Search results

  1. donMramba

    Bodaboda 'za Lugola' zenye tela kuwa hivi...

    Mtu unapanda boda boda ili kuwahi,sasa kama itakuwa tena na tela haina maana ya kuitwa tena boda boda iitwe tuu 'tela la moshi' maana utakua unakula moshi tuu na sio kuwahi...naona next best option baada ya gari mtu utapanda tuu bajaji...
  2. donMramba

    Website ya bodi ya mikopo mbona siielewi

    madogo kuna information wameambiwa wa update ndo nlikua nawasaidia hapa..nashangaa naona hiyo kitu
  3. donMramba

    Website ya bodi ya mikopo mbona siielewi

    wakuu hebu angalieni hii kitu! website ya bodi ya mikopo olas.heslb.go.tz imeingiliwa au ni macho yangu
  4. donMramba

    Wauaji wilayani Kibiti wadaiwa kutuma ujumbe kuwa wataendelea kuwauawa Polisi kwa sababu huwadhulum

    Hivi kama wametumia mitandao ya kijamii kutuma huo ujumbe..serikali kwa kutumia nguvu na vyombo vyake...na wataalamu wake si inawezekana kujua origin ya huo ujumbe na kuweza kuwapata hao wahalifu..naamini serikali ina uwezo huo na wataalamu wapo
  5. donMramba

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    aah kilimanjaro wametuangusha aiseee
  6. donMramba

    Kuna athari gani kwa anayefaidika na mkopo HESLB kurudia mwaka wa masomo?

    ukihama inabidi sasa na mkopo wako uhamie ktka chuo husika ,hapo inabidi uwasiliane na kitengo cha mkopo apo chuoni kwenu wakikuzungusha sana we zama bodi kabisa aisee
  7. donMramba

    Kuna athari gani kwa anayefaidika na mkopo HESLB kurudia mwaka wa masomo?

    pia mkuu haina haja ya kupeleka taarifa bodi ya mikopo taarifa znapelekwa na kitengo cha mikopo hapo chuoni kwako
  8. donMramba

    Kuna athari gani kwa anayefaidika na mkopo HESLB kurudia mwaka wa masomo?

    jibu nilipata aisee japo sio hapa..jibu ni kwamba kama mtu umepata mkopo ina maana una mkataba wa miaka mitano wewe na bodi ya mkopo so mkopo utaendelea kupata kama kawa ila tuu kwamimi niliona usumbufu pale mwanzoni tuu nilichelewa kusaini...ila kwa sasa mambo yako fresh wananilipia mpaka sasa...
  9. donMramba

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    hongera sana bro am proud to use tanzanian tech...
  10. donMramba

    Msaada naomba kujua kiswahili cha maneno haya:

    hahaha sio kuchanganya hayo ni maneno ya kingereza na naamini yana maana kwa kiswahili na lazma yana utofauti...
  11. donMramba

    Msaada naomba kujua kiswahili cha maneno haya:

    "brand that i love" na my favourite brand"
  12. donMramba

    Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    hapa jambo la msingi watu watumie uhuru wao vizuri....kwanini umtukane mwenzio? jenga hoja na sio kutukana
  13. donMramba

    Sababu za kupewa pesa za field nusu nusu

    IFM...holah mpaka saivi...
  14. donMramba

    Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    daah ambao wameshakamatwa kwa kosa la kumkashifu/ kumtukana raisi JPM kwa njia ya mtandao sasa wameshafika 10...na polisi wanafanya kazi yao kwa makini kwa kusimamia sheria ya cyber crime.....SWALI: Je ni wanaomkashifu mh. Raisi tuu au ni wanaowakashifu viongozi kwa ujumla ndo inatakiwa...
  15. donMramba

    Wanahistoria hivi ni kweli mambo yalikuwa hivi???

    tazama hii picha kwa makini....
  16. donMramba

    Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    Mkufunzi toka Chuo Kikuu cha Mkwawa (MUCE) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumtukana Rais Magufuli katika mtandao wa WhatsApp. Kamanda wa Polisi Julius Mjengi amethibitisha kukamatwa kwa mhadhiri huyo mwenye miaka 48 ========= A lecturer with Mkwawa University College of...
  17. donMramba

    Yahoo yashambuliwa na Hackers

    ila matukio ya kudukuliwa yanatokea sana ila kwa yahoo wamevunja record
  18. donMramba

    Yahoo yashambuliwa na Hackers

    yahoo yasema imedukuliwa na wadukuzi na wameiba information za watu zaidi ya milioni 500... Yahoo says hackers stole information from about 500 million users in 2014 in what appears to be the largest publicly disclosed cyber-breach in history. The breach included swathes of personal...
  19. donMramba

    Sababu za kupewa pesa za field nusu nusu

    sisi mbona tulishahakikiwa tangu kitambo mkuu....si wangetupatia wale ambao tumeshahakikiwa pesa yetu yote then wapewe nusu kwa vyuo ambavyo havijahakikiwa...pia wakati naomba mkopo hamna kipengele cha kusema bodi watanipa nusu.............
Back
Top Bottom