Takwimu nchini Kenya zinaonesha nchi hiyo inashika nafasi ya saba kwenye orodha ya mataifa yenye idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI duniani, huku Rwanda na Tanzania zikitajwa kufanikia kudhibiti maambukizo.
Hapa tukiwa kama nchi za JAM lazima tuweke mikakati ya pamoja katika...
Ni Jukwaa pendwa na watu wengi sana. Watumiaji wa kiswahili, lakini pia kiingereza.
Nimeanzisha uzi huu ili kupata maoni ya wanaJF kuhusu ambavyo jukwaa hili pendwa lilivyochangia kukuza kiswahili nchini, nje ya mipaka ya nchi na duniani kwa ujumla.
Karibuni kuchangia.
Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu. Kamfananisha na hogo pevu ambalo ukitaka kuling'oa sharti uwe muerevu. Sasa kazi kwao ambao wanamchukulia...
Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya...
Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
Afisa mmoja mwandamizi wa Ukraine amesema Urusi inajiandaa kwa "mojawapo ya mapambano makali" katika eneo la kimkakati la Kherson lililoko kusini mwa Ukraine.
Haya yanafanyika wakati ambapo Urusi inajiandaa kuutetea mji mkubwa ulio chini ya udhibiti wake nchini humo.
Wanajeshi wa Urusi...
Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo.
Matokeo yake bunge lao wameanza kusema wataanza kupitia upya sera ya mahusiano na kati yake na Saudia.
Naona...
Kiambu Governor Kimani Wamatangi (in white helmet) at Kirigiti, Kiambu where a six-storey building under construction collapsed killing a mother and her two children in an adjacent apartment.
Simon Ciuru | Nation Media Group
Three people among them a mother and her two children died in...
Ifike mahala sasa lazima tuelewe jinsi nchi za magharibi zilivyo wanafiki na wauaji wakubwa katika dunia hii. Wengi walishuhudia jinsi nchi za magharibi na miungano yao ikishiriki kuhatarisha amani ya dunia. Lakini wengi wa watu duniani wako gizani kuhusiana na hilo.
Wakati maharamia yakivamia...
Ushabiki tuache kando. Ambao kamwe hautatusaidia kupiga hatua mbele toka hapa tulipo.
Tukiwa kama bara tuna mikakati gani ya kufaidika au kujifunza kutokana na huu mzozo?
Tukiangalia kwenye kilimo biashara nk.
Kama ilivyo kwa kawaida yake kwa Marekani kujipa namlaka ya kumwambia kila mtu cha kufanya na ambacho si cha kufanya. Safari hii hilo limegonga mwamba kwenye kikao cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika huko DRC Kinshasa.
"Si vema na haki kwa nchi za Afrika kuingizwa kwenye mzozo ambao hatuna...
Vikwazo kwa Urusi imekuwa baraka kwake. Katikati ya vikwazo avuna mahela kuliko kipindi ambacho hakuna vikwazo.
======
Russia’s Q1 Trade Surplus Hits Record As Oil And Gas Prices Soar
By Charles Kennedy - Apr 11, 2022
Russia’s current account surplus, the broadest measure of trade, more than...
DT anaweza kuwa rais kwa mara nyingine tena
Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem
Kristyn Burtt
December 30, 2021·2 min read
Well, it looks like Joe Rogan has created a political firestorm by predicting that former First Lady Michelle Obama...
Kwa Ufupi Kuhusu Muuaji na Tukio Hilo Kwa Ujumla
Huyo ni Mmareakani.
Alikuwa ni mfanyakazi wa Peace Corps.
Alitoka ulevini na kahaba huku akiwa amelewa.
Alisababisha ajali ambayo iliumiza wawili na kumuua mwanamke mmoja.
Baada ya Tukio alishikiliwa katika kituo ambacho hakijatajwa jina...
Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika.
Lakini sasa...
Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
KAZI IENDELEE.
=====
Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya?
Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue...
Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.