanroad

    Pole binadam wa maabara Hoja na kiroja chako haviendani kabisa
  7. H1N1

    Swali Fukunuzi: Nani Kiongozi wa Upinzani Tanzania Kuelekea 2020?

    Unatafuta nani awe targeted kutekwa au kuuliwa ? Hoja zako zingekuwa na mashiko kama ungejitenga na unafiki Mazingira hatalishi yaliyopo wapinzani wanatumia busara sana kusita ili kusimamisha utulivu hata kama ni kwa maumivu Kwa Sababu kama kungekuwa na kiongozi wa upinzani angesema kama mbwai...
  8. H1N1

    Tundu Lissu: Remedy? Tunaenda Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Tutajua kama tuna Mahakama ya Tanzania au tuna 'Mahakama' ya Tanzania

    Naamini hawashidi kwa sababu ya aina ya Majaji tulionao na sio kwa Sababu ya kanuni na mantiki za falsafa ya Sheria na mahakama
  9. H1N1

    Dar es Salaam: Mahakama Kuu yakataa maombi ya Tundu Lissu ya kutengua maamuzi ya Spika. Jaji asema itasababisha mgogoro Kikatiba na Bunge

    Zanzibar uchaguzi ulifutwa na Jecha huku Wabunge wakiwa wamepewa hati za Ushindi au sharia hiyo haihusiani na Wabunge wa Zanzibar ? Lakini kingine ni hiki TL na Wanasheria wake walikuwa wameona Uharamu kwenye kufukuzwa kwake na kwa maana hiyo hata uchaguzi uliofanyika kitokana na tukio haramu...
  10. H1N1

    Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Chochote nisichokusudia kisikiwe na MTU asiyetarajiwa nami ni siri yangu bila kujali mtazamo wako ndugu
  11. H1N1

    VODACOM: Sheria za nchi zinatulazimisha kukubaliana na matakwa ya TCRA

    Sasa naanza kuelewa kwanini walimkataa yule aliyeteuliwa kuwa mtendaji mkuu wa Vodacom Kumbe ilikuwa wanamhitaji yule ambaye wangemwendesha kadri ya kufanikisha uhalifu dhidi ya Watanzania ! Too sad
  12. H1N1

    Hili la treni ya Arusha, Tanga, Moshi mbona hamuandiki au ya Chato tu ndio huwa mnayaona?

    Basi tushangilie kujengwa kwa kiwanja cha ndege Chato maana kitakuwa kimeipandsha Geita per capita
  13. H1N1

    Polisi onesheni weledi bana: Mtu anadai kutakwa kuuawa halafu hafungui jalada...?

    Mahaba yamrkupofusha unataka polisi wafanye kinyume na utaratibu wa awamu ya tano Musiba ni Spika tu Msemaji ni mkubwa kuliko IGP sasa unataka Spika ya Mkubwa wa IGP iishi kwa wasiwasi ? Acheni utani mbaya ninyi Big up Polisi Waiteni wote wapeleke mahakamani hati ya Mashiataka mkate kipande cha...
  14. H1N1

    Zitto Kabwe ashikiliwa kwa muda Uhamiaji Zanzibar. Aachiwa huru ila simu na Kompyuta yake bado vyashikiliwa

    Magufuli alikuwa wapi wakati mikataba yote hiyo ikiingiwa na Serikali ? Cheap politics na watz kwa ujuha wanasombwa na porojo hizo Wekeni mikataba wote tuone ubaya huo ili tushangilie pamoja maamuzi ya kishujaa
  15. H1N1

    Askofu Mwamakula: Watu wasiojulikana wananifuatilia

    Naona jiwe LA gizani limekugonga kwa jicho. Pole sana mkuu
  16. H1N1

    Mbombezi wa Uchumi kutoka Kenya Dkt.Mumbi Seraki: IMF ililpanga kuichafua Tanzania kimataifa

    Huyu mama ni wazi kuwa amelipwa kwa ajili ya jambo hilo Yeye anaishi Uingereza amefanya utafiti gani zaidi ya kutumia taarifa za wale waimba Pambio wa mfumo huu ? Yupo kwa kazi maalum ya kujaribu kuupaka upepo rangi
  17. H1N1

    Hanspope atua katika ‘Mikono salama’; Mahakama ya Kisutu yamwachia kwa dhamana...

    Misukule wa kitanzania mnapenda kuongea ujinga ili muonekane kuwa well informed
  18. H1N1

    Misungwi, Mwanza: Aenda jela miezi 6 kwa kosa la kumdhihaki Rais Magufuli

    Unatakiwa uripoti ofisini kwangu haraka sana Umenena maneno ya dhihaka dhidi ya kichaa mkuu
  19. H1N1

    Hivi Raisi nagufuli hamfahamu Wasira?

    Ametibiwa au hukumsikia aliposema anachougua ?
  20. H1N1

    Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

    Ticket zaweza kununuliwa zote na kusiwe na uhalisia wowote Kwa Serikali ya sarakasi kama hii hakuna cha ajabu kutoa hela na kutyma watu wanunue tiketi ili zionekane zimekwisha Just thinking loudly ...
Back
Top Bottom