Search results

  1. maishapopote

    Huwa hukuna mvurugano kwenye kuwa makini bali utafsiri wake

    Kikwazo kati yako na umakini ni uwezo wako wa kuact under pressure...hapa kuna time limit,Iq..Eq na mazingira....siku hz kuna technology so unaezaje kucontrol kila kitu on a limited time? Hilo gape lipo na ndio linatutofautisha sisi na ile 1%....wakati mwingine na supreme beings!
  2. maishapopote

    Home remedy ilivyonitibu Viral Infection!!

    Manjano ni dawa sana aisee hii naijua
  3. maishapopote

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijui kwann Gays huwa hamjifichi...mkiliwa si siri zenu mpaka uje utuonyeshe shanga...?
  4. maishapopote

    Mfumo wa mawasiliano wa vyombo vya anga za mbali

    Yaaap hii topic muhimu sana ila imekosa wachangiaji
  5. maishapopote

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Mkuu hujanijibu..au na mm maswqli yangu ni ya kitoto?
  6. maishapopote

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Hili sio kweli kuna jamaa mmoja nafkiri ni mchaga ana cheo kikubwa sana Nasa na nafkiri hata ulinzi anao ngoja nitakutaftia jina
  7. maishapopote

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Pia mkuu na maswali mengine mawili 1.Je Nasa wana project yoyote wanafanya na DARPA 2.Je Nasa ina mahusiono gani na US space Army 3.Je Nasa ina mahusiano na Blackrock au hata Lockheed Martin?
  8. maishapopote

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Mkuu mm nina maswali kadhaa napenda sana unijibu 1.ni kwann nasa wana internet ya kasi kubwa namna ile na hawairelease kwa public? Yani ni yao peke yao? 2. Naomba unieleze kidogo kuhusu sayari ya T Garden 3. Zile project ambazo huwa zinafail na watu wanakufa je huwa kuna uwajibishwaji kwa team...
  9. maishapopote

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Shida yako ni umri wako...hajajuyia hela yake hata kidogo..anachoumia ni kuhusu appreciation...kitu ambacho ni hoja kabisa inayoeleweka...tofauti na ww ambae unafikiria kuhusu papuchi et al.... Stupid tyranny....!
  10. maishapopote

    Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

    Huu upepo sio wangu...ila upo mm nilikaa nao mbali zamani sa hv tunaangaliana kwa mbali...na kodi silipi hata senti tano
  11. maishapopote

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Kama mume aliezaa nae alikua hapokei simu...thats should be your warning sign...wala hajawa single mother bahati mbaya...huyo would be broke forever.... Anaishi fake life!
  12. maishapopote

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Usjali mkuu ni wajibu wangu kushare story kama hz ndio experince zenyewe na shule kwa wakati mmoja!
  13. maishapopote

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Zilikuwepo emails na hizi hi5 na nyingine chache bro wa jamáa aliniambia walienda kwa mganga mmoja miaka hiyo ya early 2000..wakawekewa video hv ikaonekana jamaa alitekwa na watu kama sita hv wakampakia kwenye gari hadi kwenye lile daraja la treni la kibaha( intersection ya lami na train)...
  14. maishapopote

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Huyu Jamaa alikua anakaa tangi bovu that time na alikua ameoa na watotoalikua kaoa mchaga...jamaa katoka job fresh kashuka kituoni pale tangi bovu...kapita duka la mangi kapiga bia 2 tatu...kaaaga mida ya saa mbili usiku anaenda home...! Hakuonekana tena kesho ndugu zake wakaanza msako maana...
  15. maishapopote

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Pale nyumbani kwetu..moshi mjini kuna familia ya kisomali...sasa mama ana watoto wa kiume watatu Mpambanaji ni kaka mkubwa na mke anae na ana watoto wawili... Sasa mama hampendi mtoto wa kwanza yule mpambanaji...anampa maneno ya kejeli yeye anampenda wa pili...wakati nyumba,kula shule kila kitu...
  16. maishapopote

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Kuna jamaa alipotea alikua na mke na watoto... Mpaka leo hajulikani alipo 20 years aisee...ndugu wamehangaika kila mahali
  17. maishapopote

    Singularity microfinance

    😂😂😂😂
  18. maishapopote

    Elon Musk anakuja Kuiteka Dunia

    AI ni janga ambalo tutajuta na hatutakua kua na wa kumlilia hata kidogo
Back
Top Bottom