Search results

  1. H

    Migiro kuwa Katibu Uhusiano wa Kimataifa CCM: Ni Demotion ama?

    Huyu ni mtaji kwetu sisi GREEN PARTY!
  2. H

    Edward Lowassa on ITV!-Dakika 45 Part II!.

    Uchambuzi umeeelekezwa kwenye tuhuma za ufisadi ambao kimsingi ni karibu miaka mitano sasa hakuna ambaye ameweza kuleta ushahidi usiokuwa na mashaka juu ya hilo. Hoja kubwa alizozitoa ni nyingi, mfano Gavana atueleze kunanini mbona inflation haishuki? hili ni la msingi na pengine tungeelekeza...
  3. H

    JK anamuandaa Edward Lowasa kuwa rais mwaka 2015

    Tuna shida nyingi sana, kuendelea kujadili hili ni kupoteza muda big time.
  4. H

    Lowassa kuwa mgeni rasmi ktk ujenzi wa kanisa RC Kyela

    HAKUNA JAMBO LISILOKUWA NA SABABU LIKATOKEA DUNIANI. Kwa wale wanaomwamini mungu yeyote, kila jambo lina maana yake kutokea. Tafsiri ya sababu ndiyo inayotufanya tuwe na utofauti wa maoni, mawazo na hata kubishana. Nitakuwa wa mwisho kutoa mawazo yangu juu ya hili kwa sababu sijui sababu ya...
  5. H

    Kesi ya Hamadi na wenzake kunguruma leo

    USHAURI KWA HAMADI. Kama anaamini kuwa anakubalika kwa wapiga kura wake basi akawashitaki CUF kwa wapiga kura wake na achague chama haraka kabla hasira za wananchi hazijatulia. Uchaguzi ukirudiwa mara moja anakuwa mbunge kupitia chama kingine. Hizi mahakama zetu hazina fedha, hiyo kesi inaweza...
  6. H

    Uvunjaji wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

    Inapotokea serikali iliyopo madarakani kuvunja katiba ya nchi au mhimili mmojawapo wa nchi kuvunja katiba ni hatua gani zinachukuliwa na ni nani anayechukua hizo hatua? Nahitaji elimu hii kwa sababu kuna matukio ambayo mimi nayaona kama uvunjaji wa katiba ya nchi. Natoa mifana ili muone ni nini...
  7. H

    Clouds mnaudharaulisha Wimbo wa Taifa

    Kwa heshima na taadhima naomba kuwafikishia ujumbe huu Wamiliki wa Clouds FM juu ya wimbo wa Taifa ambao umekuwa ukipigwa sana kwa sasa kwenye radio hii. Wimbo huu unaopigwa siyo wimbo halisi wa Taifa letu, umeongezwa vionjo vya aina ya akapela hivi na midundo lakini mapungufu makubwa zaidi ya...
  8. H

    Manjonjo ya Dr Kimei wa CRDB!

    Sifurahishwi na aina ya watu wanaopost ndani ya JF. Siyo kwamba siwapendi hapana , sifurahishwi na post zao.
  9. H

    Manjonjo ya Dr Kimei wa CRDB!

    Zamani hapa JF, ulikuwa ukipost chochote kinachohitaji ushahidi ilikuwa ni lazima ulizwe uuweke hadharani kabla great thinker hawajachangia. Leo hii hapa pamejaa, kila kimoja kinapita tu. Ni kweli kulikuwa na misa Ni kweli aliyeomba misa ni Dk Kimei Ni kweli watu walikaribishwa kumsindikiza...
  10. H

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    Invisible, is this an evidence that Lowassa is Fisadi? Nikienda Brela nitapata majina yenu wote mnaomiliki JF, does it make you Fisadi kwa kumiliki JF. Jibu ni hapana. Ningefarijika sana kama tungeenda kwenye sheria za nchi na kujiuliza Barare wanalipa kodi? je wameajiri watanzania wangapi...
  11. H

    Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

    Natamani sana kupewa ushahidi kwamba lowasa ana mali nyingi sana na anaccount nje na ni mwizi wa mali ya umma. Tamaa yangu inatokana na sababu nyingi, na nyingine ni za kihistoria ila sababu kubwa ni kwamba sitaki kuingia kwenye dhambi ya kuhukumu bila ushahidi. Wakati kambona anarejea nchini...
  12. H

    Hivi kwanini Vijiji vya Ujamaa havikufika Kilimanjaro na Bukoba?

    Niliwahi kuomba kiwepo pia kitufe cha kubovyo mtu anapokerwa na post ya mwenzake kama ambavyo kipo kitufe cha Like unapofurahishwa na hoja ya mwenzako.
  13. H

    Ukosefu wa ajira kwa Vijana: Lowassa atabiri vita Tanzania...

    Hivi kuna ukweli wowote kwenye ujumbe wake? Je ni kweli kwamba kuna tatizo la ajira kwa vijana? Takwimu alizotoa ni za kweli? Kama Great thinker ningetegemea tuliangalia base on those facts na kama kuna ambaye angekuwa anapingana na hilo angetupa facts zake zinazoonyesha kitu tofauti na...
  14. H

    Lowassa na siasa za makanisani?

    Wewe hukupiga kura juzi, kinachokufanya uamini kuwa Lowasa hatakuwa Raisi ni kitu gani? Bora ungekuwa mpiga kura ningesema kura yako moja itamzuia kuwa Raisi, lakini kura yako imeshapotea. Kufikia 2015 ukweli wote utakuja hadharani na wazee wa propaganda wataumbuka na kusutwa mchana kweupe...
  15. H

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Sala nyingi na maombi mengi sana upone haraka kamanda.
  16. H

    Sabodo afukuzwe uanachama CCM - Mashishanga

    Tutapata ukombozi siku watanzania watakapo tambua kuwa msingi wa shida zao ni CCM. Nao CCM watajirekebisha siku Watanzania watakapoamua kuwaweka pembeni walau miaka mitano. Watu makini wote hawapo CCM tena, tuliobaki CCM ni mimi na Nape ambao hatuelewi tunamtumikia nani.
  17. H

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Mjadala hapa na hata bungeni umepoteza hoja. Nafikiri tulitakiwa kujikita zaidi kwenye report ya CAG na taarifa ya Katibu mkuu Kiongozi ingetusaidia kupata jibu la milele kwa tatizo kama hili. Mfano: Kama ni kawaida Kuchangisha fedha kila wakati wa bunge sasa huyu kafanya kosa gani kuchangisha...
  18. H

    Tatizo ni nini Wabunge kujibu hovyohovyo...?

    Wabunge wetu kwa siku za karibuni wanaonekana kama wamekosa ustarabu tuliouzoea toka chama kimoja na hatimaye vyama vingi vya (uwoga). Nimesiikiliza kwa makini mitafaruku ya wabunge wetu mpaka wengine kutolewa nje ya bunge, na pia nimefuatilia matamshi mbalimbali yaliyotolewa na wadau na...
  19. H

    Luhanjo kuongezewa miezi 3?

    Wote nawaona hamjengi hoja, mtu kuongezwa mkataba ni kitu cha kawaida. sioni shida hapo labda angekuwa si mtendaji. Lakini pia kama umefikisha umri wa kustaafu ni haki kwako na wajibu wa mwajiri wako kuhakikisha kuwa nafasi yako inapokelewa na mtu mwingine mwenye uwezo. Kwa hoja ya mleta habari...
  20. H

    Makinda amuumbua Makongoro Mahanga

    Wepesi sana kuridhika na kusahau dhiki na maumivu makubwa, tuko kama mama aliyemaliza kujifungua, inakera sana
Back
Top Bottom